a.gif Mtu akitaka kupata Rehema za Kanisa Katoliki yampasa nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 rehema,
Mtu akitaka kupata Rehema za Kanisa Katoliki yampasa nini?
Mtu akitaka kupata Rehema za Kanisa Katoliki yampasa;
1. Kujua na kufuata utaratibu unaotolewa na Kanisa Katoliki wa kupata Rehema
2. Awe katika hali ya neema ya Utakaso
3. Kufanya matendo yote yanayotakiwa kwa kupata rehema hiyo, kwa mfano;. read more...


a.gif Kipimo cha Rehema ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 rehema,
Kipimo cha Rehema ni nini?
Kipimo cha Rehema hutegemea uzito wa majuto na mapendo mtu aliyonayo kwa Mungu Muumba wake. (1Kor 9:11). read more...


a.gif Adhabu za dhambi huondolewa kwa namna gani? Jinsi ya kupata rehema

Category 👉katekisimu, Tags 👉 rehema,
Adhabu za dhambi huondolewa kwa namna gani? Jinsi ya kupata rehema
Adhabu za dhambi huondolewa kwa;
1. Kufanya malipizi au majuto kamili
2. Kuvumilia taabu na mateso katika maisha
3. Kuvishinda vishawishi na majaribu. read more...


a.gif Rehema isiyo kamili (pungufu) ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 rehema,
Rehema isiyo kamili (pungufu) ni nini?
Rehema isiyo kamili (pungufu) ni msamaha wa kupunguziwa adhabu ya dhambi. read more...


a.gif Rehema kamili ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 rehema,
Rehema kamili ni nini?
Rehema kamili ni msamaha wa kufutiwa adhabu zote za muda za dhambi. read more...


a.gif Kuna Rehema za namna ngapi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 rehema,
Kuna Rehema za namna ngapi?
Rehema za namna mbili. read more...


a.gif Rehema hutolewa na nani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 rehema,
Rehema hutolewa na nani?
Rehema hutolewa na Kanisa Katoliki kwa kutugawia mastahili ya Yesu Kristo, Bikira Maria na Ya Watakatifu. read more...


a.gif Rehema ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 rehema,
Rehema ni nini?
Rehema ni msamaha au ondoleo la adhabu ya dhambi tulizostahili sababu ya dhambi zilizokwisha ondolewa. read more...