a.gif Je, tukipata mafundisho ya Kanisa tunapaswa kuyasadiki?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu mitume,
Je, tukipata mafundisho ya Kanisa tunapaswa kuyasadiki?
Ndiyo, tukipata mafundisho ya Kanisa tunapaswa kuyasadiki kwa moyo mmoja tupate uzima wa milele, kwa kuwa Yesu aliwaambia Mitume,. read more...


a.gif Kanisa linahusika vipi na imani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu,
Kanisa linahusika vipi na imani?
Kanisa linahusika na imani kama mama wa waamini wote, kwa sababu imani yake inatangulia, inazaa, inategemeza na kulisha imani yetu: lenyewe ni β€œnguzo na msingi wa kweli” (1Tim 3:15).. read more...


a.gif Je, miujiza inaweza kutusaidia tusadiki?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu,
Je, miujiza inaweza kutusaidia tusadiki?
Ndiyo, miujiza inaweza kutusaidia tusadiki, lakini inaweza kutudanganya pia.. read more...


a.gif Tunaweza kusadiki vipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu,
Tunaweza kusadiki vipi?
Tunaweza kusadiki kwa msaada wa Roho Mtakatifu tu, anayetuelekeza kwa Mungu, akituangazia Neno lake na kutuvuta tulikubali kwa moyo.. read more...


a.gif Tupokeeje ufunuo wa Mungu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia kanisa madhehebu mapokeo ufunuo,
Tupokeeje ufunuo wa Mungu?
Tupokee ufunuo wa Mungu kwa kusadiki mafundisho ya Kanisa lake, ili tuzidi kumjua na kuambatana naye bila ya kudanganyika. Yesu aliwaambia Mitume wake,. read more...


a.gif Je, ufunuo wa Mungu unaweza kufafanuliwa rasmi na kila mtu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu mapokeo ufunuo,
Je, ufunuo wa Mungu unaweza kufafanuliwa rasmi na kila mtu?
Hapana, ufunuo wa Mungu unaweza kufafanuliwa rasmi na umoja wa Maaskofu tu, kwa kuwa ndio waandamizi wa Mitume 12 wa Yesu.. read more...


a.gif Tueleweje Maandiko Matakatifu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia madhehebu mapokeo,
Tueleweje Maandiko Matakatifu?
Tuelewe Maandiko Matakatifu kwa kuzingatia hasa Mungu alitaka kusema nini kuhusu wokovu wetu kupitia waandishi wengi aliowaongoza kuyatunga kwa lugha na mitindo mbalimbali.. read more...


a.gif Je, inafaa tushike neno lolote la Agano la Kale kama Wayahudi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia kanisa madhehebu mapokeo,
Je, inafaa tushike neno lolote la Agano la Kale kama Wayahudi?
Hapana, haifai tushike neno lolote la Agano la Kale kama Wayahudi wasiozingatia jinsi Yesu alivyolitimiliza kwa maneno na matendo hata wakamshutumu kutenda kinyume:. read more...


a.gif Sababu nyingine za Biblia kutojitosheleza ni zipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia madhehebu mapokeo,
Sababu nyingine za Biblia kutojitosheleza ni zipi?
Sababu nyingine za Biblia kutojitosheleza ni kwamba mambo mengi muhimu hayakuandikwa,. read more...


a.gif Tunatambuaje Maandiko Matakatifu kati ya maandishi yote ya binadamu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia madhehebu mapokeo,
Tunatambuaje Maandiko Matakatifu kati ya maandishi yote ya binadamu?
Tunatambua Maandiko Matakatifu kati ya maandishi yote ya binadamu kwa njia ya Mapokeo, yaani kwa sababu yametumiwa na Kanisa tangu mwanzo kwa kulisha kwa hakika imani yake.. read more...


a.gif Je, Biblia zote ni sawa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia madhehebu,
Je, Biblia zote ni sawa?
Hapana, Biblia zote si sawa. Tujihadhari na matoleo mapungufu ambamo vimenyofolewa vitabu 7 vizima na sehemu kadhaa za vitabu vingine vilivyotumiwa na Wakristo wa kwanza.. read more...


a.gif Kwa nini wakatoliki wanaweka sanamu Kanisani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_kwanza bikira_maria ibada kanisa kuabudu madhehebu sanamu,
Kwa nini wakatoliki wanaweka sanamu Kanisani?
Tunaweka sanamu Kanisani kwa sababu tunaheshimu anayewakilishwa na sanamu hiyo kwa mfano Yesu Kristo, Mama Bikira Maria, Malaika na Watakatifu; na kamwe hatuziabudu. (Kutoka 25:18-22). read more...


a.gif Ni kwa nini Bikira Maria anaitwa Mama wa Mungu? Na kwa nini aheshimiwe?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ bikira_maria kanisa madhehebu,
Ni kwa nini Bikira Maria anaitwa Mama wa Mungu? Na kwa nini aheshimiwe?
Bikira Maria anaitwa Mama wa Mungu kwa sababu amemzaa Yesu na Yesu ni Mungu.. read more...


a.gif Tuwaonaje Wakristo ambao sio Wakatoliki?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu,
Tuwaonaje Wakristo ambao sio Wakatoliki?
Ingawa wamejitenga katika ushirika kamili wa Kanisa Katoliki, tunawatambua kuwa ndugu zetu kutokana na ubatizo wao.. read more...


a.gif Ni ipi sala bora kwa Bikira Maria? Kwa nini Tunasali kwa Bikira Maria?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ bikira_maria kanisa madhehebu sala,
Ni ipi sala bora kwa Bikira Maria? Kwa nini Tunasali kwa Bikira Maria?

Sala bora kwa Bikira Maria ni Rozari Takatifu. read more...


a.gif Vyanzo vya sala za Kikristo

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu sala,
Vyanzo vya sala za Kikristo
Vyanzo vya sala za kikristo ni;. read more...


page 2 of 2« previous12