a.gif Neema ya Msaada yapatikanaje?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 neema,
Neema ya Msaada yapatikanaje?
Neema ya Msaada yapatikana kwa kupokea Sakramenti, kusali, na kutenda mambo ya Ibada (Yoh 15:5, 1Tim 2:4). read more...


a.gif Neema ya Msaada ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 neema,
Neema ya Msaada ni nini?
Neema ya Msaada ni msaada tupatao kwa Roho Mtakatifu kutuongezea nguvu Rohoni tutende mambo mema na tuepuke Mabaya. read more...


a.gif Kuna Faida ya kuwa na Neema ya Utakaso?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 neema,
Kuna Faida ya kuwa na Neema ya Utakaso?
Faida ya kuwa na Neema ya Utakaso ni;-. read more...


a.gif Neema ya Utakaso yapoteaje?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 neema,
Neema ya Utakaso yapoteaje?
Neema ya Utakaso yapotea kwa kutenda dhambi kubwa (dhambi ya mauti). read more...


a.gif Neema ya Utakaso yapatikanaje?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 neema,
Neema ya Utakaso yapatikanaje?
Neema ya Utakaso yapatikana kwa;
1. Kwanza kwa Sakramenti ya Ubatizo
2. Sakramenti ya Kitubio
3. Kwa majuto kamili (majuto ya mapendo). read more...


a.gif Neema ya Utakaso ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 neema,
Neema ya Utakaso ni nini?
Neema ya Utakaso ni uzima wa Kimungu unaomiminwa na Roho Mtakatifu mioyoni mwetu. (Yoh 1:16, Yoh 3:3-5). read more...


a.gif Kuna aina ngapi za neema?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 neema,
Kuna aina ngapi za neema?
Kuna aina mbili za neema. read more...


a.gif Neema ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 neema,
Neema ni nini?
Neema ni kipaji cha roho kinachopita nguvu za viumbe vyote; ndicho kipaji tupewacho na Roho Mtakatifu ili tupate uzima wa milele. (Lk 1:30, Rum 5:2). read more...


a.gif Je, tunaweza kuhakikisha neema ya utakaso?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 kipaimara neema roho_mtakatifu,
Je, tunaweza kuhakikisha neema ya utakaso?
Hapana, hatuwezi kuhakikisha neema ya utakaso kwa kuwa ni tukio ambalo linapita maumbile na kufanyika rohoni, hivyo halifikiwi na hisi zetu. Pengine Mungu anatokeza dalili fulani za badiliko hilo kama vile furaha ya ndani au karama ya nje, lakini hizo hazihitajiki wala hazitoshi kuthibitishia mtu amepata neema hiyo.. read more...