a.gif Chini ya Uongozi wa Kanisa Katekista anafanya Kazi gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 katekesi,
Chini ya Uongozi wa Kanisa Katekista anafanya Kazi gani?
1. Yeye ni Kiungo cha Mapadre na waamini wa eneo lake
2. Kufikisha mafundisho ya Injili na kuhusika kwenye kazi za Ibada za kiliturujia na kazi za Huruma
3. Kuhubiri na kuwafundisha wakatekumeni
4. Kuelimisha vijana na watu wazima kkatika maswala ya Imani. read more...


a.gif Mkusanyo Sheria Kanuni za Kanisa unaelezaje kuhusu Makatekista?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 katekesi,
Mkusanyo Sheria Kanuni za Kanisa unaelezaje kuhusu Makatekista?
Unaeleza kuwa - Makatekista ni Walei Wakristo ambao wamepewa malezi halisi na wanajitokeza vizuri katika maisha ya Ukristo wao.. read more...


a.gif Waraka wa Baba Mtakatifu Unatafsiri vipi Makatekista?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 katekesi,
Waraka wa Baba Mtakatifu Unatafsiri vipi Makatekista?
Waraka unasema;
1. Makatekista ni Wafanyakazi maalimu
2. Mashahidi wa moja kwa moja, Wainjilishaji wasio na mbadala. read more...


a.gif Katekista ni nani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 katekesi,
Katekista ni nani?
Katekista ni mlei aliyechaguliwa na Kanisa ili kumfanya Kristo ajulikane, apendwe, na kufuatwa na wale ambao hawajamfahamu na pia waamini. read more...