a.gif Nyimbo na Sala za Ibada ya Njia ya Msalaba | Kwa siku za Ijumaa Kwaresma na Ijumaa Kuu

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada maombi maria mateso tafakari yesu,
Nyimbo na Sala za Ibada ya Njia ya Msalaba | Kwa siku za Ijumaa Kwaresma na Ijumaa Kuu
Picha na: ecatholic2000.com
--. read more...


a.gif Sala ya Kuombea Hali njema ya hewa na mvua

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada maombi,
Sala ya Kuombea Hali njema ya hewa na mvua
*SALA YA KUOMBEA HALI NJEMA YA HEWA NA MVUA*. read more...


a.gif Sala ya Usiku kabla ya kulala

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada maombi shukrani tafakari toba,
Sala ya Usiku kabla ya kulala
Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu. Amina.. read more...


a.gif Sala ya Asubuhi ya kila siku

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada nia tafakari toba,
Sala ya Asubuhi ya kila siku
Kwa jina la Baba…… read more...


a.gif Sala wakati wa Kujibariki na Maji ya Baraka

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada,
Sala wakati wa Kujibariki na Maji ya Baraka
SALA WAKATI WA KUJIBARIKI NA MAJI YA BARAKA.
Kwa njia ya Maji haya ya Baraka, na kwa njia ya Damu yako azizi, na kwa maombezi ya Moyo Safi wa Maria, unioshe na uovu wangu wote na uwasaidie roho zinazoteseka toharani. Amina.. read more...


a.gif Novena ya Noeli

Category πŸ‘‰sala, Tags πŸ‘‰ ibada maombi novena yesu,
Novena ya Noeli
*Novena ya Noeli (maarufu kama novena ya Mt. Andrea)*. read more...


a.gif Kama binadamu Yesu alijifunza kusali kwa nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada sala,
Kama binadamu Yesu alijifunza kusali kwa nani?
Kama binadamu Yesu alijifunza kusali kwa Mama yake na kwa mapokeo yote ya Israeli, yaliyojitokeza hasa katika Zaburi.. read more...


a.gif Kielelezo cha sala yetu ni nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada sala,
Kielelezo cha sala yetu ni nani?
Kielelezo cha sala yetu ni Yesu Kristo.. read more...


a.gif Ikiwa sala ni maongezi ya Mungu na mtu, kwanza tufanye nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada sala,
Ikiwa sala ni maongezi ya Mungu na mtu, kwanza tufanye nini?
Ikiwa sala ni maongezi ya Mungu na mtu, kwanza tumsikilize kwa makini na kutafakari alichosema ili tukifanyie kazi. Tukisema peke yetu si sala, kwa kuwa ukisema upande mmoja tu si maongezi.. read more...


a.gif Ni halali kujitungia ibada kwa sababu gani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada,
Ni halali kujitungia ibada kwa sababu gani?
Ni halali kujitungia ibada kwa sababu sala ni hasa maongezi ya Mungu na mtu.. read more...


a.gif Je, ni halali kwa Wakristo kujitungia ibada nyingine?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada,
Je, ni halali kwa Wakristo kujitungia ibada nyingine?
Ndiyo, ni halali kwa Wakristo kujitungia ibada nyingine, mradi wakubali zipimwe na Maaskofu kama zinalingana na imani, maadili na taratibu za Kanisa.. read more...


a.gif Mazinguo ndiyo nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada sala,
Mazinguo ndiyo nini?
Mazinguo ni sala za kupungia mashetani ili kuepusha watu na balaa au madhara, hasa kama wamepagawa nao.. read more...


a.gif Maana ya baraka ni ipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada,
Maana ya baraka ni ipi?
Maana ya baraka ni kumsifu Mungu kwa yale aliyokwishatujalia na kumuomba azidi kutujalia kadiri ya mahitaji ya wahusika. Mara nyingi inatolewa na mtu mwenye daraja au mamlaka fulani.. read more...


a.gif Kanisa linamuadhimishaje Mungu tena?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada,
Kanisa linamuadhimishaje Mungu tena?
Kanisa linamuadhimisha Mungu tena kwa visakramenti ambavyo kwa mamlaka ya Kristo linawatia watu neema zake katika nafasi yoyote ya maisha. Kati yake muhimu zaidi ni baraka na mazinguo, ambavyo vipo tangu zamani, hata nje ya taifa la Israeli.. read more...


a.gif Mbali ya sakramenti, Kanisa linamuadhimisha Mungu vipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada,
Mbali ya sakramenti, Kanisa linamuadhimisha Mungu vipi?
Mbali ya sakramenti, Kanisa linamuadhimisha Mungu hasa kwa Liturujia ya Vipindi, yaani kwa sala rasmi zinazotolewa mara kadhaa kwa siku, kufuatana na ratiba ya binadamu ya usiku na mchana. Hivyo linajitahidi kutimiza agizo la kusali daima.. read more...


a.gif Wakati wa ibada tuvae vipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada,
Wakati wa ibada tuvae vipi?
Wakati wa ibada tuvae namna inayodhihirisha malengo ya moyo wetu, hasa usafi na heshima, unyenyekevu na udugu.. read more...


a.gif Je, ni halali kuheshimu sanamu?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada kuabudu sanamu,
Je, ni halali kuheshimu sanamu?
Ndiyo, ni halali kuheshimu sanamu kama viwakilishi vya Yesu, Mama yake na watakatifu wake, ambao zinaleta sura zao.. read more...


a.gif Katika kutumia sanaa kwa ibada tuzingatie nini?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada,
Katika kutumia sanaa kwa ibada tuzingatie nini?
Katika kutumia sanaa kwa ibada tuzingatie utakatifu na ukweli, si uzuri tu. Zisiigeuze kamwe kuwa igizo wala tamasha, kwa kuwa lengo si kuchangamsha watu bali kumtukuza Mungu.. read more...


a.gif Kuimba wakati wa ibada ni kazi ya nani?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada,
Kuimba wakati wa ibada ni kazi ya nani?
Kuimba ni kazi ya kusanyiko lote, yaani ya kila mwamini. Kwaya ziimbishe watu wamwadhimishe Mungu, zisiwaimbie tu na kuwanyima nafasi ya kuimba.. read more...


a.gif Kati ya sanaa kwenye ibada/kumuadhimisha Mungu, muhimu zaidi ni ipi?

Category πŸ‘‰katekisimu, Tags πŸ‘‰ ibada,
Kati ya sanaa kwenye ibada/kumuadhimisha Mungu, muhimu zaidi ni ipi?
Kati ya sanaa, muhimu zaidi ni uimbaji, kwa kuwa unahusiana zaidi na Neno la Mungu, ukilitia maanani kwa uzuri wa muziki. Katika Agano la Kale, kitabu cha Zaburi ni nyimbo tupu za kutumia katika ibada.. read more...


page 1 of 512345next »