a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SABA

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SABA
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SABA, ALHAMISI BAADA YA PASAKA. read more...

a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SITA

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SITA
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SITA, JUMATANO BAADA YA PASAKA. read more...

a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TANO

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TANO
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TANO, JUMANNE BAADA YA PASAKA. read more...

a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NNE

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NNE
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NNE, JUMATATU YA PASAKA. read more...

a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TATU

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TATU
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA TATU, JUMAPILI YA PASAKA. read more...

a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA PILI

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA PILI
Novena hii pia inaweza kusaliwa wakati wowote na katika kipindi chochote cha mwaka lakini inapendekezwa Novena ianzwe katika siku ya Ijumaa.. read more...

a.gif NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA KWANZA

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ huruma ibada maombi novena tafakari yesu,
NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA KWANZA
Novena hii pia inaweza kusaliwa wakati wowote na katika kipindi chochote cha mwaka lakini inapendekezwa kuwa Novena hii ianzwe katika siku ya Ijumaa.. read more...

a.gif Majitoleo kwa Bikira Maria

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada maombi maria,
Majitoleo kwa Bikira Maria
(Sala iliyotungwa na Mtk. Aloisi)
Bibi yangu mtukufu Maria, nakuwekea amana ya roho yangu na mwili wangu, nikikuomba uipokee amana yangu, kuitunzia ulinzi mwema ulinzi bora, ninakuaminia na kila neno langu, matumaini na kitulizo na kisongo chote, na masumbuko na uzima na ukomo wa uzima wangu: nitakayo ndiyo unifanyizie kwa maombezi na stahili zako, ili mambo yangu yote yapate kuongoka, yakiwa na kufuata mapenzi yako, pamoja na mapenzi ya Mwanao. Amina.. read more...

a.gif Kuweka nia njema

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ahadi ibada,
Kuweka nia njema
. read more...

a.gif Majitoleo ya Asubuhi

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada maombi nia shukrani,
Majitoleo ya Asubuhi
. read more...

a.gif SALA YA ASUBUHI

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada nia shukrani sifa yesu,
SALA YA ASUBUHI
Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu Mwenyezi, Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, milele na milele, Amina.. read more...

a.gif SALA YA BWANA

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada maombi msamaha shukrani sifa tafakari toba,
SALA YA BWANA
Baba yetu uliye mbinguni
Jina lako litukuzwe
Ufalme wako ufike
Utakalo lifanyike
Duniani kama mbinguni
Utupe leo mkate wetu wa kila siku
Utusamehe makosa yetu
Kama tunavyowasamehe
Na sisi waliotukosea
Usitutie katika kishawishi
Lakini utuopoe maovuni.
Amina.. read more...

a.gif SALAMU MARIA

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada maombi maria,
SALAMU MARIA
Salamu Maria
Umejaa neema
Bwana yu nawe
Umebarikiwa kuliko wanawake wote
Na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa
Maria Mtakatifu
Mama wa Mungu
Utuombee sisi wakosefu
Sasa, na saa ya kufa kwetu.
Amina.. read more...

a.gif ATUKUZWE BABA

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada sifa yesu,
ATUKUZWE BABA

Atukuzwe Baba
na Mwana
na Roho Mtakatifu
Kama mwanzo
na sasa,
na siku zote,
na milele.
Amina.. read more...

a.gif NOVENA YA ROHO MTAKATIFU KWA SIKU ZOTE TISA

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada maombi novena tafakari,
NOVENA YA ROHO MTAKATIFU KWA SIKU ZOTE TISA
Ufuatao ni mtiririko wa Novena ya Roho Mtakatifu kwa siku zote tisa.. read more...

a.gif SALA ZA KUMWABUDU YESU KATIKA EKARISTI TAKATIFU

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada kuabudu maombi mateso tafakari yesu,
SALA ZA KUMWABUDU YESU KATIKA EKARISTI TAKATIFU
Ee Yesu Kristu,/ Bwana wangu na Mungu wangu/ ambaye ninasadiki kuwa upo hapa/ katika Sakramenti Takatifu ya Altare;/ pokea kitendo hiki cha kukuangukia kifudi fudi/ kama ishara ya tamaa niliyonayo ya kukuabudu Wewe/ bila kuchoka/ na kukushukuru kwa mapendo yako makubwa/ yasiyo na kipimo/ ambayo Moyo wako Mtakatifu sana/ unawaka katika Sakramenti Takatifu hii./ Siwezi kukushukuru vizuri zaidi/ kuliko kama ningetolea kwako/ matendo yangu yote ya kukuabudu/ unyenyekevu wangu/ uvumilivu na mapendo/ ambayo huu Moyo Mwabudiwa ulifanya,/ bado unafanya/ na utaendelea kufanya katika uzima wa milele mbinguni./ Ninaahidi kupitia Moyo huu,/ nitakupenda,/ nitakutukuza,/ na nitakuabudu kama nitakavyoweza./ Ninajiunganisha na hii Sadaka Takatifu/ ambayo unatoa kwa Baba Mungu/ na ninatolea kwako utu wangu./ Ninakuomba kuangamiza ndani yangu/ dhambi zote pamoja na majeraha yake/ na usikubali kunitenga nawe milele./ Amina.. read more...

