a.gif Njia ya Kumtafuta Mungu

Category πŸ‘‰katoliki-cotent, Tags πŸ‘‰ mungu,
Njia ya Kumtafuta Mungu
Mungu ni rahisi sana kupatikana. Ugumu ni njia ya Kumtafuta Mungu na namna ya kumuishi Mungu. Hapa ndipo watu wengi wanashindwa.. read more...


a.gif Je, Yatupasa kumwomba Roho Mtakatifu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mungu roho_mtakatifu sala utatu_mtakatifu,
Je, Yatupasa kumwomba Roho Mtakatifu?
Ndiyo, kwani twataka kwake maonyo na msaada. Tusipokuwa na neema yake hatuwezi kutenda jambo jema la kufaa kutuokoa. (Yoh 16:13). read more...


a.gif Hamu kuu ya binadamu ni ipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu mungu,
Hamu kuu ya binadamu ni ipi?
Hamu kuu ya binadamu ni kumwona Mungu. read more...


a.gif Je, tumuadhimishe Mungu katika Nafsi zake tatu pia?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada mungu,
Je, tumuadhimishe Mungu katika Nafsi zake tatu pia?
Ndiyo, tumuadhimishe Mungu katika Nafsi zake tatu pia: Baba kama asili ya umungu na ya uhai wote, Mwana kama Neno wake aliyejifanya mtu atukomboe, tena Roho Mtakatifu kama Upendo wao ambao unawaunganisha na kututakasa.. read more...


a.gif Roho Mtakatifu ni nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mungu roho_mtakatifu,
Roho Mtakatifu ni nani?
Roho Mtakatifu ni upendo wa Mungu, nafsi ya tatu ya Utatu Mtakatifu, mwenye Umungu mmoja na Baba na Mwana.. read more...


a.gif Je, Mungu Baba alihusika na sadaka ya Mwanae?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mungu utatu_mtakatifu yesu,
Je, Mungu Baba alihusika na sadaka ya Mwanae?
Ndiyo, Mungu Baba alihusika sana na sadaka ya Mwanae, kwa sababu;. read more...


a.gif Kwa nini Yesu alishawishiwa/alijaribiwa na Shetani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi mtu mungu uumbaji yesu,
Kwa nini Yesu alishawishiwa/alijaribiwa na Shetani?
Yesu alishawishiwa na Shetani kwa kuwa ni mtu kweli, akamshinda kwa niaba ya watu wote, akituonyesha namna ya kumtii Mungu moja kwa moja, β€œhata mauti, naam, mauti ya msalaba” (Fil 2:8).. read more...


a.gif Kwa nini Maria anastahili kuitwa β€œMama wa Mungu”?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ bikira_maria kanisa madhehebu mungu,
Kwa nini Maria anastahili kuitwa β€œMama wa Mungu”?
Maria anastahili kuitwa β€œMama wa Mungu” kwa sababu Mwana wa milele wa Mungu, ambaye ni Mungu sawa na Baba, alifanyika mtu toka kwake. Akiwa mja mzito alishangiliwa: β€œUmebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Limenitokeaje neno hili, hata mama wa Bwana wangu anijilie mimi?. read more...


a.gif Je, Mwana wa Mungu tangu atwae mwili ni mtu kamili mwenye akili na utashi wa kibinadamu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu mungu yesu,
Je, Mwana wa Mungu tangu atwae mwili ni mtu kamili mwenye akili na utashi wa kibinadamu?
Ndiyo, Mwana wa Mungu tangu atwae mwili ni mtu kamili mwenye akili na utashi wa kibinadamu. Katika umoja wa nafsi yake vipawa hivyo vinatenda kulingana na Umungu anaouchanga na Baba na Roho Mtakatifu milele.. read more...


a.gif Je, Umungu na utu wa Yesu vinachanganyikana?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu mungu yesu,
Je, Umungu na utu wa Yesu vinachanganyikana?
Hapana, Umungu na utu wa Yesu vimeunganika katika nafsi moja visichanganyikane, kwa kuwa ndani yake hali hizo mbili zinatenda kila moja ya kwake.. read more...


