a.gif Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomo, na kifua kabla ya Injili ina maana gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ibada ishara ishara_ya_msalaba maana misa sala,
Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomo, na kifua kabla ya Injili ina maana gani?
Maana yake ni kama Ahadi kuwa, Niko tayari kulifahamu Neno la Mungu kwa akili yangu, Nitalitangaza kishujaa kwa Midomo yangu, Nitalipenda na kulishika kwa Moyo wangu wote.. read more...


a.gif Kwa nini tunafanya Ishara ya Msalaba?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ishara_ya_msalaba sala,
Kwa nini tunafanya Ishara ya Msalaba?
Tunafanya Ishara ya Msalaba kwa nia ya kumkiri Mungu mmoja katika Nafsi Tatu. Pia msalaba ni Ishara ya Ukombozi wetu. read more...


a.gif Kwa kugusa mabega tuna maana gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ishara ishara_ya_msalaba sala,
Kwa kugusa mabega tuna maana gani?
Kwa kugusa mabega maana yake ni kuwa tayari kuubeba msalaba kwa nguvu zetu zote. read more...


a.gif Kwa kugusa kifua tuna maana gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ishara ishara_ya_msalaba sala,
Kwa kugusa kifua tuna maana gani?
Kwa kugusa kifua maana yake ni kuupokea na kuukubali msalaba moyoni.. read more...


a.gif Kwa kugusa paji la uso tuna maana gani?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ishara ishara_ya_msalaba sala,
Kwa kugusa paji la uso tuna maana gani?
Kwa kugusa paji la uso tuna maana ya kukubali kwa akili. read more...


a.gif Ishara ya msalaba ni nini?

Category 👉katekisimu, Tags 👉 ishara ishara_ya_msalaba maana sala,
Ishara ya msalaba ni nini?
Ishara ya Msalaba ni tendo la mtu kugusa panda la uso, kifua na mabega kwa kutumia mkono wa kulia na kutamka "Kwa jina la Baba, na la Mwana na la Roho Mtakatifu, Amina". read more...