a.gif Nini maana ya Roho Mtakatifu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Nini maana ya Roho Mtakatifu?
Roho Mtakatifu ni nafsi ya Tatu ya Utatu Mtakatifu, ni Mungu Halisi sawa na Mungu Baba na Mwana. (Yoh 14:16-17,26). read more...


a.gif Sakramenti ya Kipaimara ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Sakramenti ya Kipaimara ni nini?
Ni Sakramenti yenye kumpa Mkristu Roho Mtakatifu na ukamilifu wa mapaji yake saba, kumfanya mkristu mkamilifu na kumwandika Askari hodari wa Yesu Kristo Mpaka Kufa. read more...


a.gif Roho Mtakatifu anaweza kutufikisha hadi wapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ roho_mtakatifu sala,
Roho Mtakatifu anaweza kutufikisha hadi wapi?
Roho Mtakatifu anaweza kutufikisha hadi muungano wa dhati na Mungu.. read more...


a.gif Roho Mtakatifu anatusaidiaje kusali?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ roho_mtakatifu sala,
Roho Mtakatifu anatusaidiaje kusali?
Roho Mtakatifu anatusaidia tusali kama Yesu, akiwa mlezi wa ndani na kutumia vipaji vyake saba.. read more...


a.gif Tunda la kuongozwa na Roho Mtakatifu ni lipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ karama kipaimara roho_mtakatifu,
Tunda la kuongozwa na Roho Mtakatifu ni lipi?
Tunda la kuongozwa na Roho Mtakatifu ni umoja wa Kanisa unaotokana na ustawi wa upendo na vipaji ndani ya waamini.. read more...


a.gif Karama za kushangaza zina hatari gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ karama kipaimara roho_mtakatifu,
Karama za kushangaza zina hatari gani?
Karama za kushangaza zina hatari mbalimbali, hasa zikitiwa maanani mno. Hapo ni rahisi zilete majivuno, kijicho na mafarakano.. read more...


a.gif Karama zinagawiwa vipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ karama kipaimara roho_mtakatifu,
Karama zinagawiwa vipi?
Karama zinagawiwa na Roho Mtakatifu jinsi anavyotaka, si kwa sifa au faida ya binafsi, bali kwa ustawi wa taifa la Mungu.. read more...


a.gif Karama nyingine muhimu zinatuwezesha kufanya nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ karama kipaimara roho_mtakatifu,
Karama nyingine muhimu zinatuwezesha kufanya nini?
Karama nyingine muhimu zinatuwezesha kuishi kwa useja kama Yesu na Paulo, au kwa ndoa:. read more...


a.gif Je, karama ni zile za kushangaza tu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ karama kipaimara roho_mtakatifu,
Je, karama ni zile za kushangaza tu?
Hapana, karama si zile za kushangaza tu, tena zile muhimu zaidi si hizo, bali zile zinazojenga zaidi Kanisa, kama zile za uongozi:. read more...


a.gif Je, tunaweza kuhakikisha neema ya utakaso?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara neema roho_mtakatifu,
Je, tunaweza kuhakikisha neema ya utakaso?
Hapana, hatuwezi kuhakikisha neema ya utakaso kwa kuwa ni tukio ambalo linapita maumbile na kufanyika rohoni, hivyo halifikiwi na hisi zetu. Pengine Mungu anatokeza dalili fulani za badiliko hilo kama vile furaha ya ndani au karama ya nje, lakini hizo hazihitajiki wala hazitoshi kuthibitishia mtu amepata neema hiyo.. read more...


a.gif Tukimpokea Roho Mtakatifu papo hapo tunapokea pia nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Tukimpokea Roho Mtakatifu papo hapo tunapokea pia nini?
Tukimpokea Roho Mtakatifu papo hapo tunapokea pia adili kuu la upendo:. read more...


a.gif Kumpokea Roho Mtakatifu maana yake nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Kumpokea Roho Mtakatifu maana yake nini?
Kumpokea Roho Mtakatifu maana yake ni kuja kuongozwa naye badala ya kutawaliwa na shetani.. read more...


a.gif Je, kazi zote za Roho Mtakatifu zinahusiana na Yesu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ roho_mtakatifu yesu,
Je, kazi zote za Roho Mtakatifu zinahusiana na Yesu?
Ndiyo, kazi zote za Roho Mtakatifu zinahusiana na Yesu na kulenga hasa kuandaa watu wampokee, wamfuate na kumshuhudia katika umoja wa kundi lake, Kanisa.. read more...


a.gif Roho Mtakatifu ni nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mungu roho_mtakatifu,
Roho Mtakatifu ni nani?
Roho Mtakatifu ni upendo wa Mungu, nafsi ya tatu ya Utatu Mtakatifu, mwenye Umungu mmoja na Baba na Mwana.. read more...


a.gif Maandiko Matakatifu ndiyo nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia roho_mtakatifu,
Maandiko Matakatifu ndiyo nini?
Maandiko Matakatifu ndiyo vitabu vyote 73 ambavyo viliandikwa na watu kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu vikakusanywa na Kanisa kwa jina la β€œBiblia”, yaani β€œVitabu”.. read more...


a.gif Roho Mtakatifu anatutakasa kwa namna gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ roho_mtakatifu,
Roho Mtakatifu anatutakasa kwa namna gani?
Roho Mtakatifu anatutakasa kwa;. read more...


a.gif Roho Mtakatifu anatufanyia nini sisi Wakristo?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ roho_mtakatifu,
Roho Mtakatifu anatufanyia nini sisi Wakristo?
Roho Mtakatifu anatufanyia haya;. read more...


a.gif Roho Mtakatifu aliwafanyia nini Mitume?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mitume roho_mtakatifu,
Roho Mtakatifu aliwafanyia nini Mitume?
Roho Mtakatifu aliwatia Mitume Mwanga wa nguvu ili waweze kuhubiri Injili na kueneza Kanisa kote duniani. read more...


a.gif Roho Mtakatifu aliwashukia Mitume siku gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara mitume roho_mtakatifu,
Roho Mtakatifu aliwashukia Mitume siku gani?
Roho Mtakatifu aliwashukia Mitume siku ya Pentekoste, yaani siku ya hamsini toka Pasaka. (Mdo 2:1-4). read more...


a.gif Neno Manabii maana yake ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ roho_mtakatifu,
Neno Manabii maana yake ni nini?
Neno Manabii maana yake ni waliovuviwa na Roho Mtakatifu waseme kwa jina la Mungu. read more...