a.gif Je, ni halali kuheshimu sanamu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada kuabudu sanamu,
Je, ni halali kuheshimu sanamu?
Ndiyo, ni halali kuheshimu sanamu kama viwakilishi vya Yesu, Mama yake na watakatifu wake, ambao zinaleta sura zao.. read more...


a.gif Mungu akiwa Roho, viungo ambavyo pengine anapewa vina maana gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kuabudu mungu sanamu,
Mungu akiwa Roho, viungo ambavyo pengine anapewa vina maana gani?
Mungu akiwa Roho, viungo ambavyo pengine anapewa vinamaanisha tu sifa fulani: k.mf. macho ujuzi wake, mikono uwezo wake, mabawa ulinzi wake, n.k. β€œRoho haina mwili na mifupa” (Lk 24:39).. read more...


a.gif Kwa nini wakatoliki wanaweka sanamu Kanisani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_kwanza bikira_maria ibada kanisa kuabudu madhehebu sanamu,
Kwa nini wakatoliki wanaweka sanamu Kanisani?
Tunaweka sanamu Kanisani kwa sababu tunaheshimu anayewakilishwa na sanamu hiyo kwa mfano Yesu Kristo, Mama Bikira Maria, Malaika na Watakatifu; na kamwe hatuziabudu. (Kutoka 25:18-22). read more...


a.gif Ni nini maana ya kuabudu sanamu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_kumi amri_ya_kwanza kuabudu sanamu,
Ni nini maana ya kuabudu sanamu?
Kuabudu sanamu ni kukipa kiumbe chochote heshima au upendo anaostahili Mungu peke yake.. read more...


a.gif Mfano wa sanamu takatifu ni zipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_kumi amri_ya_kwanza kuabudu sanamu,
Mfano wa sanamu takatifu ni zipi?
Sanamu ya Bikira Maria, Mtoto Yesu, Mt. Yosefu, Moyo wa Yesu na za Watakatifu.. read more...


a.gif Je sanamu zimekatazwa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_kumi amri_ya_kwanza kuabudu sanamu,
Je sanamu zimekatazwa?
Sanamu hazijakatazwa, ila tunaziheshimu kwa sababu zinatukumbusha Mungu na Watakatifu. (Kut 25:18-22).. read more...