a.gif SALA YA NOVENA YA SIKU TISA KWA MT. YOSEFU, YA ZAMANI, MIAKA 1900 ILIYOPITA

Category 👉sala, Tags 👉 ahadi maombi nia novena watakatifu yosefu,
SALA YA NOVENA YA SIKU TISA KWA MT. YOSEFU, YA ZAMANI, MIAKA 1900 ILIYOPITA
Ee Mt. Yosefu, ambaye ulinzi wako ni mkubwa, wenye nguvu na wa haraka mbele ya Kiti cha Enzi cha Mungu, ninakukabidhi nia na haja zangu zote. Ee Mt. Yosefu, unisaidie kwa maombezi yako yenye nguvu, na unipatie kutoka kwa Mwanao Mungu, baraka zote za kiroho, kwa njia ya Kristu Bwana wetu, ili nikishapata msaada wako wa mbinguni ningali bado hapa duniani, niweze nami kumsifu, kumwabudu na kumshukuru Mungu aliye Baba mwema kabisa kushinda wote. Ee Mt. Yosefu, sichoki kamwe kufikiri moyoni kwa upendo, jinsi Mtoto Yesu alivyokuwa amesinzia mikononi mwako. Akiwa amepumzika hivyo karibu na moyo wako, sithubutu kujongea, nisije nikamsumbua, bali nakuomba wewe umkumbatie na kumbusu kwa niaba yangu na kumwambia anipe busu lake nitakapovuta pumzi yangu ya mwisho.
Mtakatifu Yosefu Msimamizi wa wanaozimia roho; Utuombee.
Amina.. read more...


a.gif Novena ya Noeli

Category 👉sala, Tags 👉 ibada maombi novena yesu,
Novena ya Noeli
*Novena ya Noeli (maarufu kama novena ya Mt. Andrea)*. read more...


a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TISA

Category 👉sala, Tags 👉 ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TISA
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TISA, JUMAMOSI BAADA YA PASAKA. read more...


a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NANE

Category 👉sala, Tags 👉 huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NANE
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NANE, IJUMAA BAADA YA PASAKA. read more...


a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SABA

Category 👉sala, Tags 👉 huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SABA
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SABA, ALHAMISI BAADA YA PASAKA. read more...


a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SITA

Category 👉sala, Tags 👉 huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SITA
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SITA, JUMATANO BAADA YA PASAKA. read more...


a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TANO

Category 👉sala, Tags 👉 huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TANO
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TANO, JUMANNE BAADA YA PASAKA. read more...


a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NNE

Category 👉sala, Tags 👉 huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NNE
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NNE, JUMATATU YA PASAKA. read more...


a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TATU

Category 👉sala, Tags 👉 huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TATU
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TATU, JUMAPILI YA PASAKA. read more...


a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA PILI

Category 👉sala, Tags 👉 huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA PILI
Novena hii pia inaweza kusaliwa wakati wowote na katika kipindi chochote cha mwaka lakini inapendekezwa Novena ianzwe katika siku ya Ijumaa.. read more...


a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA KWANZA

Category 👉sala, Tags 👉 huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA KWANZA
Novena hii pia inaweza kusaliwa wakati wowote na katika kipindi chochote cha mwaka lakini inapendekezwa kuwa Novena hii ianzwe katika siku ya Ijumaa.. read more...


a.gif NOVENA YA ROHO MTAKATIFU KWA SIKU ZOTE TISA

Category 👉sala, Tags 👉 ibada maombi novena tafakari,
NOVENA YA ROHO MTAKATIFU KWA SIKU ZOTE TISA
Ufuatao ni mtiririko wa Novena ya Roho Mtakatifu kwa siku zote tisa.. read more...


a.gif SALA YA NOVENA KWA MOYO MTAKATIFU WA YESU

Category 👉sala, Tags 👉 maombi novena yesu,
SALA YA NOVENA KWA MOYO MTAKATIFU WA YESU
Ee Moyo Mtakatifu sana wa Yesu, chemchemi ya kila baraka, ninakuabudu, ninakupenda, na kwa majuto halisi ya dhambi zangu, nakutolea moyo wangu dhaifu. Nifanye mnyenyekevu, mvumilivu na safi, nikikubali na kuyatii kabisa mapenzi yako. Ee Yesu mwema, unijalie niishi nawe na kwa ajili yako. Unilinde niwapo katikati ya hatari, unifariji katika mateso, unipe afya ya mwili na msaada katika mahitaji ya mwili, Baraka yako juu ya kila nilifanyalo, na neema ya kifo chema. Amina.. read more...


a.gif NOVENA KWA MT. AUGUSTINO WA HIPPO

Category 👉sala, Tags 👉 novena watakatifu,
NOVENA KWA MT. AUGUSTINO WA HIPPO
Anza Novena hii tarehe 19 Agosti ili kumalizia tarehe 27 Agosti na kusheherekea tarehe 28 Agosti, Sikukuu ya Mtk. Augustino wa Hippo.

. read more...