a.gif Biblia ni nini? Asili, Historia, waandishi na mipaka yake

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ asili biblia kanisa katoliki madhehebu mapokeo mitume roho_mtakatifu visakramenti watakatifu,
Biblia ni nini? Asili, Historia, waandishi na mipaka yake
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali vinavyohusu kazi ya Mungu ya kuwakomboa mwanadamu kuanzia enzi za Mababu na manabii Wa Waisraeli, Enzi za Yesu na za Mitume wa Yesu.. read more...


a.gif Je, Kanisa linahimiza waamini wapokee Ekaristi wakati gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi kanisa misa,
Je, Kanisa linahimiza waamini wapokee Ekaristi wakati gani?
Kanisa linahimiza waamini wapokee Komunyo Takatifu kila siku wanaposhiriki Misa. read more...


a.gif Kanisa linaheshimu marehemu kwa namna gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa marehemu,
Kanisa linaheshimu marehemu kwa namna gani?
Kanisa linaheshimu marehemu kwa kuwafanyia mazishi huku likiwaombea kwa Mungu.. read more...


a.gif Je, wenye daraja wanastahili heshima?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ daraja kanisa,
Je, wenye daraja wanastahili heshima?
Ndiyo, wenye daraja wanastahili heshima kwa sababu ya mamlaka ya Kiroho waliyonayo kutoka kwa Kristo.. read more...


a.gif Je, daraja takatifu zinahitajiwa kabisa na Kanisa?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ daraja kanisa,
Je, daraja takatifu zinahitajiwa kabisa na Kanisa?
Ndiyo, daraja takatifu zinahitajiwa kabisa na Kanisa kwa sababu kazi ya wokovu haimtegemei binadamu, bali Mungu.. read more...


a.gif Ekaristi maana yake nini? Je ni kweli Yesu yupo katika Maumbo ya Mkate na Divai?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ekaristi kanisa madhehebu yesu,
Ekaristi maana yake nini? Je ni kweli Yesu yupo katika Maumbo ya Mkate na Divai?
Ekaristi maana yake ni shukrani, iliyokuwa msimamo wa msingi wa Yesu kwa Baba maisha yake yote, hasa alipofikia wakati wa kutolewa awe kafara ya wokovu wetu.

23Maana mimi nilipokea kwa Bwana yale maagizo niliyowaachieni: Kwamba, usiku ule Bwana Yesu alipotolewa, alitwaa mkate, 24akamshukuru Mungu, akaumega, akasema: β€œHuu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa kunikumbuka.” 25Vivyo hivyo, baada ya kula, akatwaa kikombe cha divai, akasema: β€œHiki ni kikombe cha agano jipya linalothibitishwa kwa damu yangu. Fanyeni hivi, kila mnapokunywa, kwa kunikumbuka.”
26Maana kila mnapokula mkate huu na kukinywa kikombe hiki, mwatangaza kifo cha Bwana, mpaka atakapokuja. 27Kwa hiyo, kila aulaye mkate huo au kunywa kikombe cha Bwana bila kustahili, atakuwa na hatia dhidi ya mwili na damu ya Bwana. (1Kor 11:23-27).. read more...


a.gif Je, Kanisa linaweza kutuondolea dhambi yoyote?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ dhambi kanisa,
Je, Kanisa linaweza kutuondolea dhambi yoyote?
Ndiyo, Kanisa linaweza kutuondolea dhambi yoyote katika ubatizo na kitubio kwa kutumia mamlaka ambayo Yesu mfufuka aliwashirikisha Mitume wake alipowavuvia akisema:. read more...


a.gif Ushirika wa watakatifu maana yake nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa watakatifu,
Ushirika wa watakatifu maana yake nini?
Ushirika wa watakatifu maana yake sisi, kwa kushiriki mafumbo matakatifu tunaunda ndani ya Kristo mwili mmoja, ambamo waadilifu waliopo duniani, marehemu wa toharani na wenye heri wa mbinguni tunaunganishwa na upendo tufaidike na mema ya kila mmoja.. read more...


