a.gif Baada ya kumpokea Yesu wa Ekaristi tufanye nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi misa,
Baada ya kumpokea Yesu wa Ekaristi tufanye nini?
Baada ya kumpokea Yesu wa Ekaristi: Tumwabudu,tumshukuru, tumwombe kwani yeye ni Mwenyezi. (Mt 2:11, Lk 17:11). read more...


a.gif Ishara wazi ya Sakramenti ya Ekaristi Takatifu ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi misa,
Ishara wazi ya Sakramenti ya Ekaristi Takatifu ni nini?
Ishara wazi ya Sakramenti ya Ekaristi Takatifu ni maumbo ya mkate na divai, na maneneo ya mageuzo ya Yesu mwenyewe Padri akiyatamka.. read more...


a.gif Sakramenti ya Ekaristi Takatifu hukaa Tabernakulo kwa sababu gani

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi misa,
Sakramenti ya Ekaristi Takatifu hukaa Tabernakulo kwa sababu gani
Sakramenti ya Ekaristi Takatifu hukaa Tabernakulo kwa ajili ya watu wote hasa wagonjwa. read more...


a.gif Tabernakulo ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi misa,
Tabernakulo ni nini?
Tabernakulo ni mahali Patakatifu anapokaa Yesu wa Ekaristi siku zote. read more...


a.gif Sakramenti ya Ekaristi Takatifu Huifadhiwa wapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi misa,
Sakramenti ya Ekaristi Takatifu Huifadhiwa wapi?
Sakramenti ya Ekaristi Takatifu Huifadhiwa kwenye Tabernakulo. read more...


a.gif Je, Mkristo akipokea kipande cha Hostia amempokea Yesu Mzima?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi misa,
Je, Mkristo akipokea kipande cha Hostia amempokea Yesu Mzima?
Ndiyo, Amempokea Yesu Mzima kabisa, Hata akipewa zaidi ya hostia moja amempokea Yesu Mzima. read more...


a.gif Nani Mhudumu wa adhimisho la Ekaristi Takatifu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi misa,
Nani Mhudumu wa adhimisho la Ekaristi Takatifu?
Mhudumu wa adhimisho la Ekaristi Takatifu ni Askofu na Padre. read more...


a.gif Je, Kanisa linahimiza waamini wapokee Ekaristi wakati gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi kanisa misa,
Je, Kanisa linahimiza waamini wapokee Ekaristi wakati gani?
Kanisa linahimiza waamini wapokee Komunyo Takatifu kila siku wanaposhiriki Misa. read more...


a.gif Mkristo akipokea Ekaristi Takatifu akiwa na dhambi rohoni anatenda dhambi gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi ekaristi misa,
Mkristo akipokea Ekaristi Takatifu akiwa na dhambi rohoni anatenda dhambi gani?
Mkristo akipokea Ekaristi Takatifu akiwa na dhambi anatenda dhambi kubwa yaani kufuru Sakramenti.

26 Maana kila mnapokula mkate huu na kukinywa kikombe hiki, mwatangaza kifo cha Bwana, mpaka atakapokuja. 27 Kwa hiyo, kila aulaye mkate huo au kunywa kikombe cha Bwana bila kustahili, atakuwa na hatia dhidi ya mwili na damu ya Bwana. (1 Kor 11;26 - 27). read more...


a.gif Komunyo Takatifu Hutuletea neema gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi misa,
Komunyo Takatifu Hutuletea neema gani?
1. Hulinda na kuongeza neema ya Utakaso iliyo uzima wa roho zetu.
2. Hutuondolea dhambi ndogo na kupunguza hatari ya kutenda dhambio kubwa.. read more...


a.gif Mkristo awe katika hali gani kabla ya kupokea Ekaristi Takatifu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi misa,
Mkristo awe katika hali gani kabla ya kupokea Ekaristi Takatifu?
1. Awe na Neema ya Utakaso yaani asiwe na dhambi ya mauti.
2. Awe na Imani, Ibada na Kumtamani Yesu.. read more...


a.gif Katika Ekaristi Takatifu Tunampokea nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi misa,
Katika Ekaristi Takatifu Tunampokea nani?
Katika Ekaristi Takatifu Tunampokea Yesu Kristo Katika Maumbo ya Mkate na Divai na tunaungana naye (Yoh 6:57). read more...


a.gif Kabla ya Kupokea Ekaristi Takatifu Tunasali sala gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi misa,
Kabla ya Kupokea Ekaristi Takatifu Tunasali sala gani?
Tunasali "Ee Bwana sistahili uingie kwangu lakini sema neno tu na roho yangu itapona". read more...


a.gif Ni vitu gani vya msingi na vya lazima katika kuadhimisha Ekaristi Takatifu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi misa,
Ni vitu gani vya msingi na vya lazima katika kuadhimisha Ekaristi Takatifu?
Vitu vya lazima katika kuadhimisha Ekaristi Takatifu ni. read more...


a.gif Litrujia ya Ekaristi ina sehemu kuu ngapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi liturujia misa,
Litrujia ya Ekaristi ina sehemu kuu ngapi?
Litrujia ya Ekaristi ina sehemu kuu tatu. read more...


a.gif Misa Takatifu ina sehemu kuu ngapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia misa,
Misa Takatifu ina sehemu kuu ngapi?
Misa Takatifu ina sehemu kuu mbili. read more...


a.gif Kutolea Misa kwa Marehemu maana yake ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ misa,
Kutolea Misa kwa Marehemu maana yake ni nini?
Kutolea Misa kwa Marehemu ni kutolea Misa kwa ajili ya roho zilizoko toharani ili ziweze kuingia mbinguni. read more...


a.gif Misa Takatifu hutolewa kwa ajili ya nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ misa,
Misa Takatifu hutolewa kwa ajili ya nani?
Misa Takatifu hutolewa kwa ajili ya kanisa nzima yaani kwa ajili ya watu wote wazima na wafu. (Ebr 9:14. Rum 1:9). read more...


a.gif Sadaka ya Misa Takatifu yatolewa kwa nia gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ misa,
Sadaka ya Misa Takatifu yatolewa kwa nia gani?
Sadaka ya Misa Takatifu yatolewa kwa nia ya kumwabudu Mungu, kumshukuru, kujipatanisha nae na kumwomba. (Ebr 9:14). read more...


a.gif Yesu aliweka sadaka ya Misa Takatifu kwa makusudi gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ misa,
Yesu aliweka sadaka ya Misa Takatifu kwa makusudi gani?
Yesu aliweka sadaka ya Misa Takatifu ili;. read more...


page 1 of 212next »