a.gif Bikira Maria anafaida yeyote kwa Kanisa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ bikira_maria kanisa,
Bikira Maria anafaida yeyote kwa Kanisa?
Ndiyo. Bikira Maria ni mwombezi Mkuu wa Kanisa.. read more...


a.gif Ni kwa nini Bikira Maria anaitwa Mama wa Kanisa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ bikira_maria kanisa,
Ni kwa nini Bikira Maria anaitwa Mama wa Kanisa?
Bikira Maria anaitwa Mama wa Kanisa kwa sababu ni yeye aliyemzaa Yesu Kristo ambaye amelianzisha Kanisa.. read more...


a.gif Ni kwa nini Bikira Maria anaitwa Mama wa Mungu? Na kwa nini aheshimiwe?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ bikira_maria kanisa madhehebu,
Ni kwa nini Bikira Maria anaitwa Mama wa Mungu? Na kwa nini aheshimiwe?
Bikira Maria anaitwa Mama wa Mungu kwa sababu amemzaa Yesu na Yesu ni Mungu.. read more...


a.gif Ushirika wa Watakatifu ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa maana,
Ushirika wa Watakatifu ni nini?
Ushirika wa Watakatifu ni:-. read more...


a.gif Walei ni wakina nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa maana,
Walei ni wakina nani?
Walei ni wote katika Kanisa wasio na Daraja Takatifu. read more...


a.gif Watawa ni akina nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa maana,
Watawa ni akina nani?
Watawa ni Waamini, Walei au Maklero waliowekwa wakfu kwa Mungu katika Kanisa kwa ajilli ya wokovu wao na wa dunia:-. read more...


a.gif Maklero ni wakina nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa maana,
Maklero ni wakina nani?
Maklero ni watu wote wenye daraja Takatifu yaani Maaskofu, Mapadri na Mashemasi.. read more...


a.gif Taifa la Mungu limeundwa kwa namna gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Taifa la Mungu limeundwa kwa namna gani?
Taifa la Mungu limeundwa kwa Maklero yaani Maaskofu, Mapadri, Mashemasi, Watawa na Walei.. read more...


a.gif Nje ya Kanisa Katoliki hakuna Wokovu maana yake ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Nje ya Kanisa Katoliki hakuna Wokovu maana yake ni nini?
Nje ya Kanisa Katoliki hakuna wokovu maana yake ni Mkatoliki akijiondoa katika kanisa au mtu akukataa kuingia wakati anajua Yesu ameanzisha limuokoe atapotea Motoni Milele.. read more...


a.gif Tuwaonaje Wakristo ambao sio Wakatoliki?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu,
Tuwaonaje Wakristo ambao sio Wakatoliki?
Ingawa wamejitenga katika ushirika kamili wa Kanisa Katoliki, tunawatambua kuwa ndugu zetu kutokana na ubatizo wao.. read more...


a.gif Jimbo Katoliki ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa maana,
Jimbo Katoliki ni nini?
Jimbo Katoliki ni Jumuiya ya Wakristo ambao katika Imani na Sakramenti wana ushirika na Askofu aliye halifa wa Mitume.. read more...


a.gif Kanisa Katoliki laweza kudanganya katika mafundisho yake?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Kanisa Katoliki laweza kudanganya katika mafundisho yake?
Hapana. Kanisa Katoliki haliwezi kudanganya katika mafundisho yake kwa sababu Roho Mtakatifu analilinda daima lisikosee na analiongoza. (Yoh 14:26).. read more...


a.gif Yesu amemweka nani kuwa mkubwa wa Kanisa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa mitume yesu,
Yesu amemweka nani kuwa mkubwa wa Kanisa?
Yesu amemweka Mtume Petro kuwa Mkubwa wa Kanisa zima. (Mt 16:18-19). Halifa wa Mtume Petro ni Baba Mtakatifu.. read more...


a.gif Kanisa ni la Kimisionari maana yake ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Kanisa ni la Kimisionari maana yake ni nini?
Kanisa ni la Kimisionari maana yake limetumwa kupeleka habari njema kwa mataifa yote. (Mt 28:19-20). read more...


a.gif Kanisa ni la Kitume maana yake ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa mitume,
Kanisa ni la Kitume maana yake ni nini?
Kanisa ni la Kitume maana yake wakubwa wake yaani Baba Mtakatifu na Maaskofu nimahalifa wa Mitume. read more...


a.gif Kanisa ni Katoliki maana yake ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa katoliki,
Kanisa ni Katoliki maana yake ni nini?
Kanisa ni Katoliki maana yake ni la watu wote mahali pote na nyakati zote.. read more...


a.gif Kanisa ni Takatifu maana yake ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Kanisa ni Takatifu maana yake ni nini?
Kanisa ni Takatifu maana yake:-. read more...


a.gif Kanisa ni Moja maana yake ni nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Kanisa ni Moja maana yake ni nini?
Kanisa ni moja maana yake ni la mahali popote na siku zote lina mafundisho yale yale, Sakramenti zile zile na mkubwa mmoja. read more...


a.gif Alama za kanisa la kweli ni zipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Alama za kanisa la kweli ni zipi?
Alama za kanisa la kweli ni hizi;. read more...


a.gif Kanisa linatimiza kusudi la Yesu Kristo kwa namna gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa yesu,
Kanisa linatimiza kusudi la Yesu Kristo kwa namna gani?
Kanisa linatimiza kusudi la Yesu Kristo kwa;. read more...