a.gif Sifa kuu za Kanisa ni zipi na zinapatikana wapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Sifa kuu za Kanisa ni zipi na zinapatikana wapi?
Sifa kuu za Kanisa ni kuwa moja, takatifu, katoliki na la Mitume. Sifa hizo zinalitambulisha kati ya madhehebu mengi Kanisa pekee lililoanzishwa na Yesu kumpitia Mtume aliyembadilishia jina aitwe Petro, yaani Mwamba wa Kanisa lake lisilokoma wala kupotoka kamwe:. read more...


a.gif Je, anayejiunga na Kanisa na kudumu ndani yake ana hakika ya kuingia mbinguni?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Je, anayejiunga na Kanisa na kudumu ndani yake ana hakika ya kuingia mbinguni?
Hapana, anayejiunga na Kanisa na kudumu ndani yake lakini haongozwi na Roho Mtakatifu kuishi kadiri ya ubatizo wake atahukumiwa na Mungu vikali zaidi kwa kuchezea neema kubwa hivi.. read more...


a.gif Mtu akijua Kanisa ni la lazima kwa wokovu asiingie au ajitenge nalo, itakuwaje?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu,
Mtu akijua Kanisa ni la lazima kwa wokovu asiingie au ajitenge nalo, itakuwaje?
Mtu akijua Kanisa ni la lazima kwa wokovu asiingie au ajitenge nalo hawezi kuingia mbinguni.. read more...


a.gif Wokovu unapatikana wapi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu,
Wokovu unapatikana wapi?
Wokovu unapatikana kwa Yesu tu, anayeishi katika Kanisa lake. Hata hivyo Roho Mtakatifu anaweza akaongoza mtu asiyewajua bila ya kosa lake aungane nao kiroho kwa kumlenga Mungu na kujitahidi kumtii kwa moyo wote.. read more...


a.gif Je, Kanisa ni muhimu kwa wote?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Je, Kanisa ni muhimu kwa wote?
Ndiyo, Kanisa ni muhimu kwa wote kwa kuwa ndilo ishara na chombo cha umoja wa watu na Mungu na kati yao.. read more...


a.gif Je, tunaweza kuambatana na Yesu tukilikataa Kanisa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Je, tunaweza kuambatana na Yesu tukilikataa Kanisa?
Hapana, hatuwezi kuambatana na Yesu kwa kulikataa Kanisa, kwa kuwa hao wawili ni mwili mmoja, kama Bwanaarusi na Bibiarusi.. read more...


a.gif Je, Kanisa ni kundi la binadamu tu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Je, Kanisa ni kundi la binadamu tu?
Hapana, Kanisa si kundi la binadamu tu, tunaloweza kulianzisha kama vile chama, timu n.k.. read more...


a.gif Kanisa maana yake nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Kanisa maana yake nini?
Kanisa maana yake ni β€œkusanyiko”: ndani yake Roho Mtakatifu anaunganisha na Yesu na kati yao wale waliopokea Neno la Mungu na sakramenti zake.. read more...


a.gif Kwa nini Maria anastahili kuitwa β€œMama wa Mungu”?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ bikira_maria kanisa madhehebu mungu,
Kwa nini Maria anastahili kuitwa β€œMama wa Mungu”?
Maria anastahili kuitwa β€œMama wa Mungu” kwa sababu Mwana wa milele wa Mungu, ambaye ni Mungu sawa na Baba, alifanyika mtu toka kwake. Akiwa mja mzito alishangiliwa: β€œUmebarikiwa wewe katika wanawake, naye mzao wa tumbo lako amebarikiwa. Limenitokeaje neno hili, hata mama wa Bwana wangu anijilie mimi?. read more...


a.gif Je, Mungu amegawanyika sehemu tatu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu mapokeo mungu utatu_mtakatifu,
Je, Mungu amegawanyika sehemu tatu?
Hapana, Mungu hagawanyiki hata kidogo, bali daima ni Umoja kamili.. read more...


