a.gif Tupokeeje ufunuo wa Mungu?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 biblia kanisa madhehebu mapokeo ufunuo,
Tupokeeje ufunuo wa Mungu?
Tupokee ufunuo wa Mungu kwa kusadiki mafundisho ya Kanisa lake, ili tuzidi kumjua na kuambatana naye bila ya kudanganyika. Yesu aliwaambia Mitume wake,. read more...


a.gif Je, ufunuo wa Mungu unaweza kufafanuliwa rasmi na kila mtu?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 kanisa madhehebu mapokeo ufunuo,
Je, ufunuo wa Mungu unaweza kufafanuliwa rasmi na kila mtu?
Hapana, ufunuo wa Mungu unaweza kufafanuliwa rasmi na umoja wa Maaskofu tu, kwa kuwa ndio waandamizi wa Mitume 12 wa Yesu.. read more...


a.gif Ufunuo wa Mungu unatufikiaje miaka elfu mbili baada ya Kristo?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 mungu ufunuo,
Ufunuo wa Mungu unatufikiaje miaka elfu mbili baada ya Kristo?
Ufunuo wa Mungu unatufikia kupitia Kanisa lake, lililokabidhiwa Mapokeo ya Mitume na linaloongozwa na Roho Mtakatifu hadi ukweli wote.. read more...


a.gif Je, ufunuo wa Mungu unaendelea hata leo?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 mungu ufunuo,
Je, ufunuo wa Mungu unaendelea hata leo?
Hapana, ufunuo wa Mungu hauendelei, kwa sababu alikwisha kuukamilisha kwa kumtuma duniani Neno wake wa milele.. read more...