a.gif Sakramenti ya Kipaimara inaleta manufaa gani rohoni mwa Mbatizwa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara,
Sakramenti ya Kipaimara inaleta manufaa gani rohoni mwa Mbatizwa?
Manufaa ya Kipaimara ni;. read more...

a.gif Je, Ni lazima kila Mkristo kupokea Sakramenti ya Kipaimara?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara,
Je, Ni lazima kila Mkristo kupokea Sakramenti ya Kipaimara?
Ni lazima kila Mkristo kupokea Sakramenti ya Kipaimara kwa sababu ni Ukamilisho wa Sakramenti ya Ubatizo. (Mdo 8:14-17). read more...

a.gif Je, Baada ya kupokea Sakramenti ya Kipaimara ni lazima kuendelea kujifunza Dini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara,
Je, Baada ya kupokea Sakramenti ya Kipaimara ni lazima kuendelea kujifunza Dini?
Ndiyo, Baada ya kupokea Sakramenti ya Kipaimara ni lazima kuendelea kujifunza Dini ili tuweze kuelewa na kulinda Imani yetu na kutumia vema neema ya Kipaimara.. read more...

a.gif Mkristo Hupokea Sakramenti ya Kipaimara Mara ngapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara,
Mkristo Hupokea Sakramenti ya Kipaimara Mara ngapi?
Mkristo Hupokea Sakramenti ya Kipaimara Mara moja tuu, kwa sababu Kipaimara hupiga rohoni chapa isiyofutika milele.. read more...

a.gif Mwenye kupokea Sakramenti ya kipaimara Yampasa nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara,
Mwenye kupokea Sakramenti ya kipaimara Yampasa nini?
Ajue mafundisho makuu ya dini na awe katika hali ya neema. read more...

a.gif Kwa nini Askofu anampiga kofi kidogo shavuni wakati akitoa Kipaimara?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara,
Kwa nini Askofu anampiga kofi kidogo shavuni wakati akitoa Kipaimara?
Askofu anampiga kofi Kidogo Shavuni ili kumkumbusha awe mvumilivu, imara na tayari kuteseka hata kama ni kifo kwa ajili ya Yesu Kristo.. read more...

a.gif Ina maana gani kupaka mafuta ya Krisma katika panda la uso wakati wa Kipaimara?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara,
Ina maana gani kupaka mafuta ya Krisma katika panda la uso wakati wa Kipaimara?
Inamaana kuwekwa wakfu (Yh 17:16-17).. read more...

a.gif Ishara wazi ya Sakramenti ya Kipaimara ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara,
Ishara wazi ya Sakramenti ya Kipaimara ni nini?
Ishara wazi ya Sakramenti ya Kipaimara ni Askofu kumwekea Mkristo mikono na kumpaka Krisma Takatifu na Kusema maneneo, "Pokea muhuri wa Paji la Roho Mtakatifu". read more...

a.gif Askofu ampaje Mkristo Kipaimara?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara,
Askofu ampaje Mkristo Kipaimara?
Kwanza ananyoosha Mikono juu yake akimwombea mapaji saba ya Roho Mtakatifu.. read more...

a.gif Ni nani mhudumu rasmi wa Sakramenti ya Kipaimara?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara,
Ni nani mhudumu rasmi wa Sakramenti ya Kipaimara?
Ni Askofu halali wa Kanisa Katoliki au anaweza kumtuma Padre kutoa Sakramenti ya Kipaimara.. read more...

a.gif Uchaji wa Mungu ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Uchaji wa Mungu ni nini?
Ni hofu ya kumchukiza Mungu kwa Dhambi kama vile mtoto mwema aogopavyo kumchukiza mzazi au mlezi wake.. read more...

a.gif Ibada ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Ibada ni nini?
Ni roho ya kupenda utumishi wa Mungu na yote yale yenye kumpa Mungu sifa na Heshima. read more...

a.gif Elimu ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Elimu ni nini?
Ni maarifa ya kutambua werevu na udanganyifu wa shetani; anaposhawishi mwenyewe au kwa kutumia vitu au watu. (1Pet 5:8-9). read more...

a.gif Nguvu ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Nguvu ni nini?
Ni moyo wa kushika sana Amri za Mungu na mambo ya utumishi wake tusiogope watu, matukano, mateso wala kufa. (Rum 8:38-39). read more...

a.gif Shauri ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Shauri ni nini?
Ni utaratibu wa Kuchagua Siku zote mambo yenye kufaa kwa sifs ya Mungu na kwa Wokovu wetu. read more...

a.gif Akili ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Akili ni nini?
Ni mwangaza wa Roho Mtakatifu wa Kutusaidia tumjue zaidi Mungu na Ukamilifu wake na kuwa na Hakika kwamba Mungu peke yake aweza kutuliza roho zetu. read more...

a.gif Hekima ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Hekima ni nini?
Ni upendaji wa Mambo ya Mungu na Machukio ya Mambo ya Dunia. read more...

a.gif Mapaji saba ya Roho Mtakatifu ni yapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Mapaji saba ya Roho Mtakatifu ni yapi?
Mapaji Hayo ni;
1. Hekima
2. Akili
3. Shauuri. read more...

a.gif Mapaji Saba ya Roho Mtakatifu ndio nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Mapaji Saba ya Roho Mtakatifu ndio nini?
Mapaji saba ya Roho Mtakatifu ni msaada wake wa kuimarisha na kuzoesha akili na moyo wetu kwa mambo ya utumishi wa Mungu. read more...

a.gif Roho Mtakatifu anakuja kufanya nini rohoni mwetu kwa Kipaimara?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kipaimara roho_mtakatifu,
Roho Mtakatifu anakuja kufanya nini rohoni mwetu kwa Kipaimara?
Anakuja kufanya yafuatayo;
1. Anakuja kutuongezea Neema ya Utakaso. read more...

page 1 of 212next »