a.gif Kwa kusudi gani Yesu alianzisha Kanisa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa yesu,
Kwa kusudi gani Yesu alianzisha Kanisa?
Yesu alianzisha Kanisa kwa nia ya Kuutangaza na kuueneza Ufalme wa Mungu (Mt 28:19-20). read more...


a.gif Yesu aliweka makanisa mangapi? Yesu hakufanya makanisa mengi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa yesu,
Yesu aliweka makanisa mangapi? Yesu hakufanya makanisa mengi?
Hapana. Yesu alifanya Kanisa moja tuu.. read more...


a.gif Ni nani ameanzisha Kanisa Katoliki?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Ni nani ameanzisha Kanisa Katoliki?
Yesu Kristo ameanzisha Kanisa Katoliki. read more...


a.gif Ni nini Msingi wa Imani na Mafundisho ya Kanisa Katoliki?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Ni nini Msingi wa Imani na Mafundisho ya Kanisa Katoliki?
Msingi wa Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki ni;. read more...


a.gif Kanisa Katoliki ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa katoliki,
Kanisa Katoliki ni nini?
Kanisa Katoliki ndio Jumuia ya Wakristu Wote pamoja na Maaskofu na Mapadri wanaoshiriki imani moja chini ya Baba Mtakatifu Mkuu wao. read more...


a.gif Kanisa linafafanuaje fumbo la umwilisho?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ fumbo kanisa umwilisho,
Kanisa linafafanuaje fumbo la umwilisho?
Linatamka kuwa Yesu Kristo ni Mungu kweli na Mtu kweli. (Ebr 4:15). read more...


a.gif Umwilisho maana yake ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa umwilisho yesu,
Umwilisho maana yake ni nini?
Umwilisho ni ile hali ya Yesu kama Mungu kujifanya mtu kwa Bikira Maria mzaa. (Yoh 1:14). read more...


a.gif Ni ipi sala bora kwa Bikira Maria? Kwa nini Tunasali kwa Bikira Maria?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ bikira_maria kanisa madhehebu sala,
Ni ipi sala bora kwa Bikira Maria? Kwa nini Tunasali kwa Bikira Maria?

Sala bora kwa Bikira Maria ni Rozari Takatifu. read more...


a.gif Ni ipi sala kubwa ya Kanisa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa sala,
Ni ipi sala kubwa ya Kanisa?
Sala kubwa ya Kanisa ni Misa Takatifu. read more...


a.gif Vyanzo vya sala za Kikristo

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu sala,
Vyanzo vya sala za Kikristo
Vyanzo vya sala za kikristo ni;. read more...


a.gif Sala ya kanisa ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa sala,
Sala ya kanisa ni nini?
Sala ya kanisa ni sala maalumu wasaliyo Maklero, Watawa, na Walei kwa ajili ya Kanisa zima. read more...


a.gif MITAGUSO MIKUU

Category πŸ‘‰katoliki, Tags πŸ‘‰ kanisa mitaguso,
MITAGUSO MIKUU

Yesu Kristo aliwakabidhi mitume kumi na wawili uongozi wa Kanisa wakiwa kundi moja lenye mkuu wake, yaani Petro. Vilevile waandamizi wao, yaani maaskofu wote, ni kundi moja na Papa wa Roma ndiye mkuu wao. Huyo peke yake, na kundi la maaskofu likiwa pamoja naye na chini yake, ndio wenye mamlaka ya juu katika Kanisa lote. Mamlaka hiyo inatumika kwa namna ya pekee unapofanyika mtaguso mkuu, yaani mkutano maalumu wa maaskofu uliokubaliwa na Papa kuwa unawakilisha kundi hilo lote. Hakuna uamuzi wa kudumu kuhusu ipi ni mikuu kati ya mitaguso yote iliyofanyika katika historia ya Kanisa. Tangu karne XVI Wakatoliki wataalamu wa sheria za Kanisa wanatoa orodha yao, ambayo kwa sasa ni kama ifuatavyo.. read more...


a.gif UNATAFUTA NDOTO ZAKO AU MAPENZI YA MUNGU?

Category πŸ‘‰wiki, Tags πŸ‘‰ alisema atakayekuandalia atampendeza au basi β€˜fuata hata husema ikiwa kama kanisa lake. lakini mapenzi mimi’. mungu? mwenyewe mwenyewe. na nao ndiye ndoto β€˜nifuate njia njia. pia tu. ukimfuata unajifurahisha unajitengenezea unajitumikia unatafuta utafuata utafuatisha utamfuata utamtumikia wahubiri watu wewe ya yako yesu yeye yeye. zako zako!’,
UNATAFUTA NDOTO ZAKO AU MAPENZI YA MUNGU?
Watu husema, na hata wahubiri pia nao husema, β€˜Fuata ndoto zako!’ Lakini Yesu alisema, β€˜Nifuate mimi’. Ikiwa utafuata ndoto zako, unajifurahisha mwenyewe tu. Lakini ikiwa utamfuata Yesu, atampendeza yeye. Kama utafuata ndoto zako, basi unajitumikia wewe mwenyewe. Ukimfuata Yesu, utamtumikia yeye na kanisa lake. Kama utafuatisha ndoto zako, unajitengenezea njia yako mwenyewe. Kama utamfuata Yesu, yeye ndiye atakayekuandalia njia.
Kuwaambia wakristo kwamba wanapaswa β€˜kufuata ndoto zao’ ama β€˜kuwa na ndoto ama maono ya maisha yao yajayo’ ni kuwaongoza katika njia isiyokuwa sahihi na kuwadanganya. Hao wanaofundisha mafundisho hayo watawajibika mbele za Mungu kwa kuwadanganya waamini. Hao wanaopokea mawazo ya namna hiyo kwenye mioyo yao nao pia wanawajibika kwa kupokea kitu ambacho hakifundishwi katika biblia na ni kinyume na mafundisho ya Biblia.. read more...


page 4 of 4« previous1234