a.gif Watu wa jinsia moja waweza kuoana?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ndoa,
Watu wa jinsia moja waweza kuoana?
Hapana, watu wa Jinsia moja hawawezi kuoana na wakifanya hinyo wanatenda dhambi kubwa inayomlilia Mungu. (Wal 18:22). read more...


a.gif Ni nani wahudumu wa Sakramenti ya ndoa?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ndoa,
Ni nani wahudumu wa Sakramenti ya ndoa?
Wahiudumu rasmi wa Sakramenti ya ndoa ni wachumba wenyewe, Padri kama shahidi rasmi wa kanisa. Tena ni lazima ifungwe mbele ya mashahidi wengine wawili.. read more...


a.gif Anayevunja ndoa na kuoa au kuolewa anaweza kupokea Sakramenti?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ndoa,
Anayevunja ndoa na kuoa au kuolewa anaweza kupokea Sakramenti?
Hapana, Anayevunja maagano ya ndoa na kuoa au kuolewa hawezi kupokea Sakramenti ya Ekaristi wala Kitubio hadi afanye toba na kurekebisha hali hiyo. (Mk 10:11-12). read more...


a.gif Je, ndoa halali inaweza kuvunjwa?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ndoa,
Je, ndoa halali inaweza kuvunjwa?
Hapana, Hakuna yeyote anayeweza kuvunja ndoa halali isipokuwa kifo. (Mt 19:4-6). read more...


a.gif Kanisa linatoa ushahuri gani kuhusu ndoa halali au ya mseto?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ndoa,
Kanisa linatoa ushahuri gani kuhusu ndoa halali au ya mseto?
Kanisa linatambua hatari kubwa kwa Imani linashauri watoto wake wawe na busara kubwa wanapoamua kupendana kwa lengo la kufunga ndoa.. read more...


a.gif Kuna kosa gani kama mmoja wapo atakuwa amedanganya ili aruhusiwe kufunga ndoa mseto au mchanganyiko

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ndoa,
Kuna kosa gani kama mmoja wapo atakuwa amedanganya ili aruhusiwe kufunga ndoa mseto au mchanganyiko
Kama mmoja amedanganya basi ndoa hiyo ingawa imefungwa haitakuwa halali kabisa mpaka mwisho. Watadumu katika dhambi mpaka kufa au watubu.. read more...


a.gif Je, Mchumba Mkatoliki aweza kuiacha Imani yake kwa sababu ya Ndoa?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ndoa,
Je, Mchumba Mkatoliki aweza kuiacha Imani yake kwa sababu ya Ndoa?
Hapana, Kwa kuwa Kanisa Katoliki limeasisiwa na Mungu kwa njia ya Yesu Kristo kama la lazima kwa kupata wokovu, wanaokataa kuingia au kuhudumu ndani yake hawawezi kuokolewa.. read more...


a.gif Ili Askofu atoe ruhusa ya kufungisha ndoa ya mchanganyiko au dini tofauti kuna Masharti gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ndoa,
Ili Askofu atoe ruhusa ya kufungisha ndoa ya mchanganyiko au dini tofauti kuna Masharti gani?
Ndiyo, Askofu atatoa ruhusa baada ya Mkristo Mkatoliki kuahidi kwamba;. read more...


a.gif Mkristo Mkatoliki awezaje kufunga ndoa mchanganyiko au utofauti wa dini kwa uhalali?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ndoa,
Mkristo Mkatoliki awezaje kufunga ndoa mchanganyiko au utofauti wa dini kwa uhalali?
Aweza kufunga ndoa hiyo kwa uhalali baada ya kupata ruhusa maalumu ya Askofu kwa Barua.. read more...


a.gif Ndoa ya utofauti wa Imani maana yake ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ndoa,
Ndoa ya utofauti wa Imani maana yake ni nini?
Ndoa ya utofauti wa Imani ni ndoa kati ya Mkristo Mkatoliki na mtu ambaye hajabatizwa kwa mfano Mpagani, Mwislamu, Yehova, Mlokole tangu kuzaliwa n.k. read more...


a.gif Ndoa mchanganyiko maana yake ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ndoa,
Ndoa mchanganyiko maana yake ni nini?
Ndoa mchanganyiko ni ndoa kati ya Mkristo Mkatoliki na Mkristo asiye Mkatoliki. read more...


a.gif Vizuizi vya ndoa ni vipi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ndoa,
Vizuizi vya ndoa ni vipi?
Vizuizi vya ndoa ni;
1. Upungufu wa umri
2. Uhanithi
3. Ndoa awali halali
4. Tofauti za dini au upagani. read more...


a.gif Vizuizi vya ndoa ni kitu gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ndoa,
Vizuizi vya ndoa ni kitu gani?
Vizuizi vya ndoa ni vile vinavyofanya ndoa isiwe halali tangu mwanzo. read more...


a.gif Mtu aweza kupokea Sakramenti ya ndoa zaidi ya mara moja?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ndoa,
Mtu aweza kupokea Sakramenti ya ndoa zaidi ya mara moja?
Ndiyo, mwenzi akifa yule aliyebaki yupo huru kufunga ndoa tena (1Kor 7:39). read more...


a.gif Kabla ya kupokea Sakramenti ya Ndoa hutakiwa nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ndoa,
Kabla ya kupokea Sakramenti ya Ndoa hutakiwa nini?
Kabla ya kupokea Sakramenti ya Ndoa hutakiwa;
1. Uhuru wa kila mmoja
2. Matangazo ya ndoa
3. Wachumba wawe na nia ya kweli ya kuoana. read more...


a.gif Ndoa imewekwa na nani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ndoa,
Ndoa imewekwa na nani?
Ndoa imewekwa na Mungu mwenyewe na Yesu Kristo ameeinua na kuifanya Sakramenti. (Mwz 2:18; Mt 19:1-12). read more...


a.gif Je, ndoa halali yaweza kuvunjwa?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ndoa,
Je, ndoa halali yaweza kuvunjwa?
Sakramenti ya ndoa iliyofungwa kihalali hudumu milele kwani Yesu anafundisha kuwa "Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe" (Mt 19:6). read more...


a.gif Sakramenti ya ndoa ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ndoa,
Sakramenti ya ndoa ni nini?
Sakramenti ya ndoa ndio yenye kuwaunganisha wakristo wawili mume namke waliopendana kwa hiari bila shuruti au vitisho au kizuizi kwa kuwapa neema ya kuishi pamoja kitakatifu wakiwalea watoto wao katika utakatifu. read more...


a.gif Ni zipi Sakramenti za Huduma ya ushirika na utume?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 daraja ndoa,
Ni zipi Sakramenti za Huduma ya ushirika na utume?
Ni Sakramenti mbili ambazo ni Sakramenti ya Daraja na Sakramenti ya Ndoa. read more...


a.gif Ndoa ya Wakristo ni sakramenti ya nani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ndoa sakramenti,
Ndoa ya Wakristo ni sakramenti ya nani?
Ndoa ya Wakristo ni sakramenti ya Yesu na Kanisa lake.. read more...


page 1 of 212next »