a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia Mtindi na asali

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia Mtindi na asali
Kutumia mtindi na asali ni moja ya dawa rahisi zaidi za kutibu chunusi.. read more...

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi za usoni kwa kutumia Parachichi na asali

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Jinsi ya kutibu chunusi za usoni kwa kutumia Parachichi na asali
a)Kijiko kimoja cha asali
b)Parachichi 1. read more...

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia maganda ya ndizi

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia maganda ya ndizi
Maganda ya ndizi ni dawa nyingine nzuri ya kuondoa chunusi. Unachohitaji ni kuwa tu na maganda ya ndizi kwa ajili hii.. read more...

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia Uwatu (Fenugreek)

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia Uwatu (Fenugreek)
Uwatu ni dawa nyingine ya asili inayotumika kutibu chunusi. Uwatu unaondoa sumu na maambukizi mbalimbali.. read more...

a.gif Namna ya kutibu chunusi kwa kutumia Binzari, maziwa na asali

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Namna ya kutibu chunusi kwa kutumia Binzari, maziwa na asali
a)Binzari ya unga
b)Maziwa fresh
c)Asali
d)Bakuli
e)Kijiko cha chai. read more...

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa mdalasini na asali

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Jinsi ya kutibu chunusi kwa mdalasini na asali
. read more...

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa Chumvi na mafuta ya zeituni

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Jinsi ya kutibu chunusi kwa Chumvi na mafuta ya zeituni
Mchanganyiko wa chumvi na mafuta ya zeituni (olive oil) ni dawa nyingine inayotibu chunusi. Mafuta ya zeituni yandhibiti bakteria na huondoa sumu vitu ambavyo vinafanya kuwa dawa nzuri kutibu chunusi na matokeo ya chunusi.. read more...

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa Siki ya tufaa

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Jinsi ya kutibu chunusi kwa Siki ya tufaa
Siki ya tufaa (Apple cider vinegar) ni moja kati ya dawa zinazojulikana katika kutibu chunusi ahsante kwa uwezo wake wa kurudishia tindikali katika ngozi. Bakteria wabaya, mafuta na uchafu mwingine wowote utaondoka juu ya ngozi yako bila kupenda ukitumia dawa hii.. read more...

a.gif Kutibu chunusi kwa ute mweupe wa yai

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Kutibu chunusi kwa ute mweupe wa yai
. read more...

a.gif Namna ya kutibu chunusi kwa kutumia asprin

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Namna ya kutibu chunusi kwa kutumia asprin
. read more...

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia papai

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia papai
Dawa nyingine madhubuti ya chunusi ni papai. Tunda hili ni moja ya matunda yanayotumika kwa ajili ya urembo hasa kwa wanawake.. read more...

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia mvuke

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia mvuke
Mvuke husaidia kusafisha ngozi. Ni rahisi sana kutumia mvuke kutibu chunusi.. read more...

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia baking soda

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia baking soda
Moja ya sababu za kutokea chunusi katika ngozi yako ni kuwepo kwa takataka au uchafu juu ya ngozi yako na njia rahisi ya kusafisha taka hizo ni kwa kutumia baking soda hivyo kuifanya ngozi ipumuwe vizuri.. read more...

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia asali

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia asali
Asali hasa asali mbichi ya asili ni dawa nzuri sana ya kutibu chunusi. Asali ni antibiotiki ya asili ambayo husaidia kupunguza ukubwa wa chunusi na maumivu ya chunusi.. read more...

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia tango

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia tango
Tango ni tunda na ni mboga pia na ni chanzo kizuri cha potasiamu na vitamini nyingi ambazo zina kazi mhimu katika ngozi yako na huifanya ngozi ngozi ionekane laini na yenye kupendeza.. read more...

a.gif Namna ya kujitibu chunusi kwa kutumia dawa ya meno au dawa ya mswaki

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Namna ya kujitibu chunusi kwa kutumia dawa ya meno au dawa ya mswaki
. read more...

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia aloe vera

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia aloe vera
. read more...

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia limau au limao

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia limau au limao
Dawa nyingine nzuri kwa ajili ya chunusi usoni na mwilini ni limau. Limau linajitokeza kwenye vyakula vingi tunavyokula kila siku mathalani limau halikosekani pakiwepo supu au mapishi yoyote ya samaki.. read more...

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia kitunguu swaumu

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia kitunguu swaumu
Kitunguu swaumu hujulikana kama kitu cha kushangaza katika tiba huko mashariki ya mbali, Kitunguu swaumu ni maajabu ya Mungu mwenyewe.. read more...

a.gif Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia barafu

Category 👉mapishinalishe, Tags 👉 kutibu-chunusi-kiasili,
Jinsi ya kutibu chunusi kwa kutumia barafu
Barafu inaweza kuzipunguza chunusi zionekane ni ndogo na kupunguza madhara yatokanayo na chunusi.. read more...