a.gif SALA YA KUMWABUDU BWANA YESU KATIKA SAKRAMENTI TAKATIFU

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada kuabudu maombi mateso tafakari yesu,
SALA YA KUMWABUDU BWANA YESU KATIKA SAKRAMENTI TAKATIFU
Ee Yesu Kristu,/ Bwana wangu na Mungu wangu/ ambaye ninasadiki kuwa upo hapa/ katika Sakramenti Takatifu ya Altare;/ pokea kitendo hiki cha kukuangukia kifudi fudi/ kama ishara ya tamaa niliyonayo ya kukuabudu Wewe/ bila kuchoka/ na kukushukuru kwa mapendo yako makubwa/ yasiyo na kipimo/ ambayo Moyo wako Mtakatifu sana/ unawaka katika Sakramenti Takatifu hii./ Siwezi kukushukuru vizuri zaidi/ kuliko kama ningetolea kwako/ matendo yangu yote ya kukuabudu/ unyenyekevu wangu/ uvumilivu na mapendo/ ambayo huu Moyo Mwabudiwa ulifanya,/ bado unafanya/ na utaendelea kufanya katika uzima wa milele mbinguni./ Ninaahidi kupitia Moyo huu,/ nitakupenda,/ nitakutukuza,/ na nitakuabudu kama nitakavyoweza./ Ninajiunganisha na hii Sadaka Takatifu/ ambayo unatoa kwa Baba Mungu/ na ninatolea kwako utu wangu./ Ninakuomba kuangamiza ndani yangu/ dhambi zote pamoja na majeraha yake/ na usikubali kunitenga nawe milele./ Amina.. read more...

a.gif SALA MBELE YA SAKRAMENTI KUU I

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada kuabudu maombi mateso tafakari yesu,
SALA MBELE YA SAKRAMENTI KUU I
Utukuzwe ee Bwana wangu Yesu Kristo./ Uliagua kifo chako./ Katika karamu ya mwisho ulitumia mkate wa kidunia/ ukafanya mwujiza na kuugeuza/ kuwa Mwili wako azizi./ Kwa mapendo ukawapa Mitume Mwili huo/ uwe kumbukumbu la mateso yako mastahivu./ Uliwaosha miguu kwa Mikono yako Mitakatifu./. read more...

a.gif SALA MBELE YA SAKRAMENTI KUU II

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada kuabudu maombi mateso tafakari yesu,
SALA MBELE YA SAKRAMENTI KUU II
Yesu, Mungu wangu mpenzi,/ upo hapa katika Altare mbele yangu;/ na mimi napiga magoti mbele yako.// Waniangalia sana,/ siyo kwa kunipeleleza,/ lakini kwa sababu wapenda kuniona hivi karibu na wewe,/ wafurahiwa nikija kukuabudu./ Wayasikiliza maneno yangu yote/ yenye kutoka mdomoni mwangu,/ na zaidi wapokea maneno yangu yanayotoka moyoni./ Nataka kuzungumza na wewe peke yako,/ na kusahau mambo mengine yote/ na watu wengine walioko kanisani pamoja nami./. read more...

a.gif SALA YA KUANGUKA MIGUUNI PA BWANA YESU KATIKA EKARISTI

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada kuabudu maombi mateso mishale tafakari yesu,
SALA YA KUANGUKA MIGUUNI PA BWANA YESU KATIKA EKARISTI
Ee Yesu Mfungwa wa Upendo wa Mungu,/ ninapofikiri Upendo wako na jinsi ulivyojitolea kwa ajili yangu,/ nashindwa kuelewa./ Unaficha Ukuu wako usiofahamika/ na kujidhihirisha kwa ajili yangu mimi mnyonge./ Ee Mfalme wa utukufu,/ unaficha uzuri wako,/ lakini jicho la moyo wangu/ linapenya pazia na kuona Majeshi ya Malaika/ wakikuimbia kwa heshima bila kukoma/ na nguvu zote mbinguni zikikusifu bila mwisho zikisema:/ β€œMtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu..”/. read more...