a.gif Sala ya Saa Tisa

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ahadi mateso nia toba yesu,
Sala ya Saa Tisa
✝⌚✝. read more...


a.gif Nyimbo na Sala za Ibada ya Njia ya Msalaba | Kwa siku za Ijumaa Kwaresma na Ijumaa Kuu

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada maombi maria mateso tafakari yesu,
Nyimbo na Sala za Ibada ya Njia ya Msalaba | Kwa siku za Ijumaa Kwaresma na Ijumaa Kuu
Picha na: ecatholic2000.com
--. read more...


a.gif Sentesi saba za Yesu msalabani ni zipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia yesu,
Sentesi saba za Yesu msalabani ni zipi?
Sentesi saba za Yesu Msalabani ni;
1. Baba uwasamehe kwa maana hawajui wanalofanya (Lk 23:34)
2. Nakuambia Hakika leo utakuwa pamojanami Mbinguni (Lk 23:43)
3. Mama huyu ndiye mwanao (Yoh 19:26). read more...


a.gif Yesu alitukomboa kwa hatua zipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia yesu,
Yesu alitukomboa kwa hatua zipi?
Yesu alitukomboa kwa Hatua Mbili (2) ambazo ni;. read more...


a.gif Yesu Alianza kuhubiri injili kwa maneno gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia yesu,
Yesu Alianza kuhubiri injili kwa maneno gani?
"Wakati umetimia na ufalme wa Mungu umekaribia, tubuni na kuiamini Injili" (Mk 1:15). read more...


a.gif Mtangulizi wa Yesu Kristu ni nan?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia yesu,
Mtangulizi wa Yesu Kristu ni nan?
Mtangulizi wa Yesu Kristu ni Yohani Mbatizaji. read more...


a.gif Yesu Kristu aliishi wapi kabala ya kuanza kazi yake?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia yesu,
Yesu Kristu aliishi wapi kabala ya kuanza kazi yake?
Yesu Kristu Aliishi Nazareti kabla ya kuanza kazi yake. read more...


a.gif Yesu Kristu alizaliwa wapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia yesu,
Yesu Kristu alizaliwa wapi?
Yesu Kristu alizaliwa Bethlehemu pangoni (Lk 2:4-7). read more...


a.gif Baba Mlishi wa Yesu Kristu ni nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia yesu,
Baba Mlishi wa Yesu Kristu ni nani?
Baba mlishi wa Yesu Kristo ni Yosefu Mtakatifu (Mt 1:18-20). read more...


a.gif Baba wa Yesu Kristo ni nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia yesu,
Baba wa Yesu Kristo ni nani?
Baba wa Yesu Kristo ni Mungu Mwenyewe. read more...


a.gif Je, Bikira Maria alikua na watoto wengine Mbali na Yesu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia bikira_maria yesu,
Je, Bikira Maria alikua na watoto wengine Mbali na Yesu?
Jibu fupi ni kwamba Bikira Maria hakuzaa watoto wengine na hakuwa na watoto wengine zaidi ya Yesu. read more...


a.gif Kabla ya Kupaa mbinguni Yesu aliwaahidi nini Mitume?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mitume roho_mtakatifu utatu_mtakatifu yesu,
Kabla ya Kupaa mbinguni Yesu aliwaahidi nini Mitume?
Kabla ya kupaa mbinguni Yesu aliwaahidia Mitume kuwapelekea Roho Mtakatifu; ndiye nafsi ya Tatu ya Utatu Mtakatifu. (Yoh 16:7). read more...


a.gif Novena ya Noeli

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada maombi novena yesu,
Novena ya Noeli
*Novena ya Noeli (maarufu kama novena ya Mt. Andrea)*. read more...


a.gif Je, sala inaweza kumuendea Yesu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala yesu,
Je, sala inaweza kumuendea Yesu?
Ndiyo, sala inaweza kumuendea Yesu, Bwana wetu na kaka yetu, aliye hai mbinguni, kama ilivyomuendea na kusikilizwa alipokuwa duniani.. read more...


a.gif Je, Yesu ametufundisha maneno ya sala pia?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala yesu,
Je, Yesu ametufundisha maneno ya sala pia?
Ndiyo, Yesu ametufundisha maneno ya sala ya β€˜Baba Yetu’, kamili kuliko zote. Maombi yake saba yanategemea utangulizi ambao tunamuendea Mungu kwa ujasiri na furaha kama watoto wake, ndugu kati yetu.. read more...


a.gif Yesu ametufundisha kusali vipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala yesu,
Yesu ametufundisha kusali vipi?
Yesu ametufundisha kusali akitueleza misimamo ambayo tuwe nayo.. read more...


a.gif Yesu alisali vipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala yesu,
Yesu alisali vipi?
Yesu alisali kila mahali na kila wakati, akidumisha ushirika wa upendo kati yake na Baba katika Roho Mtakatifu.. read more...


a.gif Je, sala ya Yesu inatokana na utu wake tu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala yesu,
Je, sala ya Yesu inatokana na utu wake tu?
Hapana, sala ya Yesu haitokani na utu wake tu, bali katika huo Mwana wa milele ndiye anayemuelekezea Baba yake sala kamili ya kitoto.. read more...


a.gif Ekaristi maana yake nini? Je ni kweli Yesu yupo katika Maumbo ya Mkate na Divai?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi kanisa madhehebu yesu,
Ekaristi maana yake nini? Je ni kweli Yesu yupo katika Maumbo ya Mkate na Divai?
Ekaristi maana yake ni shukrani, iliyokuwa msimamo wa msingi wa Yesu kwa Baba maisha yake yote, hasa alipofikia wakati wa kutolewa awe kafara ya wokovu wetu.

23Maana mimi nilipokea kwa Bwana yale maagizo niliyowaachieni: Kwamba, usiku ule Bwana Yesu alipotolewa, alitwaa mkate, 24akamshukuru Mungu, akaumega, akasema: β€œHuu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa kunikumbuka.” 25Vivyo hivyo, baada ya kula, akatwaa kikombe cha divai, akasema: β€œHiki ni kikombe cha agano jipya linalothibitishwa kwa damu yangu. Fanyeni hivi, kila mnapokunywa, kwa kunikumbuka.”
26Maana kila mnapokula mkate huu na kukinywa kikombe hiki, mwatangaza kifo cha Bwana, mpaka atakapokuja. 27Kwa hiyo, kila aulaye mkate huo au kunywa kikombe cha Bwana bila kustahili, atakuwa na hatia dhidi ya mwili na damu ya Bwana. (1Kor 11:23-27).. read more...


a.gif Siku ya ufufuo Kristo mfalme atatuhukumu vipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ hukumu kifo marehemu ufufuko yesu,
Siku ya ufufuo Kristo mfalme atatuhukumu vipi?
Siku ya ufufuo Kristo mfalme atatuhukumu kwa kudhihirisha misimamo ya watu wote ambao, kwa kupokea au kukataa upendo wa Mungu moyoni mwao, wametenda mema au la.. read more...


page 1 of 512345next »