a.gif Kwa kugusa kifua tuna maana gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ishara ishara_ya_msalaba sala,
Kwa kugusa kifua tuna maana gani?
Kwa kugusa kifua maana yake ni kuupokea na kuukubali msalaba moyoni.. read more...


a.gif Kwa kugusa paji la uso tuna maana gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ishara ishara_ya_msalaba sala,
Kwa kugusa paji la uso tuna maana gani?
Kwa kugusa paji la uso tuna maana ya kukubali kwa akili. read more...


a.gif Ishara ya msalaba ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ishara ishara_ya_msalaba maana sala,
Ishara ya msalaba ni nini?
Ishara ya Msalaba ni tendo la mtu kugusa panda la uso, kifua na mabega kwa kutumia mkono wa kulia na kutamka "Kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina". read more...


a.gif "Aleluya" katika sala, hasa zaburi ina maana gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ maana sala,
"Aleluya" katika sala, hasa zaburi ina maana gani?
"Aleluya" katika sala, hasa zaburi ina maanisha "Msifuni Mungu". read more...


a.gif Neno "Amina" katika sala lina maana gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ maana sala,
Neno "Amina" katika sala lina maana gani?
Neno "Amina" katika sala lina maanisha "Na iwe Hivyo" (Hesabu 5:22). read more...


a.gif Mwenye kusali anakutana na majaribu gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala,
Mwenye kusali anakutana na majaribu gani?
Anakutana na Majaribu haya;. read more...


a.gif Mahali gani panafaa kwa sala?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala,
Mahali gani panafaa kwa sala?
Mtu anaweza kusali mahali popote lakini Kanisani ndipo mahali Rasmi pa sala. read more...


a.gif Ipi ni shule ya kwanza ya sala?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala,
Ipi ni shule ya kwanza ya sala?
Familia ni shule ya kwanza ya sala. read more...


a.gif Ni zipi sala Muhimu kwa Mkristo?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala,
Ni zipi sala Muhimu kwa Mkristo?
Sala muhimu kwa Mkristo ni;. read more...


a.gif Ni ipi sala bora kwa Bikira Maria? Kwa nini Tunasali kwa Bikira Maria?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ bikira_maria kanisa madhehebu sala,
Ni ipi sala bora kwa Bikira Maria? Kwa nini Tunasali kwa Bikira Maria?

Sala bora kwa Bikira Maria ni Rozari Takatifu. read more...


a.gif Ni ipi sala kubwa ya Kanisa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa sala,
Ni ipi sala kubwa ya Kanisa?
Sala kubwa ya Kanisa ni Misa Takatifu. read more...


a.gif Roho Mtakatifu ana nafasi gani katika sala?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ roho_mtakatifu sala,
Roho Mtakatifu ana nafasi gani katika sala?
Roho Mtakatifu ndiye Mlezi wa ndani wa sala ya Kikristo. read more...


a.gif Vyanzo vya sala za Kikristo

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu sala,
Vyanzo vya sala za Kikristo
Vyanzo vya sala za kikristo ni;. read more...


a.gif Je, yatupasa kuombea wengine?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala,
Je, yatupasa kuombea wengine?
Ndiyo. Yatupasa kuwaombea watu wote hasa wenye shida, wakosefu na hata maadui zetu.. read more...


a.gif Yesu alitufundisha sala gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala yesu,
Yesu alitufundisha sala gani?
Yesu alitufundisha sala ya Baba Yetu (Mt. 6:9-13). read more...


a.gif Ni nyakati gani zafaa kwa sala?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala,
Ni nyakati gani zafaa kwa sala?
Nyakati zote zafaa kwa sala hasa:. read more...


a.gif Sala ya kanisa ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa sala,
Sala ya kanisa ni nini?
Sala ya kanisa ni sala maalumu wasaliyo Maklero, Watawa, na Walei kwa ajili ya Kanisa zima. read more...


a.gif Sala ya fikara ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ maana sala,
Sala ya fikara ni nini?
Sala ya fikra ni sala asaliyo mtu peke yake au akiwa na wengine kimya kimya akimuwaza Mungu. read more...


a.gif Sala ya sauti ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala,
Sala ya sauti ni nini?
Sala ya sauti ni sala asaliyo mtu au kundi kwa kutamka maneno. read more...


a.gif Sala ya Taamuli ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ maana sala,
Sala ya Taamuli ni nini?
Sala ya taamuli ni sala ya kumtazama tuu Mungu kwa upendo mkubwa moyoni. read more...