a.gif Misa Takatifu hutolewa kwa nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ misa,
Misa Takatifu hutolewa kwa nani?
Misa Takatifu hutolewa kwa Mungu Baba Mwenyezi (Ebr 5:1-10, Law 9:7).. read more...


a.gif Ni kwa nini Sadaka ya Misa Takatifu ni Sadaka ile ile ya Msalaba?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ misa,
Ni kwa nini Sadaka ya Misa Takatifu ni Sadaka ile ile ya Msalaba?
Sadaka ya Misa Takatifu ni ile ile ya Msalaba kwa sababu ni sadaka moja tu, kuhani na kafara ni yule yule.. read more...


a.gif Sadaka ya Msalaba ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ misa,
Sadaka ya Msalaba ni nini?
Sadaka ya Msalaba ni tendo la mateso na kifo cha Bwana wetu Yesu Kristojuu ya Msalaba pale Kalvari. read more...


a.gif Misa ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ misa,
Misa ni nini?
Misa ni sadaka safi ya Wakristo kwa Mungu, ndiyo sadaka ya Agano Jipya ambayo
Kristo kwa njia ya Padri anamtolea Mungu Baba mwili na damu yake katika umbo la mkate na divai kama alivyojitolea mwenyewe juu ya msalaba.. read more...


a.gif Ni lini Yesu Kristo aliwapa Maaskofu na Mapadri Uwezo wa kugeuza mkate na divai kuwa Mwili na Damu yake?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi misa,
Ni lini Yesu Kristo aliwapa Maaskofu na Mapadri Uwezo wa kugeuza mkate na divai kuwa Mwili na Damu yake?
Yesu Kristo aliwapa Maaskofu na Mapadri Uwezo wa kugeuza mkate na divai kuwa Mwili na Damu yake alipowafanya Mitume kuwa Mapadri katika karamu ya mwisho aliposema "FANYENI HIVI KWA UKUMBUSHO WANGU" (Lk 22:14-20). read more...


a.gif Baada ya Mitume kufa ni nani wanafanya Sakramenti ya Ekaristi

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi misa,
Baada ya Mitume kufa ni nani wanafanya Sakramenti ya Ekaristi
Badaa ya Mitume kufa Maaskofu na Mapadri wanaendelea kuadhimisha Sakramenti ya Ekaristi Takatifu. read more...


a.gif Je Sakramenti ya Ekaristi hujulikana kwa majina yapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi misa,
Je Sakramenti ya Ekaristi hujulikana kwa majina yapi?
Majina haya;. read more...


a.gif Ni wakati gani katika Misa Mkate na Divai vinageuka Mwili na Damu yake Kristo?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi madhehebu misa,
Ni wakati gani katika Misa Mkate na Divai vinageuka Mwili na Damu yake Kristo?
Ni katikati ya Misa padri asemapo maneno Matakatifu aliyosema Yesu mwenyewe: "HUU NDIO MWILI WANGU; HII NDIO DAMU YANGU". read more...


a.gif Sakramenti ya Ekaristi ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi maana misa sakramenti,
Sakramenti ya Ekaristi ni nini?
Sakramenti ya Ekaristi ni Sakramenti ya Mwili na Damu ya Yesu Kristo, aliye kweli katika Maumbo ya Mkate na Divai. (Yoh 6:1-17, Mt 26:26-28). read more...


a.gif Je ni dhambi kukosa Misa Jumapili?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_tatu misa,
Je ni dhambi kukosa Misa Jumapili?
NDIYO. Ni dhambi kubwa kukosa Misa kwa Makusudi siku ya Jumapili/Dominika na Sikukuu zilizoamriwa.. read more...


a.gif Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomo, na kifua kabla ya Injili ina maana gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada ishara ishara_ya_msalaba maana misa sala,
Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomo, na kifua kabla ya Injili ina maana gani?
Maana yake ni kama Ahadi kuwa, Niko tayari kulifahamu Neno la Mungu kwa akili yangu, Nitalitangaza kishujaa kwa Midomo yangu, Nitalipenda na kulishika kwa Moyo wangu wote.. read more...


page 2 of 2« previous12