a.gif Je, Mungu amewasiliana nasi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu mungu,
Je, Mungu amewasiliana nasi?
Ndiyo, Mungu amewasiliana nasi, akijitambulisha na kujitoa kwetu, tuweze kuishi katika urafiki naye na hatimaye tushiriki heri yake.. read more...


a.gif Tunaanzaje kumjua Mungu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu mungu uumbaji,
Tunaanzaje kumjua Mungu?
Tunaanza kumjua Mungu kwa kuzingatia viumbe vyake, hasa dhamiri yetu.. read more...


a.gif Kwa kuwa tumetoka kwa Mungu na tutarudi kwake, tunapaswa kuishi vipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu,
Kwa kuwa tumetoka kwa Mungu na tutarudi kwake, tunapaswa kuishi vipi?
Kwa kuwa tumetoka kwa Mungu na tutarudi kwake, tunapaswa kuishi kulingana na hakika hiyo, kwa kumpa daima nafasi ya kwanza katika mawazo na mapendo yetu, tusijali kiumbe chochote kuliko yeye wala badala yake.. read more...


a.gif Ikiwa Mungu anatushughulikia, tunapaswa kufanya nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu uumbaji,
Ikiwa Mungu anatushughulikia, tunapaswa kufanya nini?
Ikiwa Mungu anatushughulikia, tunapaswa kujiachilia mikononi mwake kwa moyo wa kitoto, tukiwajibika bila ya mahangaiko yanayowapata watu wasiomjua.. read more...


a.gif Matokeo ya hukumu hiyo ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ hukumu marehemu mtu wafu,
Matokeo ya hukumu hiyo ni nini?
Matokeo ya Hukumu hiyo ni roho kwenda Mbinguni, Toharani au Motoni. (Mt 25:34-46). read more...


a.gif Baada ya kifo cha mtu nini hutokea?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ hukumu marehemu mtu wafu,
Baada ya kifo cha mtu nini hutokea?
Baada ya kifo roho yake inafika mbele ya Mungu kwa hukumu ya mtu binafsi.. read more...


a.gif Mungu alinena na nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu,
Mungu alinena na nani?
Alinena na;. read more...


a.gif Dini ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu,
Dini ni nini?
Dini ndio mambo yatupasayo kwa Mungu Bwana wetu na Baba yetu. (Mk 16:15-16). read more...


a.gif Alipokwisha umba watu Mungu aliwafundisha nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu,
Alipokwisha umba watu Mungu aliwafundisha nini?
Alipokwisha umba watu Mungu aliwafundisha Dini (Mwa 2:15-17). read more...


a.gif Kisha kosa la Adamu na Eva Mungu aliahidi nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ asili dhambi mtu,
Kisha kosa la Adamu na Eva Mungu aliahidi nini?
Kisha kosa la Adamu na Eva Mungu aliahidi kuwaletea Mkombozi. (Mwa 3:15). read more...


a.gif Adhabu gani walipewa Adamu na Eva?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ asili dhambi mtu,
Adhabu gani walipewa Adamu na Eva?
Adamu na Eva kwa ukubwa wa dhambi yao ya kiburi na ya uasi:. read more...


a.gif Dhambi ya asili ndio nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ asili dhambi mtu,
Dhambi ya asili ndio nini?
Dhambi ya asili ambayo binadamu wote wanazaliwa nayo, ni hali ya kukosa utakatifu na hali ya asili ya urafiki na Mungu. read more...


a.gif Je, Adamu na Eva walimtii Mungu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu,
Je, Adamu na Eva walimtii Mungu?
Hapana, Adamu na Eva walitenda dhambi ya kutotii, wakataka kuwa kama Mungu lakini bila Mungu na pasipo kufuata maagizo ya Mungu. (Mwa 3:1-16). read more...


a.gif Mungu aliwaamuru nini watu wa kwanza?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu,
Mungu aliwaamuru nini watu wa kwanza?
Mungu aliwaamuru watu wa kwanza wasile matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya wasije wakafa. (Mw 2:16-17). read more...


a.gif Mungu aliwapa watu wa kwanza mapaji gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu,
Mungu aliwapa watu wa kwanza mapaji gani?
Mungu aliwapa watu wa kwanza neema ya utakaso na neema nyingine nyingi, na kukaa paradisini wenye heri bila kufa. (Mwa 28-30; 3:7). read more...


a.gif Ni kipi cha kutunza kwa makini zaidi kati ya mwili na roho yako?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu,
Ni kipi cha kutunza kwa makini zaidi kati ya mwili na roho yako?
Yatupasa kutunza roho zetu zaidi kwni Yesu mwenyewe alisema:. read more...


a.gif Kwa nini Mungu alituumba? Kwa nini Mungu aliumba mtu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu uumbaji,
Kwa nini Mungu alituumba? Kwa nini Mungu aliumba mtu?
Mungu ametuumba tumjue, tumpende, tumtumikie tulipo wazima hapa duniani, hata mwisho tukisha kufa tuende kwake Mbinguni katika katika makao ya raha milele. (Mwa 2:7; Mt. 19:17; Yoh 14:1-3 na Yoh 17:24). read more...


a.gif Mungu alimwumbaje Eva (Hawa)?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu uumbaji,
Mungu alimwumbaje Eva (Hawa)?
Mungu alimwumba Eva kwa mfupa wa ubavu kutoka kwa Adamu, akamtia roho. (Mwa 2:21-24). read more...


a.gif Mungu alimwumbaje Adamu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu uumbaji,
Mungu alimwumbaje Adamu?
Mungu aliufanya mwili wa Adamu kwa udongo, akaupulizia roho yenye uhai. (Mwa 2:7). read more...


a.gif Watu wa kwanza kuumbwa na Mungu ni akina nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mtu uumbaji,
Watu wa kwanza kuumbwa na Mungu ni akina nani?
Watu wa kwanza kuumbwa na Mungu ni Adamu na Hawa (Eva). (Mwa 1:27). read more...