a.gif LITANIA YA BIKIRA MARIA

Category 👉sala, Tags 👉 litani litania maria tafakari,
LITANIA YA BIKIRA MARIA

Mama%20Bikira%20Maria

. read more...


a.gif Nyimbo na Sala za Ibada ya Njia ya Msalaba | Kwa siku za Ijumaa Kwaresma na Ijumaa Kuu

Category 👉sala, Tags 👉 ibada maombi maria mateso tafakari yesu,
Nyimbo na Sala za Ibada ya Njia ya Msalaba | Kwa siku za Ijumaa Kwaresma na Ijumaa Kuu
Picha na: ecatholic2000.com
--. read more...


a.gif Malkia wa Mbingu

Category 👉sala, Tags 👉 maombi maria sifa,
Malkia wa Mbingu
. read more...


a.gif Sala ya Malaika w Bwana

Category 👉sala, Tags 👉 ibada maombi maria tafakari,
Sala ya Malaika w Bwana
. read more...


a.gif Kuomba kifo chema

Category 👉sala, Tags 👉 maombi maria watakatifu yesu,
Kuomba kifo chema
. read more...


a.gif Majitoleo kwa Bikira Maria

Category 👉sala, Tags 👉 ibada maombi maria,
Majitoleo kwa Bikira Maria
(Sala iliyotungwa na Mtk. Aloisi)
Bibi yangu mtukufu Maria, nakuwekea amana ya roho yangu na mwili wangu, nikikuomba uipokee amana yangu, kuitunzia ulinzi mwema ulinzi bora, ninakuaminia na kila neno langu, matumaini na kitulizo na kisongo chote, na masumbuko na uzima na ukomo wa uzima wangu: nitakayo ndiyo unifanyizie kwa maombezi na stahili zako, ili mambo yangu yote yapate kuongoka, yakiwa na kufuata mapenzi yako, pamoja na mapenzi ya Mwanao. Amina.. read more...


a.gif Sala ya Medali ya Mwujiza

Category 👉sala, Tags 👉 maombi maria,
Sala ya Medali ya Mwujiza
. read more...


a.gif Sala ya Malaika wa Bwana

Category 👉sala, Tags 👉 maria sifa tafakari,
Sala ya Malaika wa Bwana
Malaika wa Bwana alimpasha habari Maria, naye akapata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu. Salamu Maria,….. read more...


a.gif Majitoleo

Category 👉sala, Tags 👉 maria nia,
Majitoleo
Ee Yesu, kupitia mikono safi ya Bikira Maria, na kwa maungano na sadaka yako kuu, ninakutolea sala, matendo, kazi, masumbuko, na furaha zangu zote za siku hii ya leo, kwa ajili ya nia za Moyo wako Mtakatifu, Ee Yesu ufalme wako utufikie!. read more...


a.gif SALA MUHIMU ZA MKRISTO ZA KILA SIKU ASUBUHI

Category 👉sala, Tags 👉 ahadi ibadamaombi maria nia shukrani sifa tafakari toba watakatifu yesu,
SALA MUHIMU ZA MKRISTO ZA KILA SIKU ASUBUHI
Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu Mwenyezi, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, milele na milele, Amina.. read more...


a.gif SALAMU MARIA

Category 👉sala, Tags 👉 ibada maombi maria,
SALAMU MARIA
Salamu Maria
Umejaa neema
Bwana yu nawe
Umebarikiwa kuliko wanawake wote
Na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa
Maria Mtakatifu
Mama wa Mungu
Utuombee sisi wakosefu
Sasa, na saa ya kufa kwetu.
Amina.. read more...


a.gif SALA KWA MAMA WA UCHUNGU KUOMBA NEEMA YA PEKEE

Category 👉sala, Tags 👉 maombi maria mateso,
SALA KWA MAMA WA UCHUNGU KUOMBA NEEMA YA PEKEE
. read more...


a.gif SALA YA MAJITOLEO KWA MAMA WA HUZUNI

Category 👉sala, Tags 👉 ibada maombi maria mateso,
SALA YA MAJITOLEO KWA MAMA WA HUZUNI
. read more...


a.gif SALA KWA BIKIRA MARIA KATIKA UKIWA WAKE

Category 👉sala, Tags 👉 ibada maombi maria mateso,
SALA KWA BIKIRA MARIA KATIKA UKIWA WAKE
. read more...