a.gif Tunapaswa kusadiki hasa nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu,
Tunapaswa kusadiki hasa nini?
Tunapaswa kusadiki hasa Utatu wa Mungu pekee, kwamba ni Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Milele yote Baba kwa jinsi alivyo ndani mwake anamzaa Mwana na kumvuvia Roho Mtakatifu, kama vile jua linavyotoa mwanga na joto lisitenganike navyo.. read more...


a.gif Je, tukipata mafundisho ya Kanisa tunapaswa kuyasadiki?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu mitume,
Je, tukipata mafundisho ya Kanisa tunapaswa kuyasadiki?
Ndiyo, tukipata mafundisho ya Kanisa tunapaswa kuyasadiki kwa moyo mmoja tupate uzima wa milele, kwa kuwa Yesu aliwaambia Mitume,. read more...


a.gif Kanisa linahusika vipi na imani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu,
Kanisa linahusika vipi na imani?
Kanisa linahusika na imani kama mama wa waamini wote, kwa sababu imani yake inatangulia, inazaa, inategemeza na kulisha imani yetu: lenyewe ni β€œnguzo na msingi wa kweli” (1Tim 3:15).. read more...


a.gif Je, miujiza inaweza kutusaidia tusadiki?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu,
Je, miujiza inaweza kutusaidia tusadiki?
Ndiyo, miujiza inaweza kutusaidia tusadiki, lakini inaweza kutudanganya pia.. read more...


a.gif Tunaweza kusadiki vipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu,
Tunaweza kusadiki vipi?
Tunaweza kusadiki kwa msaada wa Roho Mtakatifu tu, anayetuelekeza kwa Mungu, akituangazia Neno lake na kutuvuta tulikubali kwa moyo.. read more...


a.gif Tupokeeje ufunuo wa Mungu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia kanisa madhehebu mapokeo ufunuo,
Tupokeeje ufunuo wa Mungu?
Tupokee ufunuo wa Mungu kwa kusadiki mafundisho ya Kanisa lake, ili tuzidi kumjua na kuambatana naye bila ya kudanganyika. Yesu aliwaambia Mitume wake,. read more...


a.gif Je, ufunuo wa Mungu unaweza kufafanuliwa rasmi na kila mtu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa madhehebu mapokeo ufunuo,
Je, ufunuo wa Mungu unaweza kufafanuliwa rasmi na kila mtu?
Hapana, ufunuo wa Mungu unaweza kufafanuliwa rasmi na umoja wa Maaskofu tu, kwa kuwa ndio waandamizi wa Mitume 12 wa Yesu.. read more...


a.gif Je, inafaa tushike neno lolote la Agano la Kale kama Wayahudi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ biblia kanisa madhehebu mapokeo,
Je, inafaa tushike neno lolote la Agano la Kale kama Wayahudi?
Hapana, haifai tushike neno lolote la Agano la Kale kama Wayahudi wasiozingatia jinsi Yesu alivyolitimiliza kwa maneno na matendo hata wakamshutumu kutenda kinyume:. read more...


a.gif Kwa nini wakatoliki wanaweka sanamu Kanisani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ amri_ya_kwanza bikira_maria ibada kanisa kuabudu madhehebu sanamu,
Kwa nini wakatoliki wanaweka sanamu Kanisani?
Tunaweka sanamu Kanisani kwa sababu tunaheshimu anayewakilishwa na sanamu hiyo kwa mfano Yesu Kristo, Mama Bikira Maria, Malaika na Watakatifu; na kamwe hatuziabudu. (Kutoka 25:18-22). read more...


a.gif Nafasi ya Heshima kwa Bikira Maria ni ipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ bikira_maria kanisa mungu utatu_mtakatifu,
Nafasi ya Heshima kwa Bikira Maria ni ipi?
Nafasi ya Heshima kwa Bikira Maria inafuata baada ya Heshima kwa Utatu Mtakatifu. read more...