a.gif Kanisa linafafanuaje fumbo la umwilisho?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 fumbo kanisa umwilisho,
Kanisa linafafanuaje fumbo la umwilisho?
Linatamka kuwa Yesu Kristo ni Mungu kweli na Mtu kweli. (Ebr 4:15). read more...


a.gif Namna gani Yesu ni Mungu kweli na mtu kweli?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 umwilisho yesu,
Namna gani Yesu ni Mungu kweli na mtu kweli?

  • Kama Mungu alijua yote hata yajayo, hakutenda dhambi
  • Kama mwanadamu aliona njaa, kiu, na uchovu (Yoh 4:6-7). read more...

a.gif Umwilisho maana yake ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 kanisa umwilisho yesu,
Umwilisho maana yake ni nini?
Umwilisho ni ile hali ya Yesu kama Mungu kujifanya mtu kwa Bikira Maria mzaa. (Yoh 1:14). read more...