a.gif Sala zipo za namna ngapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala,
Sala zipo za namna ngapi?
Sala zipo za namna tatu,. read more...


a.gif Yatupasa kusali namna gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala,
Yatupasa kusali namna gani?
Yatupasa kusali kwa Unyenyekevu, Ibada, Matumaini na kwa Saburi. Yesu alitufundisha kuhusu kusali kwa kutumia mfano huu;. read more...


a.gif Yatupasa kusali lini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala,
Yatupasa kusali lini?
Yatupasa kusali kila siku bila kukata tamaa (Lk 18:1) Sala ndiyo njia pekee ya kutuunganisha na Mungu.. read more...


a.gif Nani anapaswa kusali?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala,
Nani anapaswa kusali?
Watu wote wanapaswa kusali, wema na wabaya. Sala ndiyo njia pekee ya kumuunganisha Mwanadamu na Mungu. Tunapaswa kusali Katika hali yoyote. Tunapokuwa katika hali ya neema tunapaswa kusali vivyo hivyo tunapokuwa katika hali ya dhambi tunapaswa kusali.. read more...


a.gif Kwa nini tunasali?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala,
Kwa nini tunasali?
Tunasali ili kudumisha mahusiano yetu na Mungu na ili kutimiza wajibu wetu Mbele ya Mungu. Sababu kuu za kusali ni;

  1. Kumwabudu Mungu,
  2. Kumshukuru Mungu,
  3. Kuomba neema na baraka kwa ajili yetu na wenzetu,
  4. Kuomba msamaha,
  5. Kumsifu na kumtukuza Mungu. read more...

a.gif Sala ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ maana sala,
Sala ni nini?
Sala ni kuinua mioyo yetu kwa Mungu na kuongea nae. Kuongea maana yake ni kusema na Kusikiliza. Sala sio kuongea tuu, sala ni kuongea na kusikiliza. Mungu anatualika tuongee nae kwa kusema na kusikiliza. Kwenye Biblia tunasoma Hivi;

β€œNiite, nami nitakujibu na kukuambia mambo makubwa yaliyofichika ambayo hujapata kuyajua".(Yeremia 33:3). read more...


a.gif Mambo yanayoweza kusababisha sala au maombi yako yasijibiwe

Category πŸ‘‰katoliki, Tags πŸ‘‰ ; au hatupati hizi kusababisha lakini mambo maombi mara nyingi sababu sala tukiomba tumekua yako yanayoweza yasijibiwe zikawa zinaweza,
Mambo yanayoweza kusababisha sala au maombi yako yasijibiwe
Mara nyingi tumekua tukiomba lakini hatupati, sababu zinaweza zikawa hizi ;. read more...


a.gif Website Kwa Wakatoliki | Karibu Katika Website Maalumu Kwa Wakristu Wakatoliki

Category πŸ‘‰katolikihome, Tags πŸ‘‰ home-page kiswahili kurasa_kuu kurasa-kuu mafundisho main-page makala_za_kikatoliki miujiza nyimbo picha picha_za_katoliki sala swahili-categories swahili-websites tafakari watakatifu,
Website Kwa Wakatoliki | Karibu Katika Website Maalumu Kwa Wakristu Wakatoliki
div.main-content-wrap{ width: 100% !important; }
nav.side-bar-wrap{ display: none !important; }
main .content .page-title{ display: none; }. read more...


page 4 of 4« previous1234