a.gif Komunyo pamba ndio nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi mpako_wa_wagonjwa,
Komunyo pamba ndio nini?
Komunyo pamba ndio Ekaristi inayopokelewa na wale wanaokaribia kuaga maisha ya duniani na wanaojiandaa kuvukia uzima wa milele. read more...


a.gif Kama padri hatapatika na mgonjwa afanye nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mpako_wa_wagonjwa,
Kama padri hatapatika na mgonjwa afanye nini?
Kama padri hatapatikana mgonjwa aweke nia ya kuungama na afanye majuto kamili. read more...


a.gif Alama wazi ya Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mpako_wa_wagonjwa,
Alama wazi ya Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa ni nini?
Alama wazi ya Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa ni tendo la kupaka Mafuta Matakatifu wagonjwa na kutamka maneno. read more...


a.gif Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa yaweza kupokelewa mara ngapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mpako_wa_wagonjwa,
Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa yaweza kupokelewa mara ngapi?
Sakramenti hii yaweza kupokelewa mara nyingi ugonjwa ukizidi au akipatwa na ugonjwa mwingine mkubwa. read more...


a.gif Ni nani aweza kupokea Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mpako_wa_wagonjwa,
Ni nani aweza kupokea Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa?
Ni kila Mkatoliki aliyefikia umri wa kufikiri na aliye katika hatari ya kufa kwa ugonjwa au uzee aweza kupokea Sakramenti hii.. read more...


a.gif Padri aitwe kwa mgonjwa lini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mpako_wa_wagonjwa,
Padri aitwe kwa mgonjwa lini?
Padri aitwe kwa mgonjwa mara inapoonekana Hatari ya Kifo na kamwe isisubiriwe mpaka mgonjwa apoteze fahamu.. read more...


a.gif Ni nani anayetoa Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mpako_wa_wagonjwa,
Ni nani anayetoa Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa?
Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa hutolewa na kuhani tuu yaani Askofu au Padri. read more...


a.gif Sakramenti ya Mpako Wa Wagonjwa inamanufaa gani rohoni mwa mtu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mpako_wa_wagonjwa,
Sakramenti ya Mpako Wa Wagonjwa inamanufaa gani rohoni mwa mtu?
Manufaa ya Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa ni. read more...


a.gif Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa inaadhimishwaje?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mpako_wa_wagonjwa,
Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa inaadhimishwaje?
Inaadhimishwa kwa Padre kumuombea mgonjwa, kumuwekea mikono na kumpaka mafuta katika panda la uso na viganja vya mikono; kwa kutumia mafuta aliyobariki Askofu siku ya Alhamisi kuu.. read more...


a.gif Sakramenti ya Mpako wa wagonjwa ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mpako_wa_wagonjwa,
Sakramenti ya Mpako wa wagonjwa ni nini?
Ni Sakramenti ambayo Padri humuombea neema ya Mungu na kumpaka Mafuta Matakatifu mgonjwa aliye katika hatari ya kifo kwa ajili ya neema ya roho na mwili. (Yak 5:14-15, Mk 6:13). read more...


a.gif Mafuta ya mpako wa wagonjwa yanamaanisha nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mpako_wa_wagonjwa,
Mafuta ya mpako wa wagonjwa yanamaanisha nini?
Mafuta ya wagonjwa yanamaanisha lengo la kuwaponya na kuwarudishia nguvu na uzuri.. read more...


a.gif Mpako wa Wagonjwa ulianzishwa na nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mpako_wa_wagonjwa,
Mpako wa Wagonjwa ulianzishwa na nani?
Mpako wa Wagonjwa ulianzishwa na Yesu, kama sakramenti zote. Maandiko yanasimulia huruma yake iliyomfanya awaponye wengi kwa namna mbalimbali na kuwapa Mitume uwezo wa kufanya vilevile kwa β€œkupoza magonjwa yote na udhaifu wa kila aina” (Math 10:1). Nao

β€œwakatoa pepo wengi, wakapaka mafuta watu wengi waliokuwa wagonjwa, wakawapoza” (Mk 6:13).. read more...


a.gif Yesu aliweka Kitubio na Mpako wa Wagonjwa kwa sababu gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio mpako_wa_wagonjwa,
Yesu aliweka Kitubio na Mpako wa Wagonjwa kwa sababu gani?
Yesu aliweka Kitubio na Mpako wa Wagonjwa kwa sababu alijua udhaifu wa binadamu hauishi mara anapopokea uzima wa Mungu kwa sakramenti tatu za kuingizwa katika Ukristo. Hivyo alipanga kusaidia mpaka mwisho wa dunia waamini wake watakaopatwa na dhambi na ugonjwa, kama alivyowasaidia wengi aliokutana nao katika maisha yake.. read more...