a.gif Nani ni Mitume wa Mataifa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia mitume,
Nani ni Mitume wa Mataifa?
Mitume wa mataifa ni Paulo na Barnaba. read more...


a.gif Baba Mtakatifu wa kwanza ni nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia mitume,
Baba Mtakatifu wa kwanza ni nani?
Baba Mtakatifu wa Kwanza ni Mt. Petro. read more...


a.gif Mitume kumi na wawili wa Yesu Kristu ni wapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia mitume,
Mitume kumi na wawili wa Yesu Kristu ni wapi?
Mitume wa yesu ni;
1. Simoni/Petro
2. Yakobo
3. Yohane
4. Andrea
5. Filipo. read more...


a.gif Nyaraka za Mitume katika Biblia ni zipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia mitume,
Nyaraka za Mitume katika Biblia ni zipi?
Nyaraka za Mitume ni;
1. Waroma
2. 1 Wakorinto
3. 2 Wakorinto
4. Wagalatia
5. Waefeso
6. Wafilipi
7. Wakolosai
8. 1 Wathesalonike. read more...


a.gif Biblia ni nini? Asili, Historia, waandishi na mipaka yake

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ asili biblia kanisa katoliki madhehebu mapokeo mitume roho_mtakatifu visakramenti watakatifu,
Biblia ni nini? Asili, Historia, waandishi na mipaka yake
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali vinavyohusu kazi ya Mungu ya kuwakomboa mwanadamu kuanzia enzi za Mababu na manabii Wa Waisraeli, Enzi za Yesu na za Mitume wa Yesu.. read more...


a.gif Kabla ya Kupaa mbinguni Yesu aliwaahidi nini Mitume?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mitume roho_mtakatifu utatu_mtakatifu yesu,
Kabla ya Kupaa mbinguni Yesu aliwaahidi nini Mitume?
Kabla ya kupaa mbinguni Yesu aliwaahidia Mitume kuwapelekea Roho Mtakatifu; ndiye nafsi ya Tatu ya Utatu Mtakatifu. (Yoh 16:7). read more...


a.gif Mwenye kuwaondolea watu dhambi ni nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio mitume,
Mwenye kuwaondolea watu dhambi ni nani?
Mwenyezi Mungu pekee yake aweza kuwaondolea watu dhambi. Ndiye aliyewapa Mitume, Maaskofu na Mapadri uwezo wa kuwaondolea watu dhambi (Yoh 20:21-23). read more...


a.gif Je, wenye daraja wanaweza wakatenda dhambi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ daraja mitume,
Je, wenye daraja wanaweza wakatenda dhambi?
Ndiyo, wenye daraja wanaweza wakatenda dhambi kwa sababu ni binadamu kama sisi sote. Yesu alionja ukosefu wa Mitume hasa wakati wa mateso.. read more...


a.gif Pamoja na kuwekewa mikono na mwandamizi wa Mitume, mtu anapewa kipaimara vipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara mitume,
Pamoja na kuwekewa mikono na mwandamizi wa Mitume, mtu anapewa kipaimara vipi?
Pamoja na kuwekea mikono na mwandamizi wa Mitume, mtu anapewa kipaimara kwa kupakwa krisma kama mhuri wa kuwa mali ya Bwana. Ndiyo inayotufanya tuitwe Wakristo nyuma ya Yesu aliyeitwa Kristo.. read more...


a.gif Maaskofu wote wamerithi mamlaka gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa mitume,
Maaskofu wote wamerithi mamlaka gani?
Maaskofu wote wamerithi mamlaka ya Mitume kwa kufundisha, kutakasa na kuongoza Kanisa lote pamoja na Papa na chini yake.. read more...


a.gif Je, Yesu amejenga Kanisa lake imara juu ya mwamba?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa mitume,
Je, Yesu amejenga Kanisa lake imara juu ya mwamba?
Ndiyo, Yesu amejenga Kanisa lake imara juu ya Mtume Petro, alichunge lote kwa niaba yake. Papa kama Askofu wa Roma ndiye mwandamizi wa Petro na mkuu wa kundi zima la Maaskofu, waandamizi wa Mitume.. read more...


a.gif Kanisa kuwa la Mitume maana yake nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa mitume,
Kanisa kuwa la Mitume maana yake nini?
Kanisa kuwa la Mitume maana yake limejengwa juu ya Mitume 12 wa Yesu na kuongozwa na waandamizi wao.. read more...


a.gif Je, tukipata mafundisho ya Kanisa tunapaswa kuyasadiki?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu mitume,
Je, tukipata mafundisho ya Kanisa tunapaswa kuyasadiki?
Ndiyo, tukipata mafundisho ya Kanisa tunapaswa kuyasadiki kwa moyo mmoja tupate uzima wa milele, kwa kuwa Yesu aliwaambia Mitume,. read more...


a.gif Mapokeo ya Mitume ndiyo nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia mapokeo mitume,
Mapokeo ya Mitume ndiyo nini?
Mapokeo ya Mitume ndiyo yale yote ambayo Yesu aliwakabidhi Mitume wake, na kwa uwezo wa Roho Mtakatifu yatadumu hata mwisho wa dunia katika mafundisho, liturujia na maisha ya Kanisa.. read more...


a.gif Yesu amemweka nani kuwa mkubwa wa Kanisa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa mitume yesu,
Yesu amemweka nani kuwa mkubwa wa Kanisa?
Yesu amemweka Mtume Petro kuwa Mkubwa wa Kanisa zima. (Mt 16:18-19). Halifa wa Mtume Petro ni Baba Mtakatifu.. read more...


a.gif Kanisa ni la Kitume maana yake ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa mitume,
Kanisa ni la Kitume maana yake ni nini?
Kanisa ni la Kitume maana yake wakubwa wake yaani Baba Mtakatifu na Maaskofu nimahalifa wa Mitume. read more...


a.gif Roho Mtakatifu aliwafanyia nini Mitume?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ mitume roho_mtakatifu,
Roho Mtakatifu aliwafanyia nini Mitume?
Roho Mtakatifu aliwatia Mitume Mwanga wa nguvu ili waweze kuhubiri Injili na kueneza Kanisa kote duniani. read more...


a.gif Roho Mtakatifu aliwashukia Mitume siku gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara mitume roho_mtakatifu,
Roho Mtakatifu aliwashukia Mitume siku gani?
Roho Mtakatifu aliwashukia Mitume siku ya Pentekoste, yaani siku ya hamsini toka Pasaka. (Mdo 2:1-4). read more...