a.gif Sikukuu Kubwa Kupita zote Katika Kanisa ni ipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Sikukuu Kubwa Kupita zote Katika Kanisa ni ipi?
Sikukuu Kubwa Kupita zote Katika Kanisa ni PASAKA. read more...

a.gif Kipindi cha Mwaka ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Kipindi cha Mwaka ni nini?
Kipindi cha Mwaka ni kipindi cha kufurahi kuishi matunda ya ukombozi wetu. read more...

a.gif Kwa nini Jumapili inapaswa kuitwa siku ya Bwana au Dominika?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Kwa nini Jumapili inapaswa kuitwa siku ya Bwana au Dominika?
Jumapili inapaswa kuitwa Siku ya Bwana au Dominika kwa sababu ndiyo siku Bwana amefufuka Mshindi wa Dhambi na Mauti. read more...

a.gif Siku za Dominika Kanisa huadhimisha nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Siku za Dominika Kanisa huadhimisha nini?
Kila Dominika Kanisa Huadhimisha kumbukumbu ya Fumbo la Pasaka; Yaani;. read more...

a.gif Kipindi cha Pasaka hudumu kwa siku ngapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Kipindi cha Pasaka hudumu kwa siku ngapi?
Kipindi cha Pasaka hudumu kwa siku 50;. read more...

a.gif Wakati wa kwaresma yawapasa waamini kufanya nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Wakati wa kwaresma yawapasa waamini kufanya nini?
Waamini wanapaswa kujitakasa zaidi kwa;. read more...

a.gif Kwaresma ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Kwaresma ni nini?
Kwaresma ni kipindi cha siku 40 cha kujiandaa kuadhimisha Sherehe kuu ya PASAKA yaani kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo.. read more...

a.gif Majilio ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Majilio ni nini?
Majilio ni kipindi cha Dominika nne cha kujiandaa na Sherehe ya Kuzaliwa Bwana wetu Yesu Kristo, yaani NOELI.. read more...

a.gif Mwaka wa Kanisa una vipindi vikubwa vingapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Mwaka wa Kanisa una vipindi vikubwa vingapi?
Mwaka wa Kanisa una vipindi vikubwa vitano ambavyo ni;. read more...

a.gif Liturujia Ifanyike mahali pa namna gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Liturujia Ifanyike mahali pa namna gani?
Liturujia ifanyike mahali palipoandaliwa vizuri iwezekanavyo kwa kuwa katika tendo la Ibada tunakutana na Mungu. read more...

a.gif Liturujia inaadhimishwa wapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Liturujia inaadhimishwa wapi?
Liturujia inaadhimishwa pale waamini walipokusanyika kwa lengo hilo; kwa sababu Ibada katika Roho na Kweli ya Agano Jipya haifungwi na mahali fulani tuu, kwani dunia yote ni Takatifu. read more...

a.gif Nani huadhimisha Liturujia?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Nani huadhimisha Liturujia?
Liturujia iliyo kazi ya Kristo Kuhani Mkuu na kichwa cha Kanisa huadhimishwa na kusanyiko lote, kila mmoja kulingana na kazi yake.. read more...

a.gif Adhimisho la Liturujia Hutumia Ishara na Alama zipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Adhimisho la Liturujia Hutumia Ishara na Alama zipi?
Adhimisho la Liturujia Hutumia Ishara na Alama zinazohusiana na uumbaji, maisha ya binadamu na historia ya wokovu; nazo ni;. read more...

a.gif Katika mwaka wa kanisa tunakumbuka nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Katika mwaka wa kanisa tunakumbuka nini?
Katika Mwaka wa Kanisa tunakumbuka natunaadhimisha matukio na mafumbo yote ya ukombozi wetu na hivyo twapata neema zake. read more...

a.gif Ni nani hupanga Taratibu za Liturujia?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Ni nani hupanga Taratibu za Liturujia?
Mama Kanisa ndiye mwenye kupanga taratibu zote za Liturujia Katika mwaka mzima.. read more...

a.gif Katika Liturujia Roho Mtakatifu anatenda nini kuhusiana na Kanisa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Katika Liturujia Roho Mtakatifu anatenda nini kuhusiana na Kanisa?
Katika Liturujia Roho Mtakatifu analiandaa Kanisa likutane na Bwana wake. read more...

a.gif Kwa namna gani Mungu Baba ndiye asili na lengo la Liturujia?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Kwa namna gani Mungu Baba ndiye asili na lengo la Liturujia?
Mungu Baba ndiye asili na lengo la Liturujia kwa sababu katika liturujia anatujaza Baraka zake katika Mwanae Yesu Kristo, naye anatumiminia Roho Mtakatifu mioyoni mwetu. read more...

a.gif Kilele cha Liturujia ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Kilele cha Liturujia ni nini?
Kilele cha liturujia ni Sadaka Takatifu ya Misa. read more...

a.gif Katika liturujia waamini wanafanya nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Katika liturujia waamini wanafanya nini?
Katika Liturujia waamini wanashiriki kwa matendo na kwa Ibada adhimisho lote yaani sala, nyimbo na matendo yote ya Ibada; na asiposhiriki matendo hayo kikamilifu, anakosa mafao kamili ya neema ipatikanayo katika Ibada hiyo.. read more...

a.gif Liturujia ina nafasi gani katika Kanisa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ liturujia,
Liturujia ina nafasi gani katika Kanisa?
Liturujia ambayo ni tendo takatifu kuliko yote ndiyo chemichemi ambayo nguvu ya uhai wa Kanisa inabubujika na Kristo anaendeleza Kazi ya Ukombozi wetu. read more...

page 1 of 212next »