a.gif Biblia ni nini? Asili, Historia, waandishi na mipaka yake

Category 👉katekisimu, Tags 👉 asili biblia kanisa katoliki madhehebu mapokeo mitume roho_mtakatifu visakramenti watakatifu,
Biblia ni nini? Asili, Historia, waandishi na mipaka yake
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali vinavyohusu kazi ya Mungu ya kuwakomboa mwanadamu kuanzia enzi za Mababu na manabii Wa Waisraeli, Enzi za Yesu na za Mitume wa Yesu.. read more...


a.gif Nini faida ya Visakramenti?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 visakramenti,
Nini faida ya Visakramenti?
Visakramenti vina faida hizi;
1. Kuongeza moyo wa Imani na uchaji
2. Kujipatia neema mbalimbali. read more...


a.gif Tuchukue tahadhari gani tunapotumia visakramenti?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 visakramenti,
Tuchukue tahadhari gani tunapotumia visakramenti?
Tunapotumia Visakramenti tuchukue tahadhari hizi. read more...


a.gif Tuvitumie visakramenti kwa namna gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 visakramenti,
Tuvitumie visakramenti kwa namna gani?
Tuvitumie visakramenti kwa imani na matumaini; yaani kwa kwa kutumainia kupata ulinzi wa Mungu kwa ajili ya baraka ya Kanisa. read more...


a.gif Ni visakramenti gani hutumika mara nyingi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 visakramenti,
Ni visakramenti gani hutumika mara nyingi?
Visakramenti vinavyotumika mara nyingi ni. read more...


a.gif Kwa nini tunatumia Visakramenti?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 visakramenti,
Kwa nini tunatumia Visakramenti?
Tunatumia visakramenti kwa sababu vinatusaidia rohoni na mwilini na vinatuongezea Imani na kutuletea msaada wa Mungu. read more...


a.gif Visakramenti ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 visakramenti,
Visakramenti ni nini?
Visakramenti ni Baraka za Kanisa juu ya watu, vitu na mahali kwa lengo la kuandaa watu kupokea tunda la Sakramenti na kutakatifuzwa mazingira mbalimbali ya maisha tunamoishi. read more...


a.gif Lengo kuu la visakramenti ni lipi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 visakramenti,
Lengo kuu la visakramenti ni lipi?
Lengo kuu la visakramenti ni kuwaandaa watu wapokee kwa imani sakramenti zitakazowatia uzima wa Mungu unaodumu milele. Hivyo visakramenti visitiwe maanani kuliko sakramenti zilizowekwa na Yesu mwenyewe ziwe kiini cha maisha yetu.. read more...


a.gif Kanisa linatoa visakramenti kwa nani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 visakramenti,
Kanisa linatoa visakramenti kwa nani?
Kanisa linatoa visakramenti hata kwa waamini wenye vizuio na kwa wasio Wakristo, kwa sababu vinaeleweka na kuthaminiwa kwa urahisi, kwa kuwa zinasaidia kufurahia maisha.. read more...