a.gif Je, kazi zote za Roho Mtakatifu zinahusiana na Yesu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ roho_mtakatifu yesu,
Je, kazi zote za Roho Mtakatifu zinahusiana na Yesu?
Ndiyo, kazi zote za Roho Mtakatifu zinahusiana na Yesu na kulenga hasa kuandaa watu wampokee, wamfuate na kumshuhudia katika umoja wa kundi lake, Kanisa.. read more...


a.gif Utawala wa Yesu umeanza hasa wapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Utawala wa Yesu umeanza hasa wapi?
Utawala wa Yesu umeanza hasa katika Kanisa lake linalokusanya wale waliomuamini kuwa ni Bwana wakaokolewa.. read more...


a.gif Je, utawala wa Yesu umeshaanza?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Je, utawala wa Yesu umeshaanza?
Ndiyo, utawala wa Yesu umeshaanza nao utakamilika atakaporudi kuwahukumu wazima na wafu kwa kutenganisha moja kwa moja wema na wabaya.. read more...


a.gif Je, sisi tunahusika na kupaa kwa Yesu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Je, sisi tunahusika na kupaa kwa Yesu?
Ndiyo, sisi tunahusika na kupaa kwake, kwa sababu yeye ni kichwa chetu nasi ni viungo vya mwili wake: hivyo ametutangulia kwa Baba atuombee Roho Mtakatifu tukafike kwake.. read more...


a.gif Siku arubaini baada ya kufufuka, Yesu alifanya nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Siku arubaini baada ya kufufuka, Yesu alifanya nini?
Siku arubaini baada ya kufufuka, Yesu alipaa mbinguni mbele ya wanafunzi wake. Hataonekana tena rasmi mpaka arudi siku ya mwisho.. read more...


a.gif Je, ufufuko wa Yesu ni muhimu kwetu pia?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ hukumu marehemu ufufuko wafu yesu,
Je, ufufuko wa Yesu ni muhimu kwetu pia?
Ndiyo, ufufuko wa Yesu ni muhimu kwetu pia, kwa sababu kwa njia yake tu tunatiwa uzima: sasa rohoni kwa kuondolewa dhambi, na siku ya mwisho mwilini pia kwa kufufuliwa.. read more...


a.gif Je, Yesu alirudia maisha ya duniani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Je, Yesu alirudia maisha ya duniani?
Hapana, Yesu hakurudia maisha ya duniani: tofauti na watu aliowafufua warudie maisha haya, Yesu mfufuka ameshaingia utukufu wa milele:. read more...


a.gif Ufufuko wa Yesu siku ya Jumapili ulishuhudiwa na nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Ufufuko wa Yesu siku ya Jumapili ulishuhudiwa na nani?
Ufufuko wa Yesu siku ya Jumapili ulishuhudiwa na malaika waliowaambia wanawake waliofika kaburini:. read more...


a.gif Siku ya tatu baada ya Yesu kufa ilitokea nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Siku ya tatu baada ya Yesu kufa ilitokea nini?
Siku ya tatu roho ya Yesu ilirudi mwilini mwake na kudhihirisha utukufu wa ufufuko.. read more...


a.gif Yesu alipokufa, ilikuwaje?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Yesu alipokufa, ilikuwaje?
Yesu alipokufa, nafsi yake ya Kimungu iliendelea kushikamana na roho na mwili vilivyotengana: kwa hiyo mwili wake uliozikwa haukuweza kuoza kaburini; roho yake ilishukia kuzimu kuwatoa waadilifu waliomtangulia awaingize pamoja naye mbinguni.. read more...


a.gif Kwa kuwa tumekombolewa kwa damu azizi ya Mwana wa Mungu, tunaonywa vipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Kwa kuwa tumekombolewa kwa damu azizi ya Mwana wa Mungu, tunaonywa vipi?
Kwa kuwa tumekombolewa kwa damu azizi ya Mwana wa Mungu, tunaonywa kwamba,. read more...


a.gif Ajabu la ukombozi wa Yesu ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Ajabu la ukombozi wa Yesu ni nini?
Ajabu la ukombozi wa namna hiyo ni kwamba, β€œtulipokuwa adui tulipatanishwa na Mungu kwa mauti ya Mwana wake” (Rom 5:10).. read more...


a.gif Je, Mungu Baba alihusika na sadaka ya Mwanae?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mungu utatu_mtakatifu yesu,
Je, Mungu Baba alihusika na sadaka ya Mwanae?
Ndiyo, Mungu Baba alihusika sana na sadaka ya Mwanae, kwa sababu;. read more...


a.gif Kwa nini Yesu aliteswa hadi kuuawa msalabani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi yesu,
Kwa nini Yesu aliteswa hadi kuuawa msalabani?
Yesu aliteswa hadi kuuawa msalabani ili abebe kwa upendo na kufidia dhambi za watu wote, alivyotabiriwa:. read more...


a.gif Kwa nini Yesu alishawishiwa/alijaribiwa na Shetani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi mtu mungu uumbaji yesu,
Kwa nini Yesu alishawishiwa/alijaribiwa na Shetani?
Yesu alishawishiwa na Shetani kwa kuwa ni mtu kweli, akamshinda kwa niaba ya watu wote, akituonyesha namna ya kumtii Mungu moja kwa moja, β€œhata mauti, naam, mauti ya msalaba” (Fil 2:8).. read more...


a.gif Lini Yesu aliacha maisha ya kijijini akaanza utume wake?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Lini Yesu aliacha maisha ya kijijini akaanza utume wake?
Yesu aliacha maisha ya kijijini akaanza utume wake miezi tu baada ya Yohane Mbatizaji, jamaa yake, kuwatikisa Wayahudi wote akihubiri wawe tayari kwa ujio wa mtu mkubwa zaidi, akisema,. read more...


a.gif Yesu alitumiaje sehemu kubwa ya maisha yake?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Yesu alitumiaje sehemu kubwa ya maisha yake?
Yesu alitumia sehemu kubwa ya maisha yake kijijini akiwatii wazee wake Maria na Yosefu na kufanya kazi za mikono.. read more...


a.gif Baada ya kujua maisha ya Yesu tunapaswa kufanya nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Baada ya kujua maisha ya Yesu tunapaswa kufanya nini?
Baada ya kujua maisha ya Yesu tunapaswa kujilinganisha naye hadi aundwe na kuishi ndani mwetu akitushirikisha uhai, kifo na ufufuko wake.. read more...


a.gif Je, ni muhimu kujua maisha ya Yesu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ yesu,
Je, ni muhimu kujua maisha ya Yesu?
Ndiyo, ni muhimu kujua maisha ya Yesu kwa sababu matendo na maneno yake, pamoja na kimya na sala yake, na hasa kifo na ufufuko wake, yote yanatufunulia Baba na matakwa yake kwetu.. read more...


a.gif Hapa duniani Yesu alizaliwa na nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ bikira_maria yesu,
Hapa duniani Yesu alizaliwa na nani?
Hapa duniani Yesu alizaliwa na Bikira Maria kama malaika alivyomuambia:. read more...