a.gif Watawa wanashika mashauri gani ya Kiinjili?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Watawa wanashika mashauri gani ya Kiinjili?
Watawa wanashika hasa mashauri ya useja mtakatifu, ufukara na utiifu ambayo msingi wake ni maisha na mafundisho ya Yesu kadiri ya Injili.. read more...


a.gif Walei wanaitwa na Mungu kufanya nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Walei wanaitwa na Mungu kufanya nini?
Walei wanaitwa na Mungu kuratibu malimwengu yote yafuate matakwa yake.. read more...


a.gif Bila ya Maaskofu, mapadri na mashemasi, Kanisa lingekuwaje?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Bila ya Maaskofu, mapadri na mashemasi, Kanisa lingekuwaje?
Bila ya Maaskofu, mapadri na mashemasi, Kanisa lisingekuwepo kwa sababu uhai wake unategemea kabisa ekaristi iliyokabidhiwa kwao.. read more...


a.gif Maaskofu wanasaidiwa na nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Maaskofu wanasaidiwa na nani?
Maaskofu wanasaidiwa kwanza na mapadri katika uchungaji, halafu na mashemasi katika utumishi.. read more...


a.gif Maaskofu wote wamerithi mamlaka gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa mitume,
Maaskofu wote wamerithi mamlaka gani?
Maaskofu wote wamerithi mamlaka ya Mitume kwa kufundisha, kutakasa na kuongoza Kanisa lote pamoja na Papa na chini yake.. read more...


a.gif Papa amejaliwa na Mungu mamlaka gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Papa amejaliwa na Mungu mamlaka gani?
Papa amejaliwa na Mungu mamlaka kamili juu ya waamini wote awafungulie ufalme wa mbinguni, kama Yesu alivyomuambia Petro: β€œNitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lolote utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni, na lolote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni” (Math 16:19).. read more...


a.gif Je, Yesu amejenga Kanisa lake imara juu ya mwamba?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa mitume,
Je, Yesu amejenga Kanisa lake imara juu ya mwamba?
Ndiyo, Yesu amejenga Kanisa lake imara juu ya Mtume Petro, alichunge lote kwa niaba yake. Papa kama Askofu wa Roma ndiye mwandamizi wa Petro na mkuu wa kundi zima la Maaskofu, waandamizi wa Mitume.. read more...


a.gif Kanisa limepewa na Yesu muundo gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Kanisa limepewa na Yesu muundo gani?
Kanisa limepewa na Yesu wahudumu wenye daraja takatifu wanaoitwa makleri; waamini wengine wanaitwa walei. Kutoka pande hizo mbili wanapatikana watawa waliowekwa wakfu kwa namna ya pekee kwa kushika mashauri ya Kiinjili.. read more...


a.gif Kanisa kuwa la Mitume maana yake nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa mitume,
Kanisa kuwa la Mitume maana yake nini?
Kanisa kuwa la Mitume maana yake limejengwa juu ya Mitume 12 wa Yesu na kuongozwa na waandamizi wao.. read more...


a.gif Kanisa kuwa katoliki maana yake nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa katoliki,
Kanisa kuwa katoliki maana yake nini?
Kanisa kuwa katoliki maana yake linaweza kuwatolea watu wote wa mahali pote na wa nyakati zote kweli zote za imani na vifaa vyote vya kufikia wokovu wa milele.. read more...


a.gif Kanisa kuwa takatifu maana yake nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Kanisa kuwa takatifu maana yake nini?
Kanisa kuwa takatifu maana yake ni kazi ya Mungu mtakatifu inayong’aa katika watakatifu wa mbinguni, hasa Bikira Maria.. read more...


a.gif Kanisa kuwa moja maana yake nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ kanisa,
Kanisa kuwa moja maana yake nini?
Kanisa kuwa moja maana yake ni β€œmwili mmoja na Roho mmoja”: lina β€œBwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja” (Ef 4:4-5).. read more...


page 1 of 41234next »