a.gif LITANIA YA MAMA WA MATESO

Category 👉sala, Tags 👉 ibada litania maombi maria mateso,
LITANIA YA MAMA WA MATESO
Bwana utuhurumie Bwana utuhurumie
Kristo utuhurumie Bwana utuhurumie
Bwana utuhurumie Bwana utuhurumie
Kristo utusikie – Kristo utusikilize
Mungu Baba wa Mbinguni, Utuhurumie
Mungu Mwana, Mkombozi wa dunia Utuhurumie
Mungu Roho Mtakatifu Utuhurumie
Utatu Mtakatifu Mungu MMoja Utuhurumie
Maria Mtakatifu Utuombee (iwe kiitikio)
Mama wa Mkombozi wetu,
Mama mwenye mateso,
Malkia wa mashahidi,
Mama wa wenye uchungu,
Mfariji wa wenye taabu,
Msaada wa wenye shida,
Mlinzi wa wenye upweke,
Nguvu ya dhaifu moyoni,
Makimbilio ya wakosefu,
Afya ya wagonjwa,
Matumaini ya wanaozimia,
Kwa ajili ya ufukara wako ulioona pangoni Bethlehemu, - Utusaidie ee Mama wa mateso (iwe kiitikio)
Kwa ajili ya mateso yako uliyoona katika uaguzi wa Simeoni,
Kwa ajili ya taabu zako ulizopata katika safari ya Misri,
Kwa uchungu wako, Mwanao alipopotea,
Kwa ajili ya huzuni yako Mwanao alipodhulumiwa,
Kwa ajili ya hofu yako Yesu alipokamatwa,
Kwa ajili ya uchungu wako ulipokutana na Yesu katika njia ya Msalaba,
Kwa ajili ya mateso ya Moyo wako aliposulibiwa,
Kwa ajili ya mateso yako makali Yesu alipokufa,
Kwa ajili ya kilio chako juu ya Mwanao mpenzi,
Kwa ajili ya uchungu wako penye kaburi la Mwanao,
Kwa ajili ya upweke wako baada ya maziko ya Mwanao,
Kwa ajili ya uvumilivu wako katika shida zote,
Katika uchungu wetu wote,
Katika ugonjwa na mateso,
Katika huzuni na shida,
Katika umaskini na upweke,
Katika mahangaiko na hatari,
Katika vishawisho vyote,
Katika saa ya kifo chetu,
Katika hukumu ya mwisho,. read more...


a.gif ROZARI YA MATESO SABA YA BIKIRA MARIA

Category 👉sala, Tags 👉 maria mateso rozari,
ROZARI YA MATESO SABA YA BIKIRA MARIA
Mzee Simeoni aliagua kuwa Moyo wa Mama Maria utachomwa kwa upanga.
Tuombe neema ya kuvumilia mateso.
Mama wa mateso utuombee.
Baba Yetu ……… Salamu Maria x7. Atukuzwe Baba ……
Mateso na majonzi ya Mama Maria hayana mfano.. read more...


a.gif SALA KWA BIKIRA MARIA WA MATESO

Category 👉sala, Tags 👉 maria mateso rozari,
SALA KWA BIKIRA MARIA WA MATESO
Mzee Simeoni aliagua kuwa Moyo wa Mama Maria utachomwa kwa upanga.
Tuombe neema ya kuvumilia mateso.
Mama wa mateso utuombee.
Baba Yetu ……… Salamu Maria x7. Atukuzwe Baba ……
Mateso na majonzi ya Mama Maria hayana mfano.. read more...


a.gif ROSARI YA BIKIRA MARIA MAMA WA MSAADA WA DAIMA

Category 👉sala, Tags 👉 maria rozari,
ROSARI YA BIKIRA MARIA MAMA WA MSAADA WA DAIMA
K: Ee Mungu utuelekezee msaada W: Ee Bwana utusaidie hima
W: Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu,
Kama mwanzo na sasa na siku zote na milele. Amina.. read more...


a.gif ROZARI, MATENDO, LITANI NA NYIMBO ZA MAMA BIKIRA MARIA

Category 👉sala, Tags 👉 maria rozari,
ROZARI, MATENDO, LITANI NA NYIMBO ZA MAMA BIKIRA MARIA
Rozari%20MBM.png. read more...

a.gif Matendo ya Rozari Takatifu

Category 👉sala, Tags 👉 maria rozari,
Matendo ya Rozari Takatifu

Mama%20Bikira%20Maria

. read more...