a.gif Mkristo akitaka kupokea Sakramenti ya Kitubio yampasa nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio,
Mkristo akitaka kupokea Sakramenti ya Kitubio yampasa nini?
Mkristo akitaka kupokea Sakramenti ya Kitubio yampasa haya. read more...


a.gif Nani yampasa kupokea Sakramenti ya Kitubio?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio,
Nani yampasa kupokea Sakramenti ya Kitubio?
Kila mkristo aliyetenda dhambi yampasa kupokea Sakramenti ya Kitubio. read more...


a.gif Mwenye kuwaondolea watu dhambi ni nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio mitume,
Mwenye kuwaondolea watu dhambi ni nani?
Mwenyezi Mungu pekee yake aweza kuwaondolea watu dhambi. Ndiye aliyewapa Mitume, Maaskofu na Mapadri uwezo wa kuwaondolea watu dhambi (Yoh 20:21-23). read more...


a.gif Lini na kwa maneno gani Yesu aliweka Sakramenti ya Kitubio?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio,
Lini na kwa maneno gani Yesu aliweka Sakramenti ya Kitubio?
Yesu aliweka Sakramenti ya Kitubio jioni ya ufufuko wake alipowapulizia mitume na kuwaambia maneno haya "Pokeeni Roho Mtakatifu. Wowote mtakaowaondolea dhambi watakua wameondolewa, wowote mtakaowafungia dhambi watakua wamefungiwa" (Yoh 20:22-23). read more...


a.gif Sakramenti ya Kitubio ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio,
Sakramenti ya Kitubio ni nini?
Sakramenti ya Kitubio ndiyo Sakramenti ya kuwaondolea watu dhambi walizotenda baada ya Ubatizo (Yoh 20:22-23). read more...


a.gif Je, nje ya kitubio tunaweza kuondolewa dhambi tuliyotenda baada ya ubatizo?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio,
Je, nje ya kitubio tunaweza kuondolewa dhambi tuliyotenda baada ya ubatizo?
Ndiyo, nje ya kitubio tunaweza kuondolewa dhambi tuliyotenda baada ya ubatizo, lakini ni vigumu zaidi, kwa sababu hatupati msaada wa sakramenti hiyo maalumu.. read more...


a.gif Je, padri akiwa mkosefu, anaweza kutuondolea dhambi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio madhehebu,
Je, padri akiwa mkosefu, anaweza kutuondolea dhambi?
Ndiyo, padri akiwa mkosefu, anaweza kutuondolea dhambi kwa niaba ya Mungu aliyempa mamlaka hiyo. Hatusamehewi na utakatifu wa padri, bali na huruma ya Baba kwa njia yake.. read more...


a.gif Tumuungamie padri dhambi zetu kwa lengo gani? Kwa nini Wakatoliki wanaungama kwa padri?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio,
Tumuungamie padri dhambi zetu kwa lengo gani? Kwa nini Wakatoliki wanaungama kwa padri?
Tumuungamie padri dhambi zetu ili aweze kutushauri na kuamua kama tuko tayari kuondolewa. Tumweleze kwa unyofu makosa yote tuliyoyafanya na nia tuliyonayo ya kuyafidia na kutoyarudia.. read more...


a.gif Je, tumuendee padri ili kuondolewa dhambi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio,
Je, tumuendee padri ili kuondolewa dhambi?
Ndiyo, tumuendee padri ili kuondolewa dhambi tulizotenda baada ya ubatizo, kwa kuwa hatuwezi kupokea msamaha tukikataa masharti yake, na Mungu ametupangia watu ambao watuondolee kwa niaba yake.. read more...


a.gif Mungu aliwapa watu amri ya kusamehe dhambi kwa sababu gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio,
Mungu aliwapa watu amri ya kusamehe dhambi kwa sababu gani?
Mungu aliwapa watu amri ya kusamehe dhambi kwa sababu amependa washiriki katika kazi zake. Ametuumba kwa njia ya wazazi na kutulea na kutusaidia kwa njia ya wengine pia. Hasa ametuokoa kwa njia ya Yesu, ambaye yupo nasi sikuzote katika Mwili wake, yaani Kanisa, na katika wale walioshirikishwa mamlaka ya Mitume.. read more...


a.gif Mungu aliwapa watu amri ya kusamehe dhambi zipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio,
Mungu aliwapa watu amri ya kusamehe dhambi zipi?
Mungu aliwapa watu amri ya kusamehe dhambi zote, kwa sababu upendo mtiifu wa Mwanae aliyejitoa kuwa sadaka ya wokovu wetu unampendeza kuliko dhambi zote zinavyomchukiza. Ila hatuwezi kusamehewa dhambi ya kukataa neema ambayo Roho Mtakatifu anatusukuma tuamini na kutubu, kwa sababu pasipo imani na toba hapana msamaha.. read more...


a.gif Mungu aliwapa watu (mapadri) amri/uwezo ya kusamehe dhambi kwa njia ya nani? Ni halali kuungama kwa padre?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio,
Mungu aliwapa watu (mapadri) amri/uwezo ya kusamehe dhambi kwa njia ya nani? Ni halali kuungama kwa padre?
Mungu aliwapa watu amri ya kusamehe dhambi kwa njia ya Mwanae. Yesu mfufuka aliwaonyesha Mitume alama ya mateso mwilini mwake, β€œakawavuvia, akawaambia, β€˜Pokeeni Roho Mtakatifu. Wowote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; na wowote mtakaowafungia dhambi, wamefungiwa” (Yoh 20:22-23).. read more...


a.gif Yesu aliweka Kitubio na Mpako wa Wagonjwa kwa sababu gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kitubio mpako_wa_wagonjwa,
Yesu aliweka Kitubio na Mpako wa Wagonjwa kwa sababu gani?
Yesu aliweka Kitubio na Mpako wa Wagonjwa kwa sababu alijua udhaifu wa binadamu hauishi mara anapopokea uzima wa Mungu kwa sakramenti tatu za kuingizwa katika Ukristo. Hivyo alipanga kusaidia mpaka mwisho wa dunia waamini wake watakaopatwa na dhambi na ugonjwa, kama alivyowasaidia wengi aliokutana nao katika maisha yake.. read more...


page 2 of 2« previous12