a.gif Wito wa Katekista ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 utawa,
Wito wa Katekista ni nini?
Ni wito maalumu kutoka kwa Roho Mtakatifu na ni karama maalumu inayotambuliwa na Kanisa na kufanywa dhahiri kwa mamlaka ya Askofu. read more...


a.gif Nadhiri ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 utawa,
Nadhiri ni nini?
Nadhiri ni Ahadi yenye kiapo, kwa Mungu kwa kila lengo la kuishi Karama fulani ya Utawa, na kawaida hufanywa hadharani. read more...


a.gif Hatua za maisha ya kitawa ni zipi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 utawa,
Hatua za maisha ya kitawa ni zipi?
Hatua za maisha ya kitawa ni
1. Uaspiranti - Mtarajiwa wa Maisha ya Kitawa
2. Ukandidati - Mtarajiwa wa maisha ya kitawa
3. Upostulanti - uombaji wa Maisha ya kitawa. read more...


a.gif Mwenye kusikia mvuto wa kuingia Utawa afanyeje?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 utawa,
Mwenye kusikia mvuto wa kuingia Utawa afanyeje?
1. Asali akiomba mwanga wa Roho Mtakatifu
2. Awaeleze wazazi wake na kutafuta ushauri kwa Padre au Mtawa
3. Atembelee nyumba za Utawa au asome habari za mashirika mbalimbali ya kitawa ili aweze kuchagua shirika linalolingana na vipaji vyake.. read more...


a.gif Mashirika ya Kitawa yapo mangapi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 utawa,
Mashirika ya Kitawa yapo mangapi?
Mashirika ya Kitawa yapo mengi na yana Karama/Utume mbalimbali, ila yote yanamtukuza Mungu Baba na Kumsujudia Yesu Kristo. (1 Kor 12:4-6). read more...


a.gif Ubikira au Usafi kamili maana yake ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 utawa,
Ubikira au Usafi kamili maana yake ni nini?
Ni kujinyima Ndoa kwa hiari na kutunza usafi wa Moyo kadiri ya Amri ya Sita na Tisa ya Mungu kwa maisha yote.. read more...


a.gif Utii wa kitawa ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 utawa,
Utii wa kitawa ni nini?
Utii wa Kitawa ni kuweka utashi chini ya Mungu kupitia Mkuu wa Shirika na kutenda yale anayoamriwa kadiri ya mahitaji ya Kanisaa na Shirika. (Yoh 5:30; Yoh 6:38; Yoh 4:34). read more...


a.gif Ufukara wa kitawa ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 utawa,
Ufukara wa kitawa ni nini?
Ufukara wa kitawa ni kutokuwa na mali Binafsi au kutotumia mali binafsi bila ruhusa. Ni kuitunza mali ya jamii kwa uangalifu na pia kuridhika na yale yapatikanayo. (Mt 19:16,21). read more...


a.gif Yapo makundi mangapi ya Kitawa?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 utawa,
Yapo makundi mangapi ya Kitawa?
Yapo makundi matatu ambayo ni;
1. Mapadre
2. Mabruda. read more...


a.gif Watawa hujishughulisha na mambo gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 utawa,
Watawa hujishughulisha na mambo gani?
1. Kumtukuza Mungu kwa sala, Ibada, tafakari ya Neno la Mungu na kuwaombea watu wote kwa Mungu
2. Kuwaongoza watu katika maisha ya kiroho. read more...


a.gif Kwa njia ya watawa Kanisa linaonyesha nini mbele ya watu wote?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 utawa,
Kwa njia ya watawa Kanisa linaonyesha nini mbele ya watu wote?
Kanisa linaonyesha jinsi Yesu alivyotenda mahali popote pale alipopita kwa mfano wagonjwa, maskini, wakosefu, watoto, vilema, wenye njaa na wasiojua habari njema. read more...


a.gif Mtaguso Mkuu unasema nini kuhusu kusudi la maisha ya Utawa?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 utawa,
Mtaguso Mkuu unasema nini kuhusu kusudi la maisha ya Utawa?
Kusudi la maisha ya Utawa ni;
1. Kutoa Ushuhuda wa Kristo na Kanisa na kutimiza mapenzi ya Mungu
2. Kujitoa kwa Kanisa ambapo kwa Jina la Mungu Kanisa linapokea Nadhiri za Mtawa, Linazilinda kwa Sheria yake, kuzilisha kwa Sakramenti na Mafundisho yake.. read more...


a.gif Mashauri ya Injili ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 utawa,
Mashauri ya Injili ni nini?
Ni mwaliko wa kuchagua kwa hiari kuishi;
1. Ufukara
2. Utii
3. Ubikira au usafi kamili kwa ajili ya ufalme wa Mungu (Mk 10:29-30). read more...


a.gif Utawa ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 utawa,
Utawa ni nini?
Utawa ni njia ya kipekee ya kuufikia ukamilifu wa Kristo kwa kujifunga hadharani kuishi mashauri ya Injili. read more...