a.gif Ni alama zipi zinawakilisha Roho Mtakatifu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ roho_mtakatifu,
Ni alama zipi zinawakilisha Roho Mtakatifu?
Alama zinazowakilisha Roho Mtakatifu ni hizi; Maji, Mpako wa mafuta, Moto, wingu, tendo la kuweka mikono, njiwa. read more...


a.gif Majina mengine ya Roho Mtakatifu ni yapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ roho_mtakatifu,
Majina mengine ya Roho Mtakatifu ni yapi?
Roho Mtakatifu huitwa pia Mfariji wa kweli, Roho wa Bwana, Roho wa Kristu. read more...


a.gif Kusadiki kwa Roho Mtakatifu maana yake ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ roho_mtakatifu,
Kusadiki kwa Roho Mtakatifu maana yake ni nini?
Kusadiki kwa Roho Mtakatifu maana yake ni kusadiki kwa nafsi ya Tatu ya Utatu Mtakatifu. read more...


a.gif Roho Mtakatifu ana nafasi gani katika sala?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ roho_mtakatifu sala,
Roho Mtakatifu ana nafasi gani katika sala?
Roho Mtakatifu ndiye Mlezi wa ndani wa sala ya Kikristo. read more...


page 3 of 3« previous123