a.gif Biblia ni nini? Asili, Historia, waandishi na mipaka yake

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ asili biblia kanisa katoliki madhehebu mapokeo mitume roho_mtakatifu visakramenti watakatifu,
Biblia ni nini? Asili, Historia, waandishi na mipaka yake
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali vinavyohusu kazi ya Mungu ya kuwakomboa mwanadamu kuanzia enzi za Mababu na manabii Wa Waisraeli, Enzi za Yesu na za Mitume wa Yesu.. read more...

a.gif Matunda ya kuongozwa na Roho Mtakatifu ni yapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ roho_mtakatifu,
Matunda ya kuongozwa na Roho Mtakatifu ni yapi?
Matunda ya Roho Mtakatifu ni;. read more...

a.gif Je, Yatupasa kumwomba Roho Mtakatifu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mungu roho_mtakatifu sala utatu_mtakatifu,
Je, Yatupasa kumwomba Roho Mtakatifu?
Ndiyo, kwani twataka kwake maonyo na msaada. Tusipokuwa na neema yake hatuwezi kutenda jambo jema la kufaa kutuokoa. (Yoh 16:13). read more...

a.gif Kabla ya Kupaa mbinguni Yesu aliwaahidi nini Mitume?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mitume roho_mtakatifu utatu_mtakatifu yesu,
Kabla ya Kupaa mbinguni Yesu aliwaahidi nini Mitume?
Kabla ya kupaa mbinguni Yesu aliwaahidia Mitume kuwapelekea Roho Mtakatifu; ndiye nafsi ya Tatu ya Utatu Mtakatifu. (Yoh 16:7). read more...

a.gif Roho Mtakatifu hutajwa wapi katika Rozari?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ roho_mtakatifu,
Roho Mtakatifu hutajwa wapi katika Rozari?
Roho Mtakatifu hutajwa katika fungu la tatu la Matendo ya Utukufu tusemapo; Aliyepeleka Roho Mtakatatifu. (Mdo 2:1-4). read more...

a.gif Uchaji wa Mungu ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Uchaji wa Mungu ni nini?
Ni hofu ya kumchukiza Mungu kwa Dhambi kama vile mtoto mwema aogopavyo kumchukiza mzazi au mlezi wake.. read more...

a.gif Ibada ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Ibada ni nini?
Ni roho ya kupenda utumishi wa Mungu na yote yale yenye kumpa Mungu sifa na Heshima. read more...

a.gif Elimu ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Elimu ni nini?
Ni maarifa ya kutambua werevu na udanganyifu wa shetani; anaposhawishi mwenyewe au kwa kutumia vitu au watu. (1Pet 5:8-9). read more...

a.gif Nguvu ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Nguvu ni nini?
Ni moyo wa kushika sana Amri za Mungu na mambo ya utumishi wake tusiogope watu, matukano, mateso wala kufa. (Rum 8:38-39). read more...

a.gif Shauri ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Shauri ni nini?
Ni utaratibu wa Kuchagua Siku zote mambo yenye kufaa kwa sifs ya Mungu na kwa Wokovu wetu. read more...

a.gif Akili ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Akili ni nini?
Ni mwangaza wa Roho Mtakatifu wa Kutusaidia tumjue zaidi Mungu na Ukamilifu wake na kuwa na Hakika kwamba Mungu peke yake aweza kutuliza roho zetu. read more...

a.gif Hekima ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Hekima ni nini?
Ni upendaji wa Mambo ya Mungu na Machukio ya Mambo ya Dunia. read more...

a.gif Mapaji saba ya Roho Mtakatifu ni yapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Mapaji saba ya Roho Mtakatifu ni yapi?
Mapaji Hayo ni;
1. Hekima
2. Akili
3. Shauuri. read more...

a.gif Mapaji Saba ya Roho Mtakatifu ndio nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Mapaji Saba ya Roho Mtakatifu ndio nini?
Mapaji saba ya Roho Mtakatifu ni msaada wake wa kuimarisha na kuzoesha akili na moyo wetu kwa mambo ya utumishi wa Mungu. read more...

a.gif Roho Mtakatifu anakuja kufanya nini rohoni mwetu kwa Kipaimara?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Roho Mtakatifu anakuja kufanya nini rohoni mwetu kwa Kipaimara?
Anakuja kufanya yafuatayo;
1. Anakuja kutuongezea Neema ya Utakaso. read more...

a.gif Kwa nini Sakramenti hii inaitwa Kipaimara?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Kwa nini Sakramenti hii inaitwa Kipaimara?
Inaitwa Sakramenti ya Kipaimara kwa sababu inaimarisha na kukamilisha neema ya Ubatizo. read more...

a.gif Ni kwa namna gani Roho Mtakatifu anatenda kazi zake?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu utatu_mtakatifu,
Ni kwa namna gani Roho Mtakatifu anatenda kazi zake?
Roho Mtakatifu anatenda kazi zake kwa njia hizi;
1. Anatuangaza kwa Mwanga wake tupate kuelewa mafundisho ya dini
2. Anatupatia neema za msaada za kutusaidia kutunza utakatifu wetu. read more...

a.gif Ni kwa namna gani Roho Mtakatifu Anatutakasa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Ni kwa namna gani Roho Mtakatifu Anatutakasa?
Roho Mtakatifu anatutakasa kwa njia ya Sakramenti, Visakramenti, Fadhila za Kimungu na vipaji vyake. (Yoh 16:8). read more...

a.gif Roho Mtakatifu anawafanyia Waamini nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Roho Mtakatifu anawafanyia Waamini nini?
Roho Mtakatifu anawafanyia Waamini haya.
1. Anawatakasa. read more...

a.gif Je, Roho Mtakatifu Katika mfano wa ndimi za Moto Maana yake nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ roho_mtakatifu,
Je, Roho Mtakatifu Katika mfano wa ndimi za Moto Maana yake nini?
Maana yake ni kupata nguvu ya Kuhubiri Injili, Neno la Mungu linalopenya kwenye Moyo Kama Moto.. read more...

page 1 of 3123next »