a.gif Angalia kilichompata huyu wakati anapanda punda

Category ๐Ÿ‘‰videos, Tags ๐Ÿ‘‰ punda wanyama,
Angalia kilichompata huyu wakati anapanda punda
video: 'file:video-2100/Video-2100.mp4'
maelezo: ''. read more...


a.gif Angalia kilichompata huyu baada ya kutaka kumgeuza punda pikipiki

Category ๐Ÿ‘‰videos, Tags ๐Ÿ‘‰ ajali punda vichekesho wanyama,
Angalia kilichompata huyu baada ya kutaka kumgeuza punda pikipiki
video: 'file:video-9897/Video-9897.mp4'
maelezo: ''. read more...


a.gif Jinsi ya kuanza ufugaji

Category ๐Ÿ‘‰wiki, Tags ๐Ÿ‘‰ aina ajili aka au bata binadamu binadamu. chakula faida farasi fulani. hizi hufugwa inaweza jinsi kama kanga kondoo kuanza kufugwa kuinua kukidhi kuku kumaanisha kumpatia kumsaidia kwa kware lakini linalotumika madogo mahitaji maji. malengo mbogo mbuzi mbwa mfugaji. mifugo na nap neno ngamia ngโ€™ombe nguruwe ni njiwa pamoja pia punda rafiki siku tagi: uchumi ufugaji ujumla ulinzi wa wanaofugwa wanaoweza wanyama wenye ya zake,
Jinsi ya kuanza ufugaji
Ufugaji ni neno linalotumika kumaanisha wanyama wanaofugwa na binadamu kwa malengo ya kumpatia chakula au faida Fulani. Mifugo inaweza kufugwa kwa ajili ya kukidhi mahitaji madogo madogo au ufugaji wa faida wenye kuinua uchumi wa mfugaji. Wanyama wanaoweza kufugwa na binadamu ni pamoja na ngโ€™ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku, bata na aina zake, njiwa, punda, farasi, kware, kanga, ngamia, na mbogo maji. Mbwa nap aka hufugwa na binadamu kwa ajili ya kumsaidia ulinzi lakini pia siku hizi hufugwa kama rafiki wa binadamu.. read more...