a.gif Kwa nini Sakramenti hii inaitwa Kipaimara?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 kipaimara roho_mtakatifu,
Kwa nini Sakramenti hii inaitwa Kipaimara?
Inaitwa Sakramenti ya Kipaimara kwa sababu inaimarisha na kukamilisha neema ya Ubatizo. read more...


a.gif Ni kwa namna gani Roho Mtakatifu anatenda kazi zake?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 kipaimara roho_mtakatifu utatu_mtakatifu,
Ni kwa namna gani Roho Mtakatifu anatenda kazi zake?
Roho Mtakatifu anatenda kazi zake kwa njia hizi;
1. Anatuangaza kwa Mwanga wake tupate kuelewa mafundisho ya dini
2. Anatupatia neema za msaada za kutusaidia kutunza utakatifu wetu. read more...


a.gif Ni kwa namna gani Roho Mtakatifu Anatutakasa?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 kipaimara roho_mtakatifu,
Ni kwa namna gani Roho Mtakatifu Anatutakasa?
Roho Mtakatifu anatutakasa kwa njia ya Sakramenti, Visakramenti, Fadhila za Kimungu na vipaji vyake. (Yoh 16:8). read more...


a.gif Roho Mtakatifu anawafanyia Waamini nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 kipaimara roho_mtakatifu,
Roho Mtakatifu anawafanyia Waamini nini?
Roho Mtakatifu anawafanyia Waamini haya.
1. Anawatakasa. read more...


a.gif Nini maana ya Roho Mtakatifu?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 kipaimara roho_mtakatifu,
Nini maana ya Roho Mtakatifu?
Roho Mtakatifu ni nafsi ya Tatu ya Utatu Mtakatifu, ni Mungu Halisi sawa na Mungu Baba na Mwana. (Yoh 14:16-17,26). read more...


a.gif Sakramenti ya Kipaimara ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 kipaimara roho_mtakatifu,
Sakramenti ya Kipaimara ni nini?
Ni Sakramenti yenye kumpa Mkristu Roho Mtakatifu na ukamilifu wa mapaji yake saba, kumfanya mkristu mkamilifu na kumwandika Askari hodari wa Yesu Kristo Mpaka Kufa. read more...


a.gif Sakramenti inayokamilisha ubatizo na kipaimara ni ipi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ekaristi kipaimara sakramenti ubatizo,
Sakramenti inayokamilisha ubatizo na kipaimara ni ipi?
Sakramenti inayokamilisha ubatizo na kipaimara ni ekaristi, iliyo kuu kuliko sakramenti zote kwa sababu ndiyo Yesu mzima, Mungu-mtu, katika maumbo ya mkate na divai.. read more...


a.gif Tunda la kuongozwa na Roho Mtakatifu ni lipi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 karama kipaimara roho_mtakatifu,
Tunda la kuongozwa na Roho Mtakatifu ni lipi?
Tunda la kuongozwa na Roho Mtakatifu ni umoja wa Kanisa unaotokana na ustawi wa upendo na vipaji ndani ya waamini.. read more...


a.gif Karama za kushangaza zina hatari gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 karama kipaimara roho_mtakatifu,
Karama za kushangaza zina hatari gani?
Karama za kushangaza zina hatari mbalimbali, hasa zikitiwa maanani mno. Hapo ni rahisi zilete majivuno, kijicho na mafarakano.. read more...


a.gif Karama zinagawiwa vipi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 karama kipaimara roho_mtakatifu,
Karama zinagawiwa vipi?
Karama zinagawiwa na Roho Mtakatifu jinsi anavyotaka, si kwa sifa au faida ya binafsi, bali kwa ustawi wa taifa la Mungu.. read more...


a.gif Karama nyingine muhimu zinatuwezesha kufanya nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 karama kipaimara roho_mtakatifu,
Karama nyingine muhimu zinatuwezesha kufanya nini?
Karama nyingine muhimu zinatuwezesha kuishi kwa useja kama Yesu na Paulo, au kwa ndoa:. read more...


a.gif Je, karama ni zile za kushangaza tu?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 karama kipaimara roho_mtakatifu,
Je, karama ni zile za kushangaza tu?
Hapana, karama si zile za kushangaza tu, tena zile muhimu zaidi si hizo, bali zile zinazojenga zaidi Kanisa, kama zile za uongozi:. read more...


a.gif Je, tunaweza kuhakikisha neema ya utakaso?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 kipaimara neema roho_mtakatifu,
Je, tunaweza kuhakikisha neema ya utakaso?
Hapana, hatuwezi kuhakikisha neema ya utakaso kwa kuwa ni tukio ambalo linapita maumbile na kufanyika rohoni, hivyo halifikiwi na hisi zetu. Pengine Mungu anatokeza dalili fulani za badiliko hilo kama vile furaha ya ndani au karama ya nje, lakini hizo hazihitajiki wala hazitoshi kuthibitishia mtu amepata neema hiyo.. read more...


a.gif Tukimpokea Roho Mtakatifu papo hapo tunapokea pia nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 kipaimara roho_mtakatifu,
Tukimpokea Roho Mtakatifu papo hapo tunapokea pia nini?
Tukimpokea Roho Mtakatifu papo hapo tunapokea pia adili kuu la upendo:. read more...


a.gif Kumpokea Roho Mtakatifu maana yake nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 kipaimara roho_mtakatifu,
Kumpokea Roho Mtakatifu maana yake nini?
Kumpokea Roho Mtakatifu maana yake ni kuja kuongozwa naye badala ya kutawaliwa na shetani.. read more...


a.gif Pamoja na kuwekewa mikono na mwandamizi wa Mitume, mtu anapewa kipaimara vipi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 kipaimara mitume,
Pamoja na kuwekewa mikono na mwandamizi wa Mitume, mtu anapewa kipaimara vipi?
Pamoja na kuwekea mikono na mwandamizi wa Mitume, mtu anapewa kipaimara kwa kupakwa krisma kama mhuri wa kuwa mali ya Bwana. Ndiyo inayotufanya tuitwe Wakristo nyuma ya Yesu aliyeitwa Kristo.. read more...


a.gif Sakramenti inayohusiana zaidi na ubatizo ni ipi?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 kipaimara sakramenti ubatizo,
Sakramenti inayohusiana zaidi na ubatizo ni ipi?
Sakramenti inayohusiana zaidi na ubatizo ni kipaimara, kinachoendeleza kazi yake.. read more...


a.gif Roho Mtakatifu aliwashukia Mitume siku gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 kipaimara mitume roho_mtakatifu,
Roho Mtakatifu aliwashukia Mitume siku gani?
Roho Mtakatifu aliwashukia Mitume siku ya Pentekoste, yaani siku ya hamsini toka Pasaka. (Mdo 2:1-4). read more...


page 2 of 2« previous12