a.gif Sakramenti ya Ekaristi ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi maana misa sakramenti,
Sakramenti ya Ekaristi ni nini?
Sakramenti ya Ekaristi ni Sakramenti ya Mwili na Damu ya Yesu Kristo, aliye kweli katika Maumbo ya Mkate na Divai. (Yoh 6:1-17, Mt 26:26-28). read more...


a.gif Kwa Sakramenti ya Kitubio tunapata neema zipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio sakramenti,
Kwa Sakramenti ya Kitubio tunapata neema zipi?
Kwa Sakramenti ya Kitubio tunapata neema hizi;. read more...


a.gif Sakramenti zipi ni kwa ajili ya huduma kwa jamii na kanisa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sakramenti,
Sakramenti zipi ni kwa ajili ya huduma kwa jamii na kanisa?
Sakramenti zilizowekwa kwa ajili ya huduma kwa jamii na Kanisa ni Daraja Takatifu na Ndoa.. read more...


a.gif Sakramenti zipi hutolewa mara moja tuu na kwa nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sakramenti,
Sakramenti zipi hutolewa mara moja tuu na kwa nini?
Sakramenti zinazotolewa mara moja tuu ni Ubatizo, Kipaimara na Daraja Takatifu.. read more...


a.gif Sakramenti za wazima ni zipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sakramenti,
Sakramenti za wazima ni zipi?
Sakramenti za wazima ni: Ekaristi Takatifu, Kipaimara, Mpako Mtakatifu, Daraja na Ndoa.. read more...


a.gif Sakramenti za wafu ni zipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sakramenti,
Sakramenti za wafu ni zipi?
Sakramenti za wafu ni Ubatizo na Kitubio.. read more...


a.gif Sakramenti zimegawanyika katika mafungu mangapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sakramenti,
Sakramenti zimegawanyika katika mafungu mangapi?
Sakramenti zimegawanyika katika makundi mawili;
1. Sakramenti za wafu.
2. Sakramenti za wazima.. read more...


a.gif Yesu aliweka sakramenti ngapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sakramenti,
Yesu aliweka sakramenti ngapi?
Yesu aliweka sakramenti saba ambazo ni;
1. Ubatizo (Yoh 3:3, Mk. 16:15-16)
2. Kipaimara (Isa 11:2, Mdo 8:14-17)
3. Ekaristi Takatifu (Yoh 6:1-7, 1Kor 11:24-25)
4. Kitubio (Mt 16:18-19; 18:18; Yoh 20:21-23)
5. Mpako Mtakatifu (Mk 6:13, Yak 5:14-15)
6. Daraja Takatifu (Lk 22:21-25; 1Kor 11:24-25)
7. Ndoa (Mwa 2:21-25; Mt 19:3-9). read more...


a.gif Sakramenti ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sakramenti,
Sakramenti ni nini?
Sakramenti ni ishara wazi ionekanayo ya neema isiyoonekana, iliyofanyizwa kwanza na Yesu Kristu mwenyewe; ilete neema au izidishe neema moyoni mwetu.. read more...


a.gif Ndoa ya Wakristo ni sakramenti ya nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ndoa sakramenti,
Ndoa ya Wakristo ni sakramenti ya nani?
Ndoa ya Wakristo ni sakramenti ya Yesu na Kanisa lake.. read more...


a.gif Daraja na ndoa ni tofauti na sakramenti nyingine kwa sababu gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ daraja ndoa sakramenti,
Daraja na ndoa ni tofauti na sakramenti nyingine kwa sababu gani?
Daraja na ndoa ni tofauti na sakramenti nyingine kwa sababu hazilengi hasa faida ya mtu anayezipokea, bali huduma zake kwa ajili ya Kanisa na jamii. Daraja inatia uwezo wa Kristo kwa ustawi wa Kanisa, Bibi arusi wake. Ndoa inatia upendo wake mwaminifu kwa ustawi wa familia, kanisa dogo la nyumbani.. read more...


a.gif Sakramenti inayokamilisha ubatizo na kipaimara ni ipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi kipaimara sakramenti ubatizo,
Sakramenti inayokamilisha ubatizo na kipaimara ni ipi?
Sakramenti inayokamilisha ubatizo na kipaimara ni ekaristi, iliyo kuu kuliko sakramenti zote kwa sababu ndiyo Yesu mzima, Mungu-mtu, katika maumbo ya mkate na divai.. read more...


a.gif Sakramenti inayohusiana zaidi na ubatizo ni ipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara sakramenti ubatizo,
Sakramenti inayohusiana zaidi na ubatizo ni ipi?
Sakramenti inayohusiana zaidi na ubatizo ni kipaimara, kinachoendeleza kazi yake.. read more...


a.gif Je, watu wazima wanaweza kuelewa sakramenti kwa dhati?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sakramenti ubatizo,
Je, watu wazima wanaweza kuelewa sakramenti kwa dhati?
Hapana, watu wazima hawawezi kuelewa sakramenti kwa dhati, kwa kuwa zote ni mafumbo yanayotuzidi. Basi, kama Petro alipooshwa miguu, tumuachie Bwana atufanyie kazi anavyojua yeye.. read more...


a.gif Je, ubatizo uliotolewa na Yohane Mbatizaji ulikuwa sakramenti?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sakramenti ubatizo,
Je, ubatizo uliotolewa na Yohane Mbatizaji ulikuwa sakramenti?
Hapana, ubatizo uliotolewa na Yohan Mbatizaji haukuwa sakramenti, kwa sababu yeye alikuwa mtangulizi tu wa Yesu, mwanzilishi wa sakramenti zote.. read more...


a.gif Sakramenti ya kwanza daima ni ipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ sakramenti,
Sakramenti ya kwanza daima ni ipi?
Sakramenti ya kwanza daima ni ubatizo, kwa kuwa ndio kupata uzima mpya kwa kushiriki kifo na ufufuko wa Yesu, inavyodokezwa wazi zaidi mtu akizamishwa na kutolewa majini.. read more...


a.gif Tofauti kati ya Ibada, Sadaka na Sala/maombi

Category πŸ‘‰katoliki, Tags πŸ‘‰ huusisha ibada ijumaa inaweza kati kipekee. kristu.. kuabudu kuomba kushukuru kusifu kuu kuwa mara matendo mfano na ni nyingi sadaka sakramenti sala/maombi toba tofauti tumsifu wa ya yesu,
Tofauti kati ya Ibada, Sadaka na Sala/maombi
Tofauti kati ya Ibada, Sadaka na Sala/maombi ni kama Ifuatavyo;. read more...