a.gif Kitu gani ni chako lakini kila mtu anakitumia?

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Kitu gani ni chako lakini kila mtu anakitumia?
JIBU: Jina Lako. read more...

a.gif Kitu gani Kinakuwa Kibichi wakati wa Kukausha?

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Kitu gani Kinakuwa Kibichi wakati wa Kukausha?
JIBU: Taulo. read more...

a.gif Kitu gani kinapotea kukiwa na sauti yoyote ile iwe ni kubwa au ndogo?

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Kitu gani kinapotea kukiwa na sauti yoyote ile iwe ni kubwa au ndogo?
JIBU: Ukimya (Kimya). read more...

a.gif Kitu gani Kinapotea mara tuu unapokitaja?

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Kitu gani Kinapotea mara tuu unapokitaja?
JIBU: Ukimya (Kimya). read more...

a.gif Nina asili ya Madini na kila mara nimezungukwa na Miti, Mimi ni nani?

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Nina asili ya Madini na kila mara nimezungukwa na Miti, Mimi ni nani?
JIBU: Penseli. read more...

a.gif Viwili vifananavyo

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Viwili vifananavyo
JIBU: 1. UNGA NA MAJIVU
2. MWEZI MKUU NA UNGO
3. JUA NA UNGO
4. MBEGU ZA MGOMBA ~vITU NA MAKAA
5. MAZIWA NA MATOMVU (ya mti wa mpira)
6. TUMBAKO NA TUMBAKO MWITU
7. Maziwa na Tui la nazi. read more...

a.gif Vinatazamana kwa hasira bila kupigana

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Vinatazamana kwa hasira bila kupigana
JIBU: Kingo za mito. read more...

a.gif Umenitayarishia chakula ukajitenga ukakaa bila kula

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Umenitayarishia chakula ukajitenga ukakaa bila kula
JIBU: Chungu cha Kupika. read more...

a.gif Sisi sate hapa tumeoza viuno

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Sisi sate hapa tumeoza viuno
JIBU: Nguzo ya nyumba ya zamani. read more...

a.gif Bibi yako walipomzika hajaoza

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Bibi yako walipomzika hajaoza
JIBU: Makapi ya Karanga. read more...

a.gif Njoo tukamfinye mwehu

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Njoo tukamfinye mwehu
JIBU: Kula ugali kwa Mikono. read more...

a.gif Nina nyumba yangu ndogo lakini wapangishaji ni wengi

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Nina nyumba yangu ndogo lakini wapangishaji ni wengi
JIBU: Kiberiti. read more...

a.gif Nina blanketi langu kubwa huwezi kulikunja

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Nina blanketi langu kubwa huwezi kulikunja
JIBU: Mbingu. read more...

a.gif Nimekwenda lakini sikufikia mwisho wake

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Nimekwenda lakini sikufikia mwisho wake
JIBU: Njia. read more...

a.gif Nina watoto wangu wengi nikimpiga mmoja wao wote wanalia

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Nina watoto wangu wengi nikimpiga mmoja wao wote wanalia
JIBU: Vibuyu Wavuni. read more...

a.gif Akizaa watoto wengi huwavika ngozi ya aina moja

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Akizaa watoto wengi huwavika ngozi ya aina moja
JIBU: Mchwa. read more...

a.gif Nilikwenda nikichoma nikarudi nikichoma

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Nilikwenda nikichoma nikarudi nikichoma
JIBU: Mkuki. read more...

a.gif Nilikwenda kuchanja kuni nyingi nikashindwa kujitwika

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Nilikwenda kuchanja kuni nyingi nikashindwa kujitwika
JIBU: Mizizi. read more...

a.gif Nilijenga nyumba yangu na kuweka mlango juu

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Nilijenga nyumba yangu na kuweka mlango juu
JIBU: Jani la mgomba - jani changa linalotokeza juu). read more...

a.gif Ng'ombe wa miguu minane

Category 👉methali-na-vitendawili, Tags 👉 kitendawili,
Ng'ombe wa miguu minane
JIBU: Ng'ombe Mwenye mimba. read more...

page 1 of 3123next »