a.gif Je, toka mwanzo sisi watu tunaasi mpango wa Mungu peke yetu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi malaika mtu,
Je, toka mwanzo sisi watu tunaasi mpango wa Mungu peke yetu?
Hapana, toka mwanzo sisi watu tunaasi mpango wa Mungu kwa kuvutwa na mashetani, yaani malaika waliokataa moja kwa moja kumtumikia; baada ya dhambi ya asili hao wanatutumia sisi pia tuangushane na wenzetu.. read more...


a.gif Malaika wakoje?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ malaika uumbaji,
Malaika wakoje?
Malaika ni roho tupu walioumbwa na Mungu ili wamtukuze milele, wamlinde kila mtu na kumtumikia Bwana Yesu katika kutuokoa.. read more...


a.gif Malaika na watu wanaweza kuchagua hata nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ malaika mtu uumbaji,
Malaika na watu wanaweza kuchagua hata nini?
Malaika na watu wanaweza kuchagua hata wawe wema au wabaya milele.. read more...


a.gif Viumbe vyenye hiari ni vipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ malaika mtu uumbaji,
Viumbe vyenye hiari ni vipi?
Malaika na watu ndio viumbe pekee vyenye hiari ya kuchagua wenyewe wachangie mpango wa Mungu au la.. read more...


a.gif Kisha kuumba Malaika Mungu aliumba nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ malaika uumbaji,
Kisha kuumba Malaika Mungu aliumba nini?
Kisha kuumba Malaika Mungu aliumba Mbingu na dunia, na viumbe vingine vingi vyenye kuonekana mimea na watu. (Mwanzo 1;31). read more...


a.gif Makao ya shetani ni wapi na anatamani nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ malaika,
Makao ya shetani ni wapi na anatamani nini?
1. Mashetani kazi yao ni kuteswa Motoni
2. Hutaka kutudhuru roho na mwili na kutupoteza milele (1 Petro 5:8, Yoh 8:44). read more...


a.gif Malaika wakuu wako watatu ambao ni?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ malaika,
Malaika wakuu wako watatu ambao ni?
Malaika wakuu wako watatu: Mikaeli, Raphaeli na Gabrieli (Dn 10:13, Tobiti 12:15, Lk 1:26). read more...


a.gif Je Malaika wote ni sawa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ malaika,
Je Malaika wote ni sawa?
Hapana. Malaika wote sio sawa, maana kuna;. read more...


a.gif Malaika Walinzi wanatutendea nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ malaika,
Malaika Walinzi wanatutendea nini?
Malaika walinzi hutupenda, hutuongoza, na kutulinda roho na mwilini (Zab 90:11). read more...


a.gif Kila Mwanadamu anaye Malaika wake wa kumlinda?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ malaika,
Kila Mwanadamu anaye Malaika wake wa kumlinda?
Ndiyo, Kila Mwanadamu anaye Malaika wake wa kumlinda ndiye Malaika Mlinzi. (Mt. 18:10). read more...


a.gif Malaika wema kazi yao ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ malaika,
Malaika wema kazi yao ni nini?
Malaika wema kazi yao ni kutuombea, kutumwa na Mungu kwetu, na wanatulinda kama Malaika wetu Walinzi. (Ebr 13:2). read more...


a.gif Kwa nini Mungu ameumba Malaika?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ malaika,
Kwa nini Mungu ameumba Malaika?
Mungu ameumba Malaika ili wamtukuze, wafurahi naye Mbinguni, na wawe matarishi wake kwa wanadamu. (Tob 12:12, Lk 16:22). read more...


a.gif Malaika wote walidumu katika hali njema na ya heri?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ malaika,
Malaika wote walidumu katika hali njema na ya heri?
Siyo, Malaika wengine walikosa kwa kumkaidi Mungu, Wakatupwa Motoni.. read more...


a.gif Mungu aliumba Malaika katika hali gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ malaika,
Mungu aliumba Malaika katika hali gani?
Mungu aliumba Malaika katika hali njema na heri kubwa.. read more...


a.gif Malaika ni viumbe gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ malaika,
Malaika ni viumbe gani?
Malaika ni viumbe vya Mungu vilivyo roho tu wenye akili na utashi. (Zab 91:11, Ebr 1:7, Ufu 12:7-9). read more...


a.gif Kwanza Mungu aliumba nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ malaika uumbaji,
Kwanza Mungu aliumba nini?
Kwanza Mungu aliumba Malaika (Kol 1:16). read more...


a.gif Sala kwa Malaika Mlinzi

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ malaika maombi,
Sala kwa Malaika Mlinzi

Ee Malaika wangu, uliyewekwa na Mungu mwema unilinde, naomba uniongoze leo, unitunze, unisimamie, unishauri. Amina.

.. read more...


a.gif SALA KWA MALAIKA WAKO MLINZI

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ malaika maombi,
SALA KWA MALAIKA WAKO MLINZI
Malaika wa Mungu Mlinzi wangu mpenzi,
Ambaye upendo wake unanifanya niwepo hapa,
Uwe nami leo hii,
Kuniangaza na kunilinda,
Kunitawala na kuniongoza.
Amina.. read more...


a.gif SALA KWA MTAKATIFU MIKAELI MALAIKA MKUU

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ malaika maombi,
SALA KWA MTAKATIFU MIKAELI MALAIKA MKUU
. read more...


a.gif Rozari ya Malaika Mkuu Mikaeli

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ malaika rozari watakatifu,
Rozari ya Malaika Mkuu Mikaeli
Rozari ya Malaika Mkuu Mikaeli ni sala nzuri sana ya kumheshimu huyu Malaika Mkuu pamoja na makundi yote tisa ya Malaika. Kuendana na jinsi tunavyofunuliwa katika Maandiko Matakatifu, makundi haya tofauti tofauti ya Malaika hujipanga kuanzia karibu sana na Kiti cha Enzi alipo Mwenyezi Mungu, kwenda chini tulipo sisi wanadamu. Makundi hayo kuanzia juu kwenda chini ni Maserafi, Makerubi, Wenye Enzi, Watawala, Wenye Nguvu, Wenye Mamlaka, Wakuu, Malaika Wakuu na Malaika.. read more...


page 1 of 212next »