a.gif Sala ya Usiku kabla ya kulala

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada maombi shukrani tafakari toba,
Sala ya Usiku kabla ya kulala
Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.. read more...


a.gif Hakuna aliyesawa na Mungu

Category πŸ‘‰katoliki-music, Tags πŸ‘‰ masifu shangwe shukrani tafakari utukufu,
Hakuna aliyesawa na Mungu
audio: 'file:hakuna-alie-sawa-na-mungu/HAKUNA-ALIE-SAWA-NA-MUNGU.mp3'
maelezo: ''. read more...


a.gif Bwana Tunakushukuru

Category πŸ‘‰katoliki-music, Tags πŸ‘‰ shukrani,
Bwana Tunakushukuru
audio: 'file:bwana-tunakushukuru/Bwana-tunakushukuru.mp3'
maelezo: ''. read more...


a.gif SALA YA JIONI

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada kushukuru shukrani toba,
SALA YA JIONI
TUNAKUSHUKURU, EE MUNGU KWA MAPAJI YOTE ULIYOTUJALIA LEO AMINA
BABA YETU……………….. SALAMU MARIA……………….
SALA YA IMANI…….YA MATUMAINI………YA MAPENDO. read more...


a.gif Majitoleo ya Asubuhi

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada maombi nia shukrani,
Majitoleo ya Asubuhi
. read more...


a.gif SALA YA ASUBUHI

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada nia shukrani sifa yesu,
SALA YA ASUBUHI
Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu Mwenyezi, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, milele na milele, Amina.. read more...


a.gif SALA MUHIMU ZA MKRISTO ZA KILA SIKU ASUBUHI

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ahadi ibadamaombi maria nia shukrani sifa tafakari toba watakatifu yesu,
SALA MUHIMU ZA MKRISTO ZA KILA SIKU ASUBUHI
Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu Mwenyezi, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, milele na milele, Amina.. read more...


a.gif SALA YA BWANA

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada maombi msamaha shukrani sifa tafakari toba,
SALA YA BWANA
Baba yetu uliye mbinguni
Jina lako litukuzwe
Ufalme wako ufike
Utakalo lifanyike
Duniani kama mbinguni
Utupe leo mkate wetu wa kila siku
Utusamehe makosa yetu
Kama tunavyowasamehe
Na sisi waliotukosea
Usitutie katika kishawishi
Lakini utuopoe maovuni.
Amina.. read more...


a.gif Sala ya Baba yetu

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada maombi shukrani,
Sala ya Baba yetu
Baba Yetu uliye mbinguni,
jina lako litukuzwe;
ufalme wako ufike,
utakalo lifanyike
duniani kama mbinguni.
Utupe leo mkate wetu wa kila siku,
utusamehe makosa yetu,
kama tunavyowasamehe na sisi waliotukosea.
Usitutie katika kishawishi,
lakini utuopoe maovuni.
Amina. read more...