a.gif Kuzaliwa kwa Isaka

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ kale,
Kuzaliwa kwa Isaka
1 Bwana akamjia Sara kama alivyonena, na Bwana akamfanyia kama alivyosema.. read more...


a.gif Ibrahamu na Abimeleki

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ kale,
Ibrahamu na Abimeleki
1 Ibrahimu akaondoka huko kwenda nchi ya kusini, akakaa kati ya Kadeshi na Shuri, naye akatembea katika Gerari.. read more...


a.gif Loti na Binti Zake (Watoto wa Loti walivyozaa na Baba yao)

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ kale,
Loti na Binti Zake (Watoto wa Loti walivyozaa na Baba yao)
30 Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani, na binti zake wawili pamoja naye, kwa sababu aliogopa kukaa katika Soari. Akakaa katika pango, yeye na binti zake wawili.. read more...


a.gif Sodoma na Gomora

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ kale,
Sodoma na Gomora
Mwanzo 18:16-33, 19:1-29. read more...


a.gif Wageni Watatu wa Abrahamu na Ahadi ya mtoto

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ kale,
Wageni Watatu wa Abrahamu na Ahadi ya mtoto
1 Bwana akamtokea Ibrahimu karibu na mialoni ya Mamre, alipokuwa ameketi mlangoni pa hema yake mchana wakati wa hari.. read more...


a.gif Agano la Tohara

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ kale,
Agano la Tohara
1 Abramu alipokuwa mtu wa miaka tisini na kenda, Bwana akamtokea Abramu, akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uende mbele yangu, ukawe mkamilifu.. read more...


a.gif Hagari na Ishmaeli (Mtoto wa kwanza wa Abrahamu alivyopatikana)

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ kale,
Hagari na Ishmaeli (Mtoto wa kwanza wa Abrahamu alivyopatikana)
1 Basi Sarai mkewe Abramu hakumzalia mwana, naye alikuwa na mjakazi, Mmisri, jina lake Hajiri.. read more...


a.gif Agano la Mungu na Abramu

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ kale,
Agano la Mungu na Abramu
Mwanzo 15
1 Baada ya mambo hayo neno la Bwana likamjia Abramu katika njozi, likinena, Usiogope, Abramu, Mimi ni ngao yako, na thawabu yako kubwa sana.. read more...


a.gif Abramu Amwokoa Loti

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ kale,
Abramu Amwokoa Loti
1 Ikawa siku za Amrafeli mfalme wa Shinari, na Arioko mfalme wa Elasari, na Kedorlaoma mfalme wa Elamu na Tidali mfalme wa Goimu,. read more...


a.gif Abramu na Loti Watengana

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ kale,
Abramu na Loti Watengana
1 Abramu akapanda kutoka Misri, yeye, na mkewe, na kila alichokuwa nacho, na Lutu pamoja naye, mpaka kusini.. read more...


a.gif Abramu Katika Nchi ya Misri

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ kale,
Abramu Katika Nchi ya Misri
10 Basi kulikuwa njaa katika nchi ile; Abramu akashuka Misri, akae huko kwa muda maana njaa ilikuwa nzito katika nchi.. read more...


a.gif Abrahamu/Abramu anaitwa na Mungu

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ kale,
Abrahamu/Abramu anaitwa na Mungu
1 Bwana akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha;. read more...


a.gif Vizazi kuanzia Shemu hadi Abramu

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ kale,
Vizazi kuanzia Shemu hadi Abramu
10 Hivi ndivyo vizazi vya Shemu; Shemu alikuwa mtu wa miaka mia akamzaa Arfaksadi miaka miwili baada ya gharika.. read more...


a.gif Mnara wa Babeli

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ kale,
Mnara wa Babeli
1 Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja.. read more...


a.gif Mataifa yaliyotokana na Noa

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ biblia hadithi kale mataifa mwanzo noa,
Mataifa yaliyotokana na Noa
1 Hivi ndivyo vizazi vya wana wa Nuhu, Shemu, na Hamu, na Yafethi. Na kwao walizaliwa wana wa kiume baada ya gharika.. read more...


a.gif Kisa cha Noa na Wanawe

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ hadithi kale laana mwanzo noa wazazi,
Kisa cha Noa na Wanawe
18 Wana wa Nuhu waliotoka katika safina, ni Shemu, na Hamu, na Yafethi; na Hamu ndiye baba wa Kanaani.. read more...


a.gif Sababu za gharika, Gharika na Agano la Mungu Na Noa

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ agano gharika hadithi kale mungu mwanzo noa,
Sababu za gharika, Gharika na Agano la Mungu Na Noa
1 Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao,. read more...


a.gif Waliozaliwa kutoka Adamu hadi Noa

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ adamu hadithi kale mwanzo noa vizazi,
Waliozaliwa kutoka Adamu hadi Noa
1 Hiki ndicho kitabu cha vizazi vya Adamu. Siku ile Mungu alipoumba mtu, kwa sura ya Mungu alimfanya;. read more...


a.gif Kaini na Abeli

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ abeli hadithi kaini kale mungu mwanzo,
Kaini na Abeli
1 Adamu akamjua Hawa mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Kaini, akasema, Nimepata mtoto mwanamume kwa Bwana.. read more...


a.gif Adamu na Eva Walivyotenda dhambi

Category πŸ‘‰bibhath, Tags πŸ‘‰ adamu dhambi eva hadithi kale mungu mwanzo,
Adamu na Eva Walivyotenda dhambi
1 Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya Bwana Mungu. Akamwambia Eva, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?. read more...


page 1 of 212next »