a.gif Sala ni Hazina

Category πŸ‘‰katoliki-cotent, Tags πŸ‘‰ sala,
Sala ni Hazina
Sala ni Hazina. Kusali ni muhimu sana. Sala unayosali leo inaweza kukusaidia hata miaka kumi ijayo au ikasaidia watoto wa watoto wako. Mungu ni mwenye fadhila na anakumbuka yote. Mwombe Mungu akulinde ukiwa mzima ili uwapo hatarini akukumbuke hata kabla hujamwomba.. read more...


a.gif Je, Yatupasa kumwomba Roho Mtakatifu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mungu roho_mtakatifu sala utatu_mtakatifu,
Je, Yatupasa kumwomba Roho Mtakatifu?
Ndiyo, kwani twataka kwake maonyo na msaada. Tusipokuwa na neema yake hatuwezi kutenda jambo jema la kufaa kutuokoa. (Yoh 16:13). read more...


a.gif Je, sala inaweza kuwaendea Mama na marafiki wa Yesu (Watakatifu)?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ bikira_maria madhehebu sala watakatifu,
Je, sala inaweza kuwaendea Mama na marafiki wa Yesu (Watakatifu)?
Ndiyo, sala inaweza kuwaendea Mama na marafiki wa Yesu, walioungana naye kuwa mwili mmoja, wasiweze kutenganishwa na chochote.. read more...


a.gif Roho Mtakatifu anaweza kutufikisha hadi wapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ roho_mtakatifu sala,
Roho Mtakatifu anaweza kutufikisha hadi wapi?
Roho Mtakatifu anaweza kutufikisha hadi muungano wa dhati na Mungu.. read more...


a.gif Roho Mtakatifu anatusaidiaje kusali?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ roho_mtakatifu sala,
Roho Mtakatifu anatusaidiaje kusali?
Roho Mtakatifu anatusaidia tusali kama Yesu, akiwa mlezi wa ndani na kutumia vipaji vyake saba.. read more...


a.gif Je, sala inaweza kumuendea Yesu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala yesu,
Je, sala inaweza kumuendea Yesu?
Ndiyo, sala inaweza kumuendea Yesu, Bwana wetu na kaka yetu, aliye hai mbinguni, kama ilivyomuendea na kusikilizwa alipokuwa duniani.. read more...


a.gif Je, sala yetu inasikilizwa daima?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala,
Je, sala yetu inasikilizwa daima?
Ndiyo, sala yetu inasikilizwa daima kwa kuwa imeunganika kwa imani na ile ya Yesu, njia pekee ya kumuendea Baba.. read more...


a.gif Je, sala inategemea maneno?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala,
Je, sala inategemea maneno?
Hapana, sala haitegemei maneno mengi mazuri, bali kujijenga. read more...


a.gif Je, Yesu ametufundisha maneno ya sala pia?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala yesu,
Je, Yesu ametufundisha maneno ya sala pia?
Ndiyo, Yesu ametufundisha maneno ya sala ya β€˜Baba Yetu’, kamili kuliko zote. Maombi yake saba yanategemea utangulizi ambao tunamuendea Mungu kwa ujasiri na furaha kama watoto wake, ndugu kati yetu.. read more...


a.gif Yesu ametufundisha kusali vipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala yesu,
Yesu ametufundisha kusali vipi?
Yesu ametufundisha kusali akitueleza misimamo ambayo tuwe nayo.. read more...


a.gif Yesu alisali vipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala yesu,
Yesu alisali vipi?
Yesu alisali kila mahali na kila wakati, akidumisha ushirika wa upendo kati yake na Baba katika Roho Mtakatifu.. read more...


a.gif Je, sala ya Yesu inatokana na utu wake tu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala yesu,
Je, sala ya Yesu inatokana na utu wake tu?
Hapana, sala ya Yesu haitokani na utu wake tu, bali katika huo Mwana wa milele ndiye anayemuelekezea Baba yake sala kamili ya kitoto.. read more...


a.gif Kama binadamu Yesu alijifunza kusali kwa nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada sala,
Kama binadamu Yesu alijifunza kusali kwa nani?
Kama binadamu Yesu alijifunza kusali kwa Mama yake na kwa mapokeo yote ya Israeli, yaliyojitokeza hasa katika Zaburi.. read more...


a.gif Kielelezo cha sala yetu ni nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada sala,
Kielelezo cha sala yetu ni nani?
Kielelezo cha sala yetu ni Yesu Kristo.. read more...


a.gif Ikiwa sala ni maongezi ya Mungu na mtu, kwanza tufanye nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada sala,
Ikiwa sala ni maongezi ya Mungu na mtu, kwanza tufanye nini?
Ikiwa sala ni maongezi ya Mungu na mtu, kwanza tumsikilize kwa makini na kutafakari alichosema ili tukifanyie kazi. Tukisema peke yetu si sala, kwa kuwa ukisema upande mmoja tu si maongezi.. read more...


a.gif Mazinguo ndiyo nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada sala,
Mazinguo ndiyo nini?
Mazinguo ni sala za kupungia mashetani ili kuepusha watu na balaa au madhara, hasa kama wamepagawa nao.. read more...


a.gif Sala zina faida gani? Kwa nini watu tunasali?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sala,
Sala zina faida gani? Kwa nini watu tunasali?
Sala zina faida hizi;. read more...


a.gif Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomo, na kifua kabla ya Injili ina maana gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada ishara ishara_ya_msalaba maana misa sala,
Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomo, na kifua kabla ya Injili ina maana gani?
Maana yake ni kama Ahadi kuwa, Niko tayari kulifahamu Neno la Mungu kwa akili yangu, Nitalitangaza kishujaa kwa Midomo yangu, Nitalipenda na kulishika kwa Moyo wangu wote.. read more...


a.gif Kwa nini tunafanya Ishara ya Msalaba?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ishara_ya_msalaba sala,
Kwa nini tunafanya Ishara ya Msalaba?
Tunafanya Ishara ya Msalaba kwa nia ya kumkiri Mungu mmoja katika Nafsi Tatu. Pia msalaba ni Ishara ya Ukombozi wetu. read more...


a.gif Kwa kugusa mabega tuna maana gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ishara ishara_ya_msalaba sala,
Kwa kugusa mabega tuna maana gani?
Kwa kugusa mabega maana yake ni kuwa tayari kuubeba msalaba kwa nguvu zetu zote. read more...