a.gif Liturujia ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Liturujia ni nini?
Liturujia ni tendo la Kristo mwenyewe na Kanisa la kumtukuza na kumwabudu Mungu Baba; na hivyo kutekeleza fumbo la Wokovu kwa kuwatakasa watu. read more...


a.gif Litrujia ya Ekaristi ina sehemu kuu ngapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi liturujia misa,
Litrujia ya Ekaristi ina sehemu kuu ngapi?
Litrujia ya Ekaristi ina sehemu kuu tatu. read more...


a.gif Misa Takatifu ina sehemu kuu ngapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia misa,
Misa Takatifu ina sehemu kuu ngapi?
Misa Takatifu ina sehemu kuu mbili. read more...


page 2 of 2« previous12