a.gif Fadhila inayoondoa uvivu ni ipi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 vilema,
Fadhila inayoondoa uvivu ni ipi?
Fadhila inayoondoa uvivu ni utendaji. read more...


a.gif Uvivu ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 vilema,
Uvivu ni nini?
Uvivu ni uregevu wa moyo unaotufanya tukose juhudi. read more...


a.gif Ni fadhila ipi yenye kuondoa hasira?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 vilema,
Ni fadhila ipi yenye kuondoa hasira?
Fadhila inayoondoa hasira ni fadhila ya upole. read more...


a.gif Hasira ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 vilema,
Hasira ni nini?
Hasira ni kukasirika bure kuonea na kulipiza kisasi. read more...


a.gif Ni fadhila gani inayoondoa ulafi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 vilema,
Ni fadhila gani inayoondoa ulafi?
Fadhila inayoondoa ulafi ni kadiri na kiasi. read more...


a.gif Ulafi ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 vilema,
Ulafi ni nini?
Ulafi ni kupenda kula au kunywa bila kiasi. read more...


a.gif Ni fadhila ipi yenye kuondoa wivu?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 vilema,
Ni fadhila ipi yenye kuondoa wivu?
Fadhila inayoondoa wivu ni fadhila ya wema. read more...


a.gif Wivu ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 vilema,
Wivu ni nini?
Wivu ni kuwaonea watu uchungu kwa heri walizonazo au kufurahia misiba yao. read more...


a.gif Ni fadhila ipi inayoondoa uchafu?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 vilema,
Ni fadhila ipi inayoondoa uchafu?
Fadhila inayoondoa uchafu ni fadhila ya Usafi wa Moyo. read more...


a.gif Uchafu ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 vilema,
Uchafu ni nini?
Uchafu ni kufanya mawazo, tamaa, maneno au matendo kwa kuvunja amri ya sita au ya tisa ya Mungu. read more...


a.gif Ni fadhila gani inayoondoa ubahili?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 vilema,
Ni fadhila gani inayoondoa ubahili?
Fadhila inayoondoa ubahili ni ukarimu. read more...


a.gif Ubahili ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 vilema,
Ubahili ni nini?
Ubahili ni kupenda mno mali za dunia na kumsahau Mungu. read more...


a.gif Ni fadhila gani inayoondoa majivuno?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 vilema,
Ni fadhila gani inayoondoa majivuno?
Fadhila inayoondoa majivuno ni fadhila ya Unyenyekevu. read more...


a.gif Majivuno ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 vilema,
Majivuno ni nini?
Majivuno ni kujiona mkubwa nafsini mwako au mbele za watu.. read more...


a.gif Vichwa au Mizizi ya dhambi ni ipi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 vilema,
Vichwa au Mizizi ya dhambi ni ipi?
1. Majivuno
2. Uchoyo
3. Wivu
4. Hasira
5. Tamaa mbaya
6. Ulafi
7. Uvivu au uzembe. read more...


a.gif Vilema ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 vilema,
Vilema ni nini?
Vilema ni mazoea ya kutenda mambo mabaya na kuacha kutenda mambo mema. (Gal 5:19-21). read more...


a.gif Mambo yanayomzuia mtu kuishi maisha mema ni yapi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 dhambi vilema vishawishi,
Mambo yanayomzuia mtu kuishi maisha mema ni yapi?
Mambo hayo ni;
1. Dhambi
2. Vilema
3. Vishawishi. read more...


a.gif ATHARI ZA ULEVI KATIKA JAMII

Category 👉wiki, Tags 👉 ajali ambavyo athari barabarani basi hasira hatia hivyo huathiri hupoteza hupunguza hutokea huwadhuru huweza isitoshe iwapo jamii jamii. katika kazini kiakili kiasi kimwili. kuchangia kuenea kupita kupitia kutokana kuwa kwa kwenye madhara maisha mara mbalimbali. mengine na njia nyingi pombe tagi: uangalifu ulevi ulevi. vilema vitu vvu wagomvi wakilewa wakiwa wamelewa. wanafanya wanaokunywa wanokunywa wasingekuwa wasingevifanya wasiokuwa watu wengi yao za zinazohusiana,
ATHARI ZA ULEVI KATIKA JAMII
Watu wanokunywa kupitia kiasi huathiri jamii kwa njia
mbalimbali. Madhara mengine hutokea kwa kuwa wanafanya
vitu ambavyo wasingevifanya iwapo wasingekuwa wamelewa.. read more...