a.gif Kwa nini Yesu alishawishiwa/alijaribiwa na Shetani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi mtu mungu uumbaji yesu,
Kwa nini Yesu alishawishiwa/alijaribiwa na Shetani?
Yesu alishawishiwa na Shetani kwa kuwa ni mtu kweli, akamshinda kwa niaba ya watu wote, akituonyesha namna ya kumtii Mungu moja kwa moja, β€œhata mauti, naam, mauti ya msalaba” (Fil 2:8).. read more...


a.gif Sisi binadamu tukoje?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu uumbaji,
Sisi binadamu tukoje?
Sisi binadamu ni umoja wa mambo mawili: roho iliyoumbwa na Mungu moja kwa moja, na mwili ulioumbwa naye kwa njia ya wazazi.. read more...


a.gif Malaika wakoje?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ malaika uumbaji,
Malaika wakoje?
Malaika ni roho tupu walioumbwa na Mungu ili wamtukuze milele, wamlinde kila mtu na kumtumikia Bwana Yesu katika kutuokoa.. read more...


a.gif Je, kati ya viumbe mbalimbali Mungu ameweka mpango wowote?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ uumbaji,
Je, kati ya viumbe mbalimbali Mungu ameweka mpango wowote?
Ndiyo, kati ya viumbe mbalimbali Mungu ameweka mpango: alitaka malaika wasioonekana wamtumikie kwa kutusaidia sisi watu, na vile vinavyoonekana tuvitumie kwa uadilifu ili kwa njia yetu vimtukuze yeye.. read more...


a.gif Malaika na watu wanaweza kuchagua hata nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ malaika mtu uumbaji,
Malaika na watu wanaweza kuchagua hata nini?
Malaika na watu wanaweza kuchagua hata wawe wema au wabaya milele.. read more...


a.gif Viumbe vyenye hiari ni vipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ malaika mtu uumbaji,
Viumbe vyenye hiari ni vipi?
Malaika na watu ndio viumbe pekee vyenye hiari ya kuchagua wenyewe wachangie mpango wa Mungu au la.. read more...


a.gif Tunaanzaje kumjua Mungu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu mungu uumbaji,
Tunaanzaje kumjua Mungu?
Tunaanza kumjua Mungu kwa kuzingatia viumbe vyake, hasa dhamiri yetu.. read more...


a.gif Ikiwa Mungu anatushughulikia, tunapaswa kufanya nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu uumbaji,
Ikiwa Mungu anatushughulikia, tunapaswa kufanya nini?
Ikiwa Mungu anatushughulikia, tunapaswa kujiachilia mikononi mwake kwa moyo wa kitoto, tukiwajibika bila ya mahangaiko yanayowapata watu wasiomjua.. read more...


a.gif Je, Mungu anazidi kushughulikia viumbe vyake?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ uumbaji,
Je, Mungu anazidi kushughulikia viumbe vyake?
Ndiyo, Mungu anazidi kushughulikia viumbe vyake, akividumisha na kuviongoza vyote vifikie lengo alilovipangia.. read more...


a.gif Kwa nini Mungu aliumba vyote?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ uumbaji,
Kwa nini Mungu aliumba vyote?
Mungu aliumba vyote bila ya kulazimika, kusudi tu adhihirishe na kushirikisha utukufu wake.. read more...


a.gif Mungu aliumbaje vyote?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ uumbaji,
Mungu aliumbaje vyote?
Mungu aliumba vyote kwa kutaka tu, bila ya kutumia chochote.. read more...


a.gif Asili ya uhai wote ni nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ uumbaji,
Asili ya uhai wote ni nani?
Asili ya uhai wote ni Mwenyezi Mungu. β€œHapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi” (Mwa 1:1).. read more...


a.gif Kwa nini Mungu alituumba? Kwa nini Mungu aliumba mtu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu uumbaji,
Kwa nini Mungu alituumba? Kwa nini Mungu aliumba mtu?
Mungu ametuumba tumjue, tumpende, tumtumikie tulipo wazima hapa duniani, hata mwisho tukisha kufa tuende kwake Mbinguni katika katika makao ya raha milele. (Mwa 2:7; Mt. 19:17; Yoh 14:1-3 na Yoh 17:24). read more...


a.gif Mungu alimwumbaje Eva (Hawa)?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu uumbaji,
Mungu alimwumbaje Eva (Hawa)?
Mungu alimwumba Eva kwa mfupa wa ubavu kutoka kwa Adamu, akamtia roho. (Mwa 2:21-24). read more...


a.gif Mungu alimwumbaje Adamu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu uumbaji,
Mungu alimwumbaje Adamu?
Mungu aliufanya mwili wa Adamu kwa udongo, akaupulizia roho yenye uhai. (Mwa 2:7). read more...


a.gif Watu wa kwanza kuumbwa na Mungu ni akina nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu uumbaji,
Watu wa kwanza kuumbwa na Mungu ni akina nani?
Watu wa kwanza kuumbwa na Mungu ni Adamu na Hawa (Eva). (Mwa 1:27). read more...


a.gif Tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu maana yake ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu uumbaji,
Tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu maana yake ni nini?
Tumeumbwa kwa mfano na sura ya Mungu maana yake tuna roho zenye akili na utashi yaani uwezo wa kutofautisha mema namabaya, na zitakazoishi milele.. read more...


a.gif Mungu alisema nini alipotaka kumuumba mtu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu uumbaji,
Mungu alisema nini alipotaka kumuumba mtu?
Mungu alipotaka kumwumba mtu alisema;. read more...


a.gif Mungu aliumbaje ulimwengu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ uumbaji,
Mungu aliumbaje ulimwengu?
Mungu aliumba ulimwengu kwa uwezo wake kwa kusema na bila kutumia kitu chochote. (Mwa 1:1). read more...


a.gif Kwa nini Mungu aliumba ulimwengu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ uumbaji,
Kwa nini Mungu aliumba ulimwengu?
Mungu aliumba ulimwengu ili adhihirishe utukufu wake na kutushirikisha wema, ukweli na uzuri wake. read more...


page 1 of 212next »