a.gif Yesu ni Mungu au mtu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi mtu mungu yesu,
Yesu ni Mungu au mtu?
1 Hapo mwanzo, kabla ya kuwapo kitu kingine cho chote, aliku wapo Neno. Huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye alikuwa Mungu. 2 Tangu mwanzo Neno amekuwa na Mungu. 3 Vitu vyote viliumbwa na yeye, wala hakuna cho chote kilichoumbwa ambacho hakukiumba. 4 Uzima ulikuwa ndani yake na uzima huo ndio ulikuwa nuru ya watu. 5 Nuru hiyo huangaza gizani na giza haliwezi kamwe kuizima.. read more...


a.gif Mungu angeweza kuzuia watu wasitende dhambi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi mtu mungu,
Mungu angeweza kuzuia watu wasitende dhambi?
Ndiyo, Mungu angeweza kuzuia watu wasitende dhambi, lakini aliwaacha watende kwa hiari yao awaonyeshe ukuu wa huruma yake.. read more...


a.gif Je, nafsi tatu za Mungu zina Umoja hata katika utendaji?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mungu utatu_mtakatifu,
Je, nafsi tatu za Mungu zina Umoja hata katika utendaji?
Ndiyo, nafsi tatu za Mungu zina Umoja hata katika utendaji, kila nafsi akiuchangia kulingana na sifa yake maalumu ndani ya Utatu. Baba Mwenyezi sifa yake ni Uwezo. Mwana kama Neno la Baba sifa yake ni Hekima. Roho kama Pumzi ya uhai ya Baba sifa yake ni Upendo.. read more...


a.gif Umoja wa Mungu unategemea nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mungu utatu_mtakatifu,
Umoja wa Mungu unategemea nini?
Umoja wa Mungu unategemea hasa kwamba Mwana na Roho Mtakatifu wanachanga Umungu wa Baba, ambaye wanatokana naye pasipo utengano wowote. Baba anajifahamu na kujipenda: wazo analojifahamu ndiye Mwana, upendo anaojipenda katika wazo hilo ndiye Roho Mtakatifu.. read more...


a.gif Tumejuaje kuwa Mungu ni Umoja wa nafsi tatu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mungu utatu_mtakatifu,
Tumejuaje kuwa Mungu ni Umoja wa nafsi tatu?
Tumejua kuwa Mungu ni Umoja wa nafsi tatu kwa sababu Baba aliwatuma kwetu Mwanae na Roho Mtakatifu.. read more...


a.gif Je, Mungu amegawanyika sehemu tatu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu mapokeo mungu utatu_mtakatifu,
Je, Mungu amegawanyika sehemu tatu?
Hapana, Mungu hagawanyiki hata kidogo, bali daima ni Umoja kamili.. read more...


a.gif Ufunuo wa Mungu unatufikiaje miaka elfu mbili baada ya Kristo?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mungu ufunuo,
Ufunuo wa Mungu unatufikiaje miaka elfu mbili baada ya Kristo?
Ufunuo wa Mungu unatufikia kupitia Kanisa lake, lililokabidhiwa Mapokeo ya Mitume na linaloongozwa na Roho Mtakatifu hadi ukweli wote.. read more...


a.gif Je, ufunuo wa Mungu unaendelea hata leo?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mungu ufunuo,
Je, ufunuo wa Mungu unaendelea hata leo?
Hapana, ufunuo wa Mungu hauendelei, kwa sababu alikwisha kuukamilisha kwa kumtuma duniani Neno wake wa milele.. read more...


a.gif Mungu aliwahi kujifunua kwa watu gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu mungu,
Mungu aliwahi kujifunua kwa watu gani?
Mungu aliwahi kujifunua kwa wazazi wetu wa kwanza, akaendelea hasa kwa taifa la Israeli, hadi alipomtuma Mwanae ajifanye mtu wa taifa hilo teule.. read more...


a.gif Mungu akiwa wema mkuu na mwenye uwezo wote, mbona katika viumbe vyake kuna ubaya? Kwa nini Mungu anaruhusu mabaya na maovu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi mtu mungu,
Mungu akiwa wema mkuu na mwenye uwezo wote, mbona katika viumbe vyake kuna ubaya? Kwa nini Mungu anaruhusu mabaya na maovu?
Mungu akiwa wema mkuu na mwenye uwezo wote, hakuumba ubaya wowote. Tena kila anapovumilia ule uliosababishwa na viumbe vyenye hiari anaufanya uzae mema makubwa zaidi kwa njia tusizoweza kuzifahamu vizuri hapa duniani.. read more...


page 1 of 41234next »