a.gif Sakramenti ya Ekaristi ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi maana misa sakramenti,
Sakramenti ya Ekaristi ni nini?
Sakramenti ya Ekaristi ni Sakramenti ya Mwili na Damu ya Yesu Kristo, aliye kweli katika Maumbo ya Mkate na Divai. (Yoh 6:1-17, Mt 26:26-28). read more...


a.gif Zaka ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_za_kanisa maana,
Zaka ni nini?
Zaka ni asilimia kumi (10%) ya pato la mtu kwa mwaka ambalo anapaswa kulitoa kwa Kanisa.. read more...


a.gif Hekalu ndiyo nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada maana,
Hekalu ndiyo nini?
Hekalu ndipo tunapomuendea Mungu kwa ibada. Vilevile sisi wenyewe ni Mahekalu.
Yesu aliheshimu na kutakasa hekalu pekee la taifa lake kama β€œnyumba ya Baba” yake (Yoh 2:16), lakini alitabiri kuwa litabomolewa moja kwa moja, na kuwa watu watapaswa kuabudu ndani yake aliye hekalu hai. β€œWayahudi walisema, β€˜Hekalu hili lilijengwa katika muda wa miaka arobaini na sita, nawe utalisimamisha katika siku tatu?’ Lakini yeye alinena habari za hekalu la mwili wake” (Yoh 2:20-21).. read more...


a.gif Kristo maana yake nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ maana yesu,
Kristo maana yake nini?
Kristo maana yake ni β€œAliyepakwa mafuta” awe kiongozi wa taifa lake walivyotabiri manabii wa kale.. read more...


a.gif Yesu maana yake nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ maana yesu,
Yesu maana yake nini?
Yesu maana yake ni β€œMungu Mwokozi”: alichaguliwa jina hilo kabla hajazaliwa, akitabiriwa kuwa β€œyeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao” (Math 1:21).. read more...


a.gif Ushirika wa Watakatifu ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa maana,
Ushirika wa Watakatifu ni nini?
Ushirika wa Watakatifu ni:-. read more...


a.gif Walei ni wakina nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa maana,
Walei ni wakina nani?
Walei ni wote katika Kanisa wasio na Daraja Takatifu. read more...


a.gif Watawa ni akina nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa maana,
Watawa ni akina nani?
Watawa ni Waamini, Walei au Maklero waliowekwa wakfu kwa Mungu katika Kanisa kwa ajilli ya wokovu wao na wa dunia:-. read more...


a.gif Maklero ni wakina nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa maana,
Maklero ni wakina nani?
Maklero ni watu wote wenye daraja Takatifu yaani Maaskofu, Mapadri na Mashemasi.. read more...


a.gif Jimbo Katoliki ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa maana,
Jimbo Katoliki ni nini?
Jimbo Katoliki ni Jumuiya ya Wakristo ambao katika Imani na Sakramenti wana ushirika na Askofu aliye halifa wa Mitume.. read more...


a.gif Mmisionari ni nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ maana,
Mmisionari ni nani?
Ni mtu anayepeleka injili mahali ambapo haijafikishwa. (Mk 16:15-20). read more...


a.gif Nini maana ya neno "Fumbo"?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ fumbo maana,
Nini maana ya neno "Fumbo"?
Fumbo ni ukweli ambao hatuwezi kuelewa kikamilifu, lakini tunasadiki kwa kuwa Mungu hutufumbulia. (Math 11:27). read more...


a.gif Mungu ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ maana mungu,
Mungu ni nini?
Mungu ni Roho kamili na ukamilifu wake hauna mipaka. (Yoh. 4:24, Kut.3:13-15, Zb. 144:3). read more...


a.gif Mungu ni nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ maana mungu,
Mungu ni nani?
Mungu ndiye muumba wa kila kitu katika uwingu na nchi, Mkubwa wa ulimwengu mwenye kuwatuza watu wema na kuwaadhibu watu wabaya.. read more...


a.gif Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomo, na kifua kabla ya Injili ina maana gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada ishara ishara_ya_msalaba maana misa sala,
Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomo, na kifua kabla ya Injili ina maana gani?
Maana yake ni kama Ahadi kuwa, Niko tayari kulifahamu Neno la Mungu kwa akili yangu, Nitalitangaza kishujaa kwa Midomo yangu, Nitalipenda na kulishika kwa Moyo wangu wote.. read more...


a.gif Ishara ya msalaba ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ishara ishara_ya_msalaba maana sala,
Ishara ya msalaba ni nini?
Ishara ya Msalaba ni tendo la mtu kugusa panda la uso, kifua na mabega kwa kutumia mkono wa kulia na kutamka "Kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina". read more...


a.gif Hosana maana yake ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ maana,
Hosana maana yake ni nini?
Hosana maana yake ni "Saidia twakuomba" au tafadhali. read more...


a.gif "Aleluya" katika sala, hasa zaburi ina maana gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ maana sala,
"Aleluya" katika sala, hasa zaburi ina maana gani?
"Aleluya" katika sala, hasa zaburi ina maanisha "Msifuni Mungu". read more...


a.gif Neno "Amina" katika sala lina maana gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ maana sala,
Neno "Amina" katika sala lina maana gani?
Neno "Amina" katika sala lina maanisha "Na iwe Hivyo" (Hesabu 5:22). read more...


a.gif Masifu ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada maana,
Masifu ni nini?
Masifu ni sala au wimbo unaomsifu na kumtambua Mungu kuwa Mungu. read more...


page 1 of 3123next »