a.gif Je, ufufuko wa Yesu ni muhimu kwetu pia?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 hukumu marehemu ufufuko wafu yesu,
Je, ufufuko wa Yesu ni muhimu kwetu pia?
Ndiyo, ufufuko wa Yesu ni muhimu kwetu pia, kwa sababu kwa njia yake tu tunatiwa uzima: sasa rohoni kwa kuondolewa dhambi, na siku ya mwisho mwilini pia kwa kufufuliwa.. read more...


a.gif Mambo makuu manne ya mwisho ni yapi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 hukumu kifo marehemu ufufuko wafu,
Mambo makuu manne ya mwisho ni yapi?
Mambo hayo ni;. read more...


a.gif Je, hatuwezi kupunguza mateso ya roho za marehemu waliokwenda toharani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 hukumu marehemu toharani ufufuko wafu,
Je, hatuwezi kupunguza mateso ya roho za marehemu waliokwenda toharani?
Ndiyo: twaweza kupunguza hata kuyamaliza kwa kuwasalia na kuwapatia rehema na hasa kwa kuadhimisha Misa kwa ajili yao. (2Mik 12:38-46). read more...


a.gif Toharani ni mahali gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 hukumu marehemu toharani ufufuko wafu,
Toharani ni mahali gani?
Toharani ni mahali pa mateso zinakosafishwa roho ambazo hazikutimiza kitubio vizuri baada ya kuungama dhambi. (1Kor 3:15, 1Pet 1:7).. read more...


a.gif Uzima wa milele ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 hukumu kifo marehemu ufufuko uzima_wa_milele wafu,
Uzima wa milele ni nini?
Uzima wa milele ni maisha ya kukaa mbinguni na Mungu yasiyokua na mwisho.. read more...


a.gif Motoni ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 hukumu kifo marehemu ufufuko wafu,
Motoni ni nini?
Motoni ni makao mabaya kwa Shetani walaaniwa wakaapo mbali na Mungu wakiteswa milele. (Mt 25:41, Mik 9:42-43, 1Yoh 14:15). read more...


a.gif Mbinguni ni mahali pa namna gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 hukumu marehemu ufufuko wafu,
Mbinguni ni mahali pa namna gani?
Mbinguni ni makao mema ya heri na furaha (2Kor 5:1, Ufu, 2:17).. read more...


a.gif Matokeo ya hukumu hiyo ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 hukumu marehemu mtu wafu,
Matokeo ya hukumu hiyo ni nini?
Matokeo ya Hukumu hiyo ni roho kwenda Mbinguni, Toharani au Motoni. (Mt 25:34-46). read more...


a.gif Baada ya kifo cha mtu nini hutokea?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 hukumu marehemu mtu wafu,
Baada ya kifo cha mtu nini hutokea?
Baada ya kifo roho yake inafika mbele ya Mungu kwa hukumu ya mtu binafsi.. read more...


a.gif Ufufuko wa wafu maana yake nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 hukumu marehemu ufufuko wafu,
Ufufuko wa wafu maana yake nini?
Ufufuko wa wafu maana yake mwisho wa dunia watu wote watafufuka na miili yao na kwenda nayo katika furaha ya milele au moto wa milele. (Ayu 19:25-26, Mt 22:30-32, Yh 28-29). read more...