a.gif Kanuni ya imani

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada mishale tafakari,
Kanuni ya imani
. read more...


a.gif Sala kwa Mtakatifu Yuda Thadei

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ahadi maombi mishale watakatifu,
Sala kwa Mtakatifu Yuda Thadei
(Sala hii inaweza kusaliwa kila siku au kama Novena ya siku tisa mfululizo kuomba kitu kilekile)
Mtakatifu Yuda Tadei,/ Mtume Mtakatifu,/ Mtumishi mwaminifu na rafiki wa Yesu./ Jina la yule msaliti aliyemwuza Yesu/ limewafanya wengi wakusahau./ Walakini Kanisa zima linakuheshimu/ na kukuomba kama Msaidizi katika mashaka makubwa,/ na katika mambo yasiyo na matumaini tena./
Uniombee mimi mnyonge./ Ninaomba utumie uwezo ule uliojaliwa/ wa kuleta upesi msaada kwa watu walioukosa./ Unisaidie sasa katika mahitaji yangu,/ ili nipate kitulizo na msaada wa mbinguni/ katika lazima zangu,/ masumbuko na mateso,/ hasa/ (taja shida yako)./ Pia ili niweze kumsifu Mungu nawe na wateule wote milele./
Mtakatifu Yuda Tadei,/ utuombee,/ na uwaombee watu wote wanaokuheshimu na kukuomba msaada./
Baba yetu……. Salamu Maria ……… Atukuzwe ……….. read more...


a.gif SALA YA MTU ALIYEKABILIWA NA MATATIZO MBALIMBALI

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ maombi mishale watakatifu,
SALA YA MTU ALIYEKABILIWA NA MATATIZO MBALIMBALI
Ewe Mtakatifu Yuda Tadei,/ mtume mtukufu na shahidi wa Kristo,/ umesifika pote kwa wepesi wako wa kutoa misaada/ kwa wanaokukimbilia katika matatizo yao mazito./ Pia ni mwombezi wa waliopondeka moyo./. read more...


a.gif SALA YA KUANGUKA MIGUUNI PA BWANA YESU KATIKA EKARISTI

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada kuabudu maombi mateso mishale tafakari yesu,
SALA YA KUANGUKA MIGUUNI PA BWANA YESU KATIKA EKARISTI
Ee Yesu Mfungwa wa Upendo wa Mungu,/ ninapofikiri Upendo wako na jinsi ulivyojitolea kwa ajili yangu,/ nashindwa kuelewa./ Unaficha Ukuu wako usiofahamika/ na kujidhihirisha kwa ajili yangu mimi mnyonge./ Ee Mfalme wa utukufu,/ unaficha uzuri wako,/ lakini jicho la moyo wangu/ linapenya pazia na kuona Majeshi ya Malaika/ wakikuimbia kwa heshima bila kukoma/ na nguvu zote mbinguni zikikusifu bila mwisho zikisema:/ β€œMtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu..”/. read more...


a.gif SALA YA KUUABUDU MOYO MTAKATIFU WA YESU KATIKA EKARISTI TAKATIFU

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada kuabudu maombi mateso mishale tafakari yesu,
SALA YA KUUABUDU MOYO MTAKATIFU WA YESU KATIKA EKARISTI TAKATIFU
Kwa nguvu zangu zote za moyo wangu/ ninakuabudu ee Moyo Mtakatifu/ na Mwabudiwa sana,/ Moyo Mtakatifu wa Bwana wetu Yesu Kristu/ ambao ninataka kumpenda/ na kukusalimu kwa usikivu unaoendelea./ Kamwe nisikuudhi tena/ kwa sababu Wewe ni Mwema sana;/ Ee Mwema sana./ Ee Moyo Mtakatifu sana/ ninakupenda/ na ninataka kukupenda zaidi ya vitu vyote,/ kwa nguvu zangu zote/ na kwa uwezo wangu wote,/ ninatamani kuwa mali yako/ Wewe uliyejitoa Msalabani kwa ajili yangu/ kwa mateso makali./ Unionee huruma na udhaifu wangu/ na usiniruhusu kupotea./. read more...


a.gif SALA KWA MTAKATIFU YUDA TADEI

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ maombi mishale watakatifu,
SALA KWA MTAKATIFU YUDA TADEI
